Niijuavyo Freemasonry

Mkuu tunaposema Freemason ni Secret Society hatumaanishi ni Jamii ya Siri; tunamaanisha ni Jamii Yenye Siri. Ndiyo maana jamii inafahamika na hata baadhi ya members wake wanafahamika, lakini yanayofanyika ndani ya hii jamii ndiyo hayafahamiki kwa wasio wanachama zaidi ya speculations na propaganda tu za watu wanaofikiri wanaijua sana Freemason
 
Na njia ya kujiunga, unafuata Taratibu ganI au wanataka vigezo gani?
Mpaka uwe una member ambaye yuko uko unamfahamu ndo apeleke ombi lako kule then yeye ndo hawe kama mdhamini wako tofauti na hapo utapigwa wezi wengi
 
Nikikwambia hakuna Freemason East Africa utaamini??,Hakuna kafara ya Watu inayotolewa na Masonic,na wala KANUMBA hakuwa masons .usipagawe na stor za vijiweni
Mbona Nairobi walikua wana londge yao wameifunga juzi?
 
Ndo maana Jay Z amejiita Hov maana Jeova
 
T
Tapeli huyo
 
Umesema sio dini..
Je kwa mfano mimi ni mlokole kindakindaki nikataka kujiunga nao je !watakubali?
 
Mkuu nitaomba unitag kuna mambo mengi sana nimejifunza kweli Elimu haina mwisho
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…