Niijuavyo Freemasonry

Niijuavyo Freemasonry

Wengi wenu Ndo nyie Baadae Mnakuwa vichaa... Mnawekwa milembe mnaimba nyimbo za Dini
 
Hamjawahi kuwa wakweli nyinyi Chama cha Shetani nani atasikiliza porojo zako hizi wakati tayari mnajiita jamii ya siri

Walianza wakina Hassan wa Yahya Hussein kuwapamba pamba hawa jamaa hakuna aliyewasikiliza

Endi Chande nae alikuwa anapakapaka rangi weee eti ili watu wawachukulie poa...
Lakini wapi!
 
WEWE UMESOMA MAZURI YAO TU,,, ZILE WANAITA SIRI ZAO HUJAZIWEKA HAPA.... mbona Inaitwa CHAMA CHA SIRI?
 
Kwanini wakajiita freemason ? Ni kwasabu wajenzi wote yasemekana walilaaniwa na Bwans Yesu hivyo wakawa ni watu wenye nuksi na mikosi na maskini
sasa inamaana YESU alipowalaani ndio maana akaacha kazi ya ufundi mbao sababu alikuwa hapati pesa!!!!!!?..... Bora kuvutia bangi chooni kuliko hadharani.....
 
How can you know history of something without second person?? Umeyafaham je haya?? Nikisema wewe ni mmoja wao utanifunga?? Dini sio hivyo ulivyo define inshort husomeki
 
Mh isue ya FM sio ya kizembe useme inafahamika kirahis hivo, maneno mengi huwenda ni kutunga tu. Ukweli wanao wenyewe wahusika.
Sitaki kuamin FM wanatumia vitisho kukushurutisha ufanye jambo.
Wana ushawish laini sana wa kubembeleza kufanya watakayo, ambayo kwayo wewe kimtazamo ni ngumu kutekeleza.
 
freemason ni taasisi yenye hila , unaweza kuona kama wapo hivyo lastly utajuta ,,,,, hakuna ubaya wenye lengo la ubaya ukaja direct kwa ubaya, hautatimilika , lazima waonekane ni watu wazuri . falsafa ya hawa jamaa nimeisoma ila tu niseme wewe upo stage 1 ,, fika katika stage 3 hutasema hayo unayosema .

kwanza wanakuambia hatumuhitaji mtu ambaye hana mrengo wa kumpenda Mungu , mtu wa imani ,,,, sasa kwa hilo tu hujavutwa ,,, ukiuliza mimi namuamini yesu wao watakuambia yesu ni Grand master wetu ,,,, na yeye ndiyo masonic mkubwa tunampenda na kumuheshimu ila jina lake hatulitaji huku ,,, why? ,,, hapo utajua sasa.
 
Free ideas, post:

8960426, member: 149677"]

Mi sitetei bali nasema ukweli juuu ya hofu isiyokuwa ya msingi kwa kitu ambacho mi cha kawaida.yan ni sawa na leo hii mtu aibuke na kuanza kupinga kitu ambacho hakina tafsiri ienezwayo bali ni uoga na hofu ya kutokujiamini


Che mittoga, Saidi.

Hofu...!
Nani aliyekuambia anawaogopa Freemasoni ?
Anawaogopa kwa ajiri gani ?
Kama wanaogopwa mbona wamesajiriwa na Serikari ?
Serikali inasajiri makampuni yanayo ogofya watu ?

Freemasoni ni tasisi isiyo ya kiserikali kama taasisi nyingine tu (NGO)

Wapo kuganja njaa kama wagangaji wengine.

Wakuogopwa ni Mungu peke yake ambaye hata Serikali inamuheshimu na
kumuogopa.

Angalia maneno yaliyoko katika Wimbo wa Taifa.

Angalia Sala ya Kufungua vikao vya Bunge.

Angalia viapo vya viongozi wanapo apishwa kutumikia nchi nini wanatamka.

Freemasoni ndio nani watu wawahofie.
Kwani wao wanatisha watu ?
Labda watu dhaifu ndio wanao wagopa, wanaoogopa hadi kivuli chao.

Haya lete habari zaidi za hao Free masoni.
Ni kwanini wanajifichaficha ktk shughuli zao ?

Mbona hazifanywi hadhalani watu wazione ?

Wanaogopa nini ?

Hofu yao ninini hasa ?

Ukienda ofisini kwao pale Feri Posta wanababaika tu.

Hawasema kazi zao ni zipi, Hawakukaribishi ndani ofisini wanakimbiakimbia tu.

Sijaona taasisi dhaifu kama hao Freemasoni.

Wanaigopa nini hasa?

Si nasikiaga wana nguvu sana na pesa wanazo nyingi.

Hebu tujuze zaidi Mkuu
Au kama kuna Freemasoni humu atueleze, nini hofu yao hawa Freemasoni ?

Taasisi zote ninazozijua duniani kazi zao zinafanywa kwa uwazi na bayana.

Kwanini hawa Wanzetu Freemasoni wanafanya kazi zao kwa kujifichaficha ?

Ukiwatembelea Ofisini kwao hawatoi ushirikiano kabisa kabisa.
Naomba utueleza ukweli hapa na sio nawewe unarukaruka tu kama wao.








Iyo avatar yako inatafsiri nini mkuu???
 
Head teacher,
Mkuu naomba ungetengeneza Uzi was jambo hili maana linaeza kuwa fundisho hata kwa mabinti zetu wanaopendaa tamaaa na miteremko ya kimaishaaa napia litakuwa fundisho mana utakuwa umewatoa watu katika ujinga.ubarikiwe
 
Kuingia huko kwnye hicho chama ni bure na tena unapewa lugha nzuri kweli but kutoka ni noumer; Nime jikuta namkumbuka Michael Jackson masikini; alitamani kutoka but kweli alitoka akiwa maiti.
 
Back
Top Bottom