Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

KUUA MTU KWA KUTUMIA CHURA WA NCHI KAVU
Mchukue chura wa nchi kavu Kisha mfunge kama unamfunga adui yako na zungumza naye kama unavyozungumza na adui yako
Mfano:
"Fulan bin fulan umenifanyia ubaya nikakaa kimya lakini leo nimekufunga"

"Leo ndio mwisho wa uhai wako,utakufa kifo kama anavyo kufa chura huyu "

Baada ya hapo chukua kisu kipya na anza kumkata chura huyo huku ukisema
"Nataka leo ufe" mara tatu
"Nataka uugue hadi kufa"
Kisha mtukane kila aina ya matusi.

Ukimaliza nenda kamzike kwenye kaburi la mtu aliyekufa kwa uharifu.

Usifanye kwa kumuonea mtu tu.View attachment 3416873

Ubaya ubwela
Hii ngumu kumeza,najuaje kabiri la mtu aliyekufa kwa uhalifu?🙄
 
Nenda kwenye mti wowote ukiwa na misumali mitatu kisha toboa shimo kwenye mti huo alafu tumbukiza hiyo misumali pamoja na karatasi iliyoandikwa jina la muhusika unayetaka apotee kwenye hii dunia
Hakikisha jina linaandikwa kwa zafarani pia unanuia

Asili ni nguvu
Ubaya ubwelaView attachment 3414214
Zafarani ndio nini?
 
Huu mmea kisayansi unajulikana kama “Thevetia peruviana” au “Cascabela thevetia” ni miongoni mwa mimea yenye sumu lakini ni dawa.

Ni miongoni mwa mimea bingwa kwa kutibu shida nyingi za ngozi —ni mmea wenye nguvu kubwa ya kufuta kabisa saratani (cansa)

Wekeni Likes za kutosha niwaletee somo

Mdharau asili hufa kikatili
1753379504951.jpg
 
Karafu 10 au 15 kwa maji ...zikae kwa masaa 5 hadi 8 au usiku kucha...au pondaponda iwe unga ...

Kunywa hayo maji yako kwa suala la matatizo ya upumuaji

Asili huponya
1753386791863.jpg
 
JINSI YA KUZALISHA UNGA WA MWAROBAINI KWA AJILI YA NGOZI KUNG'ARA NA UKUAJI WA NYWELE

Tafuta majani ya mwarobaini na uyaoshe ili kuondoa uchafu Kisha kausha,

Usikauke chini ya jua itaondoa baadhi ya madini, kaushia ndani .

Baada ya kukauka kabisa, weka kwenye blender na uisage.

Ichuje kwa chujio ili kuondoa chembe chembe

Kisha unga wako wa mwarobaini uko tayari.

Unaweza kuchanganya katika mafuta ya nazi na kupaka kama haircream

Asili huponya
1753387344276.jpg
 
Tupe faida ya gotu kola pia
Faida za gotu kola

Husaidia kuimarisha uwezo wa ubongo (Memory & Focus)

Huchochea mzunguko wa damu kwenye ubongo.

Huongeza uwezo wa kufikiri, kukumbuka, na kupunguza kupoteza kumbukumbu kwa wazee (hutumika pia kwa Alzheimer).

Hutuliza msongo wa mawazo na mfadhaiko

Husaidia kutuliza akili, hutoa utulivu wa kihisia, na hupunguza wasiwasi (anxiety).

Hufanya kazi kama “adaptogen” – huusaidia mwili kuhimili msongo wa kimwili na kiakili.

Huimarisha afya ya ngozi

Huharakisha uponaji wa vidonda, michubuko, na makovu.

Husaidia ngozi iliyochoka au yenye matatizo kama chunusi na fangasi.

Inatumika pia kwenye bidhaa za ngozi kama "Centella creams" kwa ajili ya kurejesha ngozi yenye uhai.

Huongeza mzunguko wa damu

Husaidia kutibu matatizo ya mishipa ya damu (kama varicose veins).

Hupunguza uvimbe wa miguu, miguu kuwa mizito, au ganzi kwa sababu ya damu kutopita vizuri.

Hutibu matatizo ya kiungulia na tumbo

Hupunguza vidonda vya tumbo, husaidia utumbo kufanya kazi vizuri.

Huondoa gesi, na maumivu ya tumbo.

Hupunguza uvimbe na maumivu ya viungo

Husaidia kwa wenye arthritis (maumivu ya viungo), kwa kuwa ina sifa za kupunguza uvimbe na kuondoa sumu.

Husaidia kukaza ngozi na kupunguza mikunjo

Inasaidia ngozi kubaki laini na ngumu hasa kwa wazee au waliopungua uzito haraka.

Hutumiwa kwa kuongeza maisha ya muda mrefu (Longevity)

Katika baadhi ya tamaduni kama za Tibet na India, hutumika kama "tonic ya uhai" kwa kuimarisha afya kwa ujumla na kuzuia kuzeeka haraka.

Njia za Matumizi:

Majani mabichi ya kutafuna.

Poda ya gotu kola kwa kutengeneza chai.

Vidonge/v kapsuli (supplements).

Mafuta au krimu kwa matumizi ya ngozi.

Tahadhari:

Usitumie dozi kubwa kupita kiasi – inaweza kuathiri ini au kusababisha usingizi mwingi.

Wajawazito au wanaonyonyesha wanashauriwa kushauriana na daktari kabla ya kutumia.

Ikiwa unatumia dawa za kuzuia damu kuganda, fahamu kuwa gotu kola nayo huongeza mzunguko wa damu.
 
Ahsante sana 😍

Sasa

Kisonono na chango
Na mengineyo unaweza andika kwa lugha ya kiingereza kwa mabano

Maana kama mie wa kijijini ngachoka kuhighlight na ku Google.. 🤗
Kisonono (Gonorrhea)

Ni ugonjwa wa zinaa unaosababishwa na bakteria. Dalili ni uchafu kutoka sehemu za siri, maumivu wakati wa kukojoa, na homa.

Chango (Pelvic Inflammatory Disease - PID / Menstrual cramps)

Chango ni neno la jumla, linaweza kumaanisha maumivu ya tumbo la uzazi au matatizo ya njia ya uzazi kwa wanawake.

Kama ni ya maumivu ya hedhi – (menstrual cramps)

Kama ni maambukizi ya ndani – (Pelvic Inflammatory Disease – PID)

Kaswende (Syphilis)

Ni ugonjwa wa zinaa unaopita hatua mbalimbali. Dalili huanza na vidonda visivyo na maumivu, kisha vipele, na baadaye madhara makubwa kwenye moyo, ubongo n.k.

Malaria (Malaria)

Ni ugonjwa unaosababishwa na mbu. Dalili: homa ya vipindi, kutetemeka, uchovu, kichefuchefu.

Minyoo (Intestinal worms)

Ni minyoo wanaoishi tumboni. Dalili: tumbo kuuma, kujamba sana, kukonda, na wakati mwingine kuvimba tumbo.

U.T.I (Urinary Tract Infection)

Maambukizi ya njia ya mkojo. Dalili: maumivu wakati wa kukojoa, kukojoa mara kwa mara, na mkojo kuwa na harufu kali au damu.
 
Faida za gotu kola

Husaidia kuimarisha uwezo wa ubongo (Memory & Focus)

Huchochea mzunguko wa damu kwenye ubongo.

Huongeza uwezo wa kufikiri, kukumbuka, na kupunguza kupoteza kumbukumbu kwa wazee (hutumika pia kwa Alzheimer).

Hutuliza msongo wa mawazo na mfadhaiko

Husaidia kutuliza akili, hutoa utulivu wa kihisia, na hupunguza wasiwasi (anxiety).

Hufanya kazi kama “adaptogen” – huusaidia mwili kuhimili msongo wa kimwili na kiakili.

Huimarisha afya ya ngozi

Huharakisha uponaji wa vidonda, michubuko, na makovu.

Husaidia ngozi iliyochoka au yenye matatizo kama chunusi na fangasi.

Inatumika pia kwenye bidhaa za ngozi kama "Centella creams" kwa ajili ya kurejesha ngozi yenye uhai.

Huongeza mzunguko wa damu

Husaidia kutibu matatizo ya mishipa ya damu (kama varicose veins).

Hupunguza uvimbe wa miguu, miguu kuwa mizito, au ganzi kwa sababu ya damu kutopita vizuri.

Hutibu matatizo ya kiungulia na tumbo

Hupunguza vidonda vya tumbo, husaidia utumbo kufanya kazi vizuri.

Huondoa gesi, na maumivu ya tumbo.

Hupunguza uvimbe na maumivu ya viungo

Husaidia kwa wenye arthritis (maumivu ya viungo), kwa kuwa ina sifa za kupunguza uvimbe na kuondoa sumu.

Husaidia kukaza ngozi na kupunguza mikunjo

Inasaidia ngozi kubaki laini na ngumu hasa kwa wazee au waliopungua uzito haraka.

Hutumiwa kwa kuongeza maisha ya muda mrefu (Longevity)

Katika baadhi ya tamaduni kama za Tibet na India, hutumika kama "tonic ya uhai" kwa kuimarisha afya kwa ujumla na kuzuia kuzeeka haraka.

Njia za Matumizi:

Majani mabichi ya kutafuna.

Poda ya gotu kola kwa kutengeneza chai.

Vidonge/v kapsuli (supplements).

Mafuta au krimu kwa matumizi ya ngozi.

Tahadhari:

Usitumie dozi kubwa kupita kiasi – inaweza kuathiri ini au kusababisha usingizi mwingi.

Wajawazito au wanaonyonyesha wanashauriwa kushauriana na daktari kabla ya kutumia.

Ikiwa unatumia dawa za kuzuia damu kuganda, fahamu kuwa gotu kola nayo huongeza mzunguko wa damu.
Hii ni kitu kimoja kinafanya haya yote?

Kwa wazee na wanakua nzuri, inapatikanaje?
 
Haya ni matunda ya “Solanum incanum” —mtulatula/ndulele. Ukikutana nayo ehemu yeyote usiyaache, chukua mengi ya kutosha, yapasue na utoe mbegu zake zihifadhi sehemu salama ambayo watoto hawatafika wasije wakala wakadhurika.

Iko hivi; hizi mbegu za Solanum incanum ndiyo zina utajiri mkubwa wa misombo ya“Solasodine” aina ya glycoalkaloid ya steroid ambayo hutumika katika utengenezaji wa dawa za hormones ikiwemo hizo dawa za uzazi wa mpango (contraceptives)—ambazo ndiyo mnachomwa mahospitalini.

Vilevile hizi mbegu ndiyo zenye utajiri wa “Solamargine” ambayo ina uwezo mkubwa sana wa
—Kuziharibu seli za kansa na kuzifanya ziingie kwenye hatua ya apoptosis (kujiharibu).
—Kuzuia ukuaji wa seli za kansa ya ini, mapafu na matiti.
—Hupunguza upinzani wa dawa (drug resistance) kwenye baadhi ya aina za kansa, hivyo kusaidia tiba rasmi kufanya kazi vizuri, unapozichanganya na dawa zingine za kutibu kansa.

Mdharau asili hufa kikatili
1753690257296.jpg
 
Laiti kama waafrica tungejali asili zetu—huu mmea usingeruhusiwa kufyekwa na kukatwa kama magugu, familia nyingi zingekuwa na bustani kubwa za huu mmea. Ni dawa kuanzia mizizi yake, majani yake, maua yake, matunda yake hadi mbegu zake😊 Ni miongoni mwa miti dawa muhimu zaidi.

Unajulikana kama Sodom apple, jina lake la kisayansi ni “Solanum incanum” hapa Tanzania maarufu kwa jina la mtulatula.— ni mmea wenye uwezo wa kushusha kisukari kwa muda mfupi zaidi, ni mmea uliojipatia umaarufu mkubwa kwa kutibu meno yaliyotoboka.

Hapa ni utangulizi tu somo zima linakuja, wekeni likes za kutosha.
1753705359553.jpg
 
Back
Top Bottom