Noel 2014,
Nakujibu hapa chini kama ifuatavyo..
1.,kwa nn tunakufa?.
-Ili ujue kwa nn tunakufa lazima ujue maana ya neno kifo kwanza!.Sina shaka unajua ndo mana uko jukwaa hili.
-,.Kifo ni Natural,hakitegemea amri yoyote ile,na (kifo cha uzeeni)hakizuiliki kwa kuomba ama kwa miujiza yoyote ile,ispokuwa (kifo cha ghafla,mfano ajali,ugonjwa n.k) kinaepukika kwa njia mbali mbali! Kama vile matibabu(sayansi),ama tahadhali(ajali .nk).
Hakuna ushahidi wowote wa mtu ama watu aliomwomba mungu wasife na hawakufa.Kwa hiyo kifo ni Natural kama vile kuzaliwa.
-Kwa hiyo kwa jibu rahisi ,tunkufa sababu ni asili.Ndo hadithi yenu ile ya kwamba kifo ni moja ya adhabu baada ya Adam kula tunda haina Mashiko kwa maana inajichanganya.Maana anayejua mambo yote hata yajayo hawezi shindwa kujua kiumbe chake kitakula tunda,tofauti na Hpo kubaliana na mm kwamba Hata mungu hakujua kama watakula tunda.
2.Who set this Formula ?
-Hakuna kitu/mtu/Nguvu iliyoseti formula ya kifo/kufa.Ni asili kama nilivokujibu hapo juu(1).
3.Hivi kifo kisingekuwepo dunia ingekuwa vipi?
-Ndo mana nikakwambia mungu wako hausiki kabisa katika kupanga vifo.Kwa hiyo hilo swali mulize mungu wako je ingekuwaje kama Adam na hawa wasingekula tunda,hii dunia ingetosha population yote?.Hapo ndo ujue Bible ni . Hadithi za kutunga zilizopitwa na wakati.Kifo ni asili kwamba viumbe hai watazaliwa na baada ya muda watakufa hii ni formula na ipo tu wala haihitaji mwongozaji.
4.Wewe ungekuwa vipi?
-Hata sijui.
5.ukipishana na kichaa huwa unafanya nn?.
-Ukichaa ni hali tu ya akili kutokuwa katika hali sahihi.Cha kushangaza nyie huwa mnasema kazi ya mungu.Yaan mungu anayefurahia watu kuwa vichaa?aiseee !..Mtu akifanikiwa mnasema mungu kamjaalia,akiharibikiwa mnakaa kimya,naomb pia muwe mnasema mungu kamfilisi ama kamuadhibu.
6.Angalia unavoutumia ufaham wako vibaya!.
-Thibitisha kwamba mimi nautumia ufaham wangu vibaya!,bali wewe unautumia ufaham wako vizur.
Tofaut yangu mi na wewe ni kwamba we umejazwa uoga wa kisichokuwepo,na wewe ni small minded,mimi sio muoga na sikubali kuburuzwa kwa imani za kimapokea kama nyie.
Koran imejaa habar za maisha ya waarabu na sheria zao,Biblia imejaa masimulizi ya waizrael na yamaduni zao .nyie kitabu chenu kiko wapi?.Kitabu kinaitwa walaka kwa Wagaratia mtu kakikomalia utadhani kinasomeka walaka kwa wazaramo.,Mbona wao hawasomi vyetu mfano cha shaban Robert tu.?