Niijuavyo Freemasonry

Niijuavyo Freemasonry

There are no freemasons in Africa

Ni kwel kabisa,na wala hakuna masonic memberz tanzania,huu ni uzi wangu utakaofuata hapa.watu hawajui haya mambo, usikose next time uzi wagu HAKUUNA FREE MASON MEMBERZ TANZANIA.,thax mkuu
 
Ni kipi kinapotoshwa?
Fremason ni dini ya kuabudu shetani!

Waweza nijibu haya maswali???
1.,shetan ni nani???ama ni nini??

2.,kwa nn shetani aabudiwe??
,
3.,shetan katoka wapi??

4.,kwa nini kuna shetani?,
 
Magazeti ya nyumbni yametudanganya sijui nani freemason kumbe walikuwa wanaficha uchafu wao wa unga nyuma ya pazia ,magazeti ya udaku sasa hvi kimya hakuna freemason wala mamaye freemason.
 
3.masoni hawatoi kafara ya
kuua wanadam bali ni
mbuz,kondoo ama wanyama
ambao ni adim kuwaona.

Free ideas hayo maneno umeyasema wewe!
Jee hizo kafara ni kwa ajili ya nani?
...
Kuniambia humjui shetani na kunitaka mimi nikupe maelezo kuhusu shetani, Ivi huoni wafanya utoto na maskhara weye?
 
Last edited by a moderator:
Mashaxizo,

Kwan kafar zetu kabla ya ukoloni,ama akina ibrahim na musa walitoa kwa nani??,
Kuhusu shetan nimeuliza maana inawezekana ninavyomjua mimi ni tofauti na wewe,

Mfano,mi najua shetani ni WAZO/FIKRA/Imani,na sio lazima liwe baya la!, shetani ni kama nadhalia ama DHAHANIA,sijui kama unanielewa kwa kiswahili hicho rahisi kabisa., haya we niambie shetan ni nai??
 
Last edited by a moderator:
Ama kweli wewe umeingia Fremaso kichwa kichwa!
Yaani hadi leo hujajua shetani nini/nani!
Kwan kafar zetu kabla ya ukoloni,ama akina ibrahim na musa walitoa kwa nani??
Kipindi cha ukoloni kafara zote zilikwenda kwa shetani!

Sikumbuki na sijui kama Mussa alitoa kafara!

Ibrahim alitaka tu kutoa kafara ya mwanae Ismail kwa ajili ya Mungu! na wala hakutoa, yeye alipewa kama mtihani wa kupima imani yake kwa vile aliishi muda mrefu sana bila ya kupata mtoto, watu wake walimsakama sana, walimwambia kama wewe ni mtume wa Mungu, mwambie akupe mtoto! Baada ya kupata huyo mtoto (Ismaili) ndio akapewa huo mtihani!
Kuhusu shetan nimeuliza maana inawezekana ninavyomjua mimi ni tofauti na wewe,

Mfano,mi najua shetani ni WAZO/FIKRA/Imani,na sio lazima liwe baya la!, shetani ni kama nadhalia ama DHAHANIA,sijui kama unanielewa kwa kiswahili hicho rahisi kabisa.
Humjui shetani, na sijui ktk dini yao umekwenda kutafuta nini! Na kwa mantiki hiyo nadhani hata maana ya kafara hujui!!! Na kama unajua niambie, kafara ni nini?
haya we niambie shetan ni nai??
Shetani ni viumbe walioumbwa kwa moto!
Ni viumbe wasioonekana kwa jicho la kawaida la mwanadamu!
Ni viumbe wenye supernatural power of magic!
...
Pasco Pita hapa!
 
Last edited by a moderator:
Mashaxizo Natapa shaka kama unaelewa ama umekariri,hivi unaposema kipindi cha ukolon kafara zote zilikuwa zinakwenda kwa shetani una maana ganai??.so katika kipindi hicho mungu hakuwepo??,na mbona aliruhusu??,na kwa nini sasa akataze??,

Na pia mungu unaemwingelea hapa ni yupi maana unajichanganya??,kwa hiyo ndo huyo huyo aliyeruhusu na pia baada ya wakolon kuja akakataa???,,nadhan unaamini pia kwamba kila kitu kinaongozwa na mungu ??,em nambie matendo ya shetan yanaongozwa na nani???,na pia hujajibu shetan alikotoka??, tofauti na hapo kubali kwamba shetani anamzidi nguvu mungu wako na mdo maana mungu anashindwa kumfanya chochote


Pia waonekana hujui kwamba ibrahim alitoa kafara hata kabla ya kuambiwa amtote Issac(kwa mujibu wa biblia,na jiulize kwa nn vitabu vya mungu viseme tofauti?sitaki unipejibu.)
 
Last edited by a moderator:
Nikikwambia ueleze uujuavyo ukristo ama uislam kwa bila kutumia vitabu ama source yoyote .na kisha ukanielezea hapo hapo japo hata mistar kumi tu ndo nilichomaanisha mkuu

wewe naona hujanielewa mana vitu vyote tumesoma kwenye maandiko hata hyo cjui freemason nimepitia vitu na sources mbalimbali naelewa in and out halafu si wezi kukaa tu nakuongea kitu bila uhakika au kuwa na enough information honestly from what i know hamna anayeweza bila kuwa na sources mkuu
 
nimeshindwa kuisoma yote sijui ni uvivu wangu tu ila nikiweza nitarudi
 
Head teacher,

Hao ni matapeli mzee.
Freemasons hawafanyi shughuli ki namna hiyo.
Tatizo ni elimu na mfumo wa imani mbovu zilizokithiri hasa Tanzania ikiambatana na kutafuta pesa kiurahisi rahisi.
Kama si hivyo kwanini ndugu na jamaa zetu ma Albino wanauawa kinyama?
 
Huu ni mpango wa kumtambulisha shetani na taasisi zake. Kwa nini usiandike umjuavyo Mungu na kazi zake?
 
Uchambuzi wako ni mwepesi sana,nadhani bado haujakijua vizuri ulichoandika
Sorry your very shalow?

Asante kwa kusoma,lakini nilisema tangu mwanzo kwamba ni mtazamo wangu mimi binasi na jinsi ninavoelewa
 
Free ideas,

Aisee!
Yani wewe hao mafrimason washakupokonya akili zote! Wamekuachia za kula ugali tu!
Nalog off!
 
Aisee!
Yani wewe hao mafrimason washakupokonya akili zote! Wamekuachia za kula ugali tu!
Nalog off!

Umesalim amri ehh???,nipo kawaida kabisa siko huko unakodhan,naijui vizur koran na biblia,kwa hiyo kama ilitaka kuingia huko pia niko fiti sibabaishi. Fikiria ukipata majibu uje hapa tuendelee mkuu
 
KAMPENI... mh mara oooh sijakopi katika andiko lolote mara ooo natoa kichwani mawazo yangu... umesahau kuwa justification ya ulichoandika hasa background ya hao freemason haipo kichwani mwako.. unataka tuamini kwamba na ww ni waasisi waliokuwepo wakato solomoni?  maneno mengine punguza hata kama unataka watu wasikuone kuwa unapiga debe.... nenda na freemason yako u might be an agent senior....
 
Watu8,




Freemasonry nao wana haki ya kueneza imani yao (kama unaweza kuiita hivyo) kama ambavyo na nyinyi mnaeneza imani zenu ambazo ziko based kwenye ancient Jewish and Arabic fairy tales. By the way sijawahi kukutana na Freemason yeyote akanishawishi kuingia kwenye Freemasonry, hizo imani zenu on the other hand...
 
Back
Top Bottom