Niijuavyo Freemasonry

Niijuavyo Freemasonry

Free ideas Kwa mtazamo wangu mimi masonic sio dini kam wengi wasemavyo,..,najua hujanielewa lakini em tufafanue nn maana ya dini,kwa nijuavyo mimi Dini ni aina ya maisha(/shughuli
Mbona unajidanganya mwenyewe!!
Utafifiti gan huo kwa kutumiaakili zako pekee bila kupitia tafit au machapisho ya wengne lakin wakat huo huo copy Maelezo Yao? Umedanganyikaje kuwa walianza wakati Wa Wa mfalme Solomon?
 
Last edited by a moderator:
Kwanini wakajiita freemason ? Ni kwasabu wajenzi wote yasemekana walilaaniwa na Bwans Yesu hivyo wakawa ni watu wenye nuksi na mikosi na maskini

Yesu mungu wenu wa upendo na amani amewalaani wajenzi? Laana na upendo wapi na wapi?!!!mshana jr

Mkuu Freemasonary ilianza ulaya centuries baada ya Yesu kufa.Yesu hakuwahi kufika ulaya na aliishi miaka ya nyuma kabla ya freemasons.Laana inatokaje hapo?
 
Mambo ya enzi za sleman umeyatoa kichwani mwako bila kusoma popote? You must be aa genious!
 
Mshana Jr,

Asante sana mkuuu kwa kuongezea ufaham jui ya hili,maana watu wanahukumu wasichokijua
Kwa uoga wa mioyo yetu na fikra potofu za kuporwa waumini
 
Mtoa mada umesema sio dini, je mtu anaweza kuwa freemason wakati anaendelea kuabudu katika dini yake ya kawaida?

Ni kwel sio dini,bali ni idea kama nilivosema na unaruhusiwa kuendelea na dini yako maana wao hawan itikadi zinazokukataza kuendelea kuabudu utakavyo,sema watu wanatafsiri vibaya kutokana na uoga wa mioyo yetu
 
Kwa inavyoelekea na wewe ni mfuasi wa free mason kwa unavyojieleza sina shaka na hilo. kama hawana lengo baya hofu kwa ss inakujaje?

La hasha mimi naweza kuwa ama nisiwe mfuasi wao lakini hii haita ondoa ama kuongeza ukwel kwamba kiasi kikubwa ni hofu ,na upungufu wa madhabu mengine ndo unafanya zinatajwa negative factors kuhusu masonic
 
Watu8,

Asante kwa mtazamo wako,na ndo mana nikasema situmii rejeo ama kitabu chochote,na asante kwa kujudge kwamba sijui chochote,naomba unijibu maswali hata kutokana na majibu yako hapo jui.

1.,ufalme wa nuru na ufalme wa giza maana yake nn??

2.nani ambaye ni controller,ama mmiliki wa falme hizo mbili\??,kama jibu ni mungu kwa nn anaruhusu falme mbili\???kma jibu ni shetani,je mungu kambuimba ili apingane nae??

3.,je ulishawahi kufikiria kwa nini dunia ambayo imeumbwa na umsemaje mungu mwenye mapendo na baraka zote,tena asiye na ovu na ikawa na maovu,visasi,chuki na mioyo migumu??

4.je ulishwahi kufikiria kwa nn mungu anapingana na shetan aliyemuumba??,uliwahi kujiuliza kwa nn shetan alimwambia yesu kwba miliki zote za nnchi ni mali yake\???

Jibu hayo kwanza nione IQ,,yako maana naweza kukup mzigo usiouweza
 
Sijui unaetetea masonic nawe ni mmoja wao au??!!

Mi sitetei bali nasema ukweli juuu ya hofu isiyokuwa ya msingi kwa kitu ambacho mi cha kawaida.yan ni sawa na leo hii mtu aibuke na kuanza kupinga kitu ambacho hakina tafsiri ienezwayo bali ni uoga na hofu ya kutokujiamini
 
pale jangwani pana kibao cha mganga anaweza kukusaidia kujiunga na freemason nawe ukawa na pesa kama Kanumba/diamond.
 
Head teacher,

Nashukuru kwa kuchngia,lakini mkuu,ushawahi kujiuliza mabaya wafanyayo wakristo,waislamu,je wajua mambo ambayo yamefichika nyuma ya ukristo???
,unajua ukristo ulipotoka mpaka sasa,.hakika ukijua huwezi amini tena,idea za masonic ni kama mkataba na makubaliano kwa anayetaka kuingia na hakuna anayelazimishwa huwa ni hiar kanisa,na ni taasisi halali kabisa kisheria.

Kama nilivosema katika uzi wangu huu,kuna njama nyingi na visa vingi sana kipinga idea hii hap duniani na wala hili halitokei tanzania tu ni katibu kila sehem.kwa hiyo hivo ulivotaja hapo juu ni moja ya visa vya kawaida vy akudhoofidha ideas zisifanikiwe
 
Back
Top Bottom