Niijuavyo Freemasonry

Niijuavyo Freemasonry

FREEMASONRY TANZANIA (MASONIC LODGE)
Karibu sana ujiunge nasi
VIGEZO VYA MTU ANAETAKA JUJIUNGA NA CHAMA CHA FREEMASON
1-Uwe na umri kuanzia miaka 22 kupanda juu
2-Uwe na kifua cha kutunza siri
3-Uwe umekubali mwenyewe kwa hiyari yako
4-Uwe na uwezo wa kulipia ghalama ya usajili
 
FREEMASONRY TANZANIA(MASONIC LODGE)
Karibu sana ujiunge nasi
VIGEZO VYA MTU ANAETAKA KUJIUNGA NA CHAMA CHA FREEMASON
1-Uwe na umri kuanzia miaka 22 kupanda juu
2-Uwe na kifua cha kutunza siri
3-Uwe umekubali mwenyewe kwa hiyari yako
4-Uwe na uwezo wa kulipia ghalama za usajili
Mawasiliano Piga namba 0715 909630
 
sina cha kukusaidia! Coz mimi si mmoja wao [fremason]
...
Nachoweza kukuambia ni kuwa, tafuta kazi ufanye, na uache mambo ya kushobokea fremason! Njaa itakuua! Oohoo!

hahahahh hata lisu na mbowe wote free mason
 
ujanja wako utaisha pindi utakapo waona malaika waliokuja kuichua hio roho.

Watakuja lini?,Nani alikwambia huwa wanakuja ?,Una ushahidi katika hili ama umekariri mafundsho ya kimapokeo??
 
Nkwesa Makambo,

The Gaps of Science does not create God,or means that There is GOD ,its the matter of time & Development in science fields.If they do create him,allow me to call him THE GOD OF GAPS,
 
The Gaps of Science does not create God,or means that There is GOD ,its the matter of time & Development in science fields.If they do create him,allow me to call him THE GOD OF GAPS,

GOD is beyond EVERYTHING we have only the science of gaps
 
kwanini utaje moyo na sio kiungo kingine?

utasemaje huna kitu ambacho hukijui?

au uwezo wako mdogo?

We nilishakwambia sitakujibu chochote maana hujui kujadili kwa busara,dakika mbili haziishi unaishia kutukana matusi.
 
We nilishakwambia sitakujibu chochote maana hujui kujadili kwa busara,dakika mbili haziishi unaishia kutukana matusi.

moja umenijibu

pili... sijui ...umetumia kipimo gani?

unajua maana ya kujadili?

define matusi?


afu kuandika kurasa lote hilo pasipo mantiki au research kamilifu ni kipimo pia cha uwezo mdogo wa kufikiri.
 
TAtizo umekariri n hutaki jubadilika,pole sana kijana.

jubadilika ndo nini? kama hujui maana ya kukariri sema uambiwe...mana huwa unaleta vitu ambavyo sio wewe uliyefikiri unachokifanya ni kukariri pasipo kuelewa maana na kuja huku kutafuta majibu.

kama mi kijana sinabudi kukuita mzee logically YOU CANT TEACH AN OLD DOG NEW TRICKS

huwa nakuambia jaribu kufanya hypothetical thinking japo kidogo yani huna cha maana from your brain rather than sitting on others books and defend this is what we call it SHALLOW MIND
 
Back
Top Bottom