Niijuavyo Freemasonry

Niijuavyo Freemasonry

mtoa mada sasa kama ni kitu ulichowaza wewe bila kupitia machapisho umejuaje kama ilianza enzi za solomon kwan ulikuepo?au ndo unajisemea tu.

Kutokuwepo enzi za solomoni haimaanishi nisijue kilichotokea,.Neno kuwaza halimaanishi kuanzisha!
 
Baada ya kupitia mada na comments zote hii mada imekosea jukwaa na pia imepotosha jina la jukwaa.. mi nadhani mtoa mada angeipeleka mada yake kule kwa wanasiasa au michezo au sehemu ingine yenye ushabiki.. sorri mtoa mada lakini

Kwa mtizamo wangu nataraji kuwa hapa ungetupa reference na baadhi ya citation kuwa ni wapi umetolea maana wengine huwa hatuamini kuwa kuwa mtu anaeza kudhani tu bila kuwa trained au kusoma ingawa unadai uliwahi piatia simulizi flani flani.

Hizi mada za free masoni au iluminati kwa sasa zina leak kama promo hi nikutokana na source ambazo zimebeba hizo info, ila kiukweli ukitaka kuzifahamu hizi habar za hawa wajamaa huwa hazipo complete kama tudhinivyo. Ili hawa wajamaa uwajuwe nilazima usome sana na usiegemeze usomi wako kwenye dini tu tena moja la hasha usome dini zote na historia na namna ya lugha ya siri na ta fsiri za maneno ya siri
Naamini sasa kama unata kuwa unataka kuanza kujua.. anza na kina kabalah kwanza ..kisha tree of life then tiririka mpaka kina huko utakutana na cypher kibao..
Mwishoni utajua sasa

Nami nachangia kwa akili yangu
 
Sasa kwa sababu nimejaribu kujibu maswali yenu kwa siku ya tatu mfululizo sasa,naomba na mimi niulize maswali nanyi mnijibu.(nimetumia neno" nimejaribu kwa maana najua hatukufika mwisho na inawezekana hamkuridhika)

1.Anyone from you, Prove to me the Existence of God out of Faith(msichanganye maana nimesema out of Faith ili kuwarahisishia).

2.Is GOD a Spirit or a Physical figure ?

3.What is CHRISTIAN/MUSLIM without JESUS & MOHAMMAD respectively ?

4.May you mention At least 3 problems which has been solved by Religion in this World ?

5.Y did God communicated only with the Middle Eastern people ?.Or warum sind alle Prophets von Mittel Ost gekommen sind?,(Kwa nn manabii na mitume wote walitoka Mashariki ya kati),

6.Nambien kwa nn mtoto mdogo anazaliwa kilema nawakati mungu hakuumba vilema?,Na mnambie mahala ambapo vitabu vya dini vimeongelewa vitu kma mtoto kuzaliwa kilema,appendix,sikoseli ,ukoma,kwamba vinatokana na nn.(msinambie n laana kama enzi zile za ujinga walivoamini)

7.Nahitaji evidence kwamba Yesu alitoka kwa mungu(sio imani please),pia kwamba Mohammad alitokewa na mungu pangoni.

8.Kisha mnambie If we were created by him,kwa nn aliaxha watu waabudu miungu ya kuchonga,mawe ,jua ,mwezi(kumbuka Hata Ibrahim aliabudu jua,mwezi kabla hajapata idea ya mungu asiyeonekana aliyoitoa kwa jiraNi zake waliochoka kuchonga kila siku munhu mpya).Kwa nn atuache tumtafute badala ya yeye kututafuta?.Naanisha kwa nn watu wa zamani hawakumjua moja kwa moja?,kwa nn baadae?
...

...jibuni hayo kwanza maana mko wengi.. mkinijibu sahihi Nabatizwa,ama naslim ten nafunga mwez mtukufu,,kila la kher watu wa mungu.Mnaweza kugawana maana mko wengi,
 
Kutokuwepo enzi za solomoni haimaanishi nisijue kilichotokea,.Neno kuwaza halimaanishi kuanzisha!

Hujaelewa nilichosema.Nimesema kama ni mawazo yako binafsi bila kupitia machapisho ya kihistoria kuhusu freemason wewe umejuaje kama ilianza kipindi hicho?kwasababu kama umezaliwa miaka ya 1900's huwezi jua vya nyuma kwa akili zako binafsi lazima usome historia ya kitu fulani ndipo ukifahamu...sasa wewe unasema hujasoma machapisho ya watu si unataka kusema uongo sasa au?haya hujasoma kuhusu freemason kwa watu wengine umejuaje kama walianza kama wajenzi?usitake kuonekana unajua kumbe ni vitu vinavyo fahamika kutokana na historia zao na si mawazo yako.Hahahahah na unanichekesha zaidi eti "KUTOKUEPO ENZI ZA SOLOMON HAIMAANISHI NISIJUE KILICHOTOKEA" sasa unajuaje???na umesema ni mawazo yako kwa hiyo unajitungia tu si hivyo?
 
seanherms,

Hujanielewa pia ndugu,nikuulize swali?.Nmbie sasa hivi bila kuchambua popote unamuelewa vipi Nyerere?.Ndio ninacho maanisha hapo juu
 
Mshana Jr,

Ushindwe na ulegee! Bwana Yesu hakuja kuhukumu huku duniani ila alikuja kuwakomboa watu na hiyo imani ya Freemason ya kuabudu shetani vilevile uelewe shetani hana kabila rangi wala namna ya kuabudu wote ni aina moja achinje kondoo,tambiko la binadamu ulozi yote ni uchawi au ushirikina kama tunavyouita sasa,wale wachache ambao walikuwa na nguvu ya kipato wakati huo waliiendeleza imani hii ambayo ndiyo sababu ya Mwenyezi mungu kumtuma Bwana Yesu ili kuja kuwakomboa wanadamu,ndiyo sababu leo hii kuna nguvu ya maombi kwa jina la Yesu na nguvu zote za kishetani zinashindwa hizo! za ki freemason na kamwe alama zake haziwezi kufanana na za kimungu na ujue ya kuwa shetani alikuwepo humu duniani tangu mwanzo alipomdanganya mwanadamu na kutupwa nje ya utawala wa kimungu na vilevile alikuwa malaika na hiyo shughuli ya kudanganya na kujikweza anayo hadi hivi sasa.

Hayo majumba na utajiri wote na nguvu za kisiasa wanapewa na shetani ndiyo sababu una masharti yake kwasababu shetani ana ushawishi mkubwa sana ukumbuke hata Bwana Yesu alijaribiwa kwa siku 40 jangwani na kushinda majaribu yote ya shetani.
Hao ndiyo freemason awe mchawi mwafrika au mzungu mhindi uchawi na ushawishi ni uleule kwani ni wa kishetani.

Hivi sasa kuna vita kubwa sana kati ya wafuasi wa Yesu na wa shetani ambao shetani anaelekea kushinda kutokana na ushawishi wake wa mambo ya kidunia kwa kuwa hakuna anayejua huko ahera kukoje zaidi ya kusimuliwa ila wengi wa wafuasi wakristo wanaamini ukimkataa shetani na kazi zake zote basi utarithi uzima wa milele yaani utakuwa malaika mzuri wa mungu ambaye hafi kwani ni yuleyule jana na leo na kuwa utakuwa umeshinda majaribu ya shetani(Freemason) mwisho wake ni duniani na hana nafasi ahera.
 
HOMOSAPIEN,

yesu mbona naskia hashindwi kitu.. Sasa mbona unasema kwenye hiyo vita yake na shetani, shetani ndo anaelekea kushinda..? Watu mliokariri dini bila kufikiri mna matatizo ya kujikanyaga kanyaga ivi ivi.
 
Enyi mnaojiita wa watu Mungu.. msikubali kufuata taratibu zote mlizikuta duniani nyingi zimewekwa na watu ambao si werevu kama ninyi.. Jifunzeni Tazama Biblia ilikuwa inasema dunia ndio kitovu cha ulimwengu Jua pamoja na magimba mengine huizunguka lakini haikuwa kweli.Dunia iliumbwa miaka 4000 iliyopita lakini tanzania waligunduliwa mijusi walioishi miaka milioni iliyopita
 
Enyi mnaojiita wa watu Mungu.. msikubali kufuata taratibu zote mlizikuta duniani nyingi zimewekwa na watu ambao si werevu kama ninyi.. Jifunzeni Tazama Biblia ilikuwa inasema dunia ndio kitovu cha ulimwengu Jua pamoja na magimba mengine huizunguka lakini haikuwa kweli.Dunia iliumbwa miaka 4000 iliyopita lakini tanzania waligunduliwa mijusi walioishi miaka milioni iliyopita

aliosema miaka 4000 Nini??

na hiyo mijusi alisema nani??

tusikubali tukatae ili iweje??

we ni nani?nijibu hili


nani alianza kuhesabu mda nani aliuwepo??

unaujua ulimwengu ??prove the earth is not the centre of the universe in space view point??

akili ni nini?

nipe kiwango cha kupima uerevu ??
 
Is an association, na kwakutuwa wameingila siasa wanaweka watu ambao wanawapenda kushika madaraka. KAZI YAO KUBWA NI KUFUKUZIA NA KUPEANA DEAL NA HASA TENDA ZA UJENZI.
Membership ni by invitation sio APPLICATION. Wanapenda kurecruit smart BRAIN. Hela sio shida yao kubwa.
 
Is an association, na kwakutuwa wameingila siasa wanaweka watu ambao wanawapenda kushika madaraka. KAZI YAO KUBWA NI KUFUKUZIA NA KUPEANA DEAL NA HASA TENDA ZA UJENZI.
Membership ni by invitation sio APPLICATION. Wanapenda kurecruit smart BRAIN. Hela sio shida yao kubwa.

yeah EXACTLY
 
REALITY,

Remember the universe is infinitily expanding and therefore has no centre as it said 4BCE

From Adam To Jesus Apprx 4000yrs past,and we all know Jesus lived 2000 Apprx the total 6000yrs

Nyasasaurus parringtoni hili ni jina la mjusi mkubwa aliyegunduliwa miaka ya 1930s anakadiriwa aliishi miaka zaidi ya milioni 245 iliyopita from
 
Remember the universe is infinitily expanding and therefore has no centre as it said 4BCE

From Adam To Jesus Apprx 4000yrs past,and we all know Jesus lived 2000 Apprx the total 6000yrs

Nyasasaurus parringtoni hili ni jina la mjusi mkubwa aliyegunduliwa miaka ya 1930s anakadiriwa aliishi miaka zaidi ya milioni 245 iliyopita from

why anakadiriwa?

why aitwe hivyo?
 
Mtooa mada anasema ametoa kichwani kwa uzoefu tu. sasa tuseme alioteshwa au alishiriki na kuon? maana itakuwaje historia ya watu fulani na shughuli zao kwa kufikiri tu bila kuwasoma kuwasikia au kuwaona
 
Mtooa mada anasema ametoa kichwani kwa uzoefu tu. sasa tuseme alioteshwa au alishiriki na kuon? maana itakuwaje historia ya watu fulani na shughuli zao kwa kufikiri tu bila kuwasoma kuwasikia au kuwaona

kasoma anachofanya ni kuwasaidia kueneza
 
Back
Top Bottom