ng'wanantwe2012
Member
- Feb 15, 2014
- 9
- 1
Haya bwana
sio kwel huo ni uchawi na utapel
Utapeli huu,si kirahisi hivo
Sio lazima uwe muislam ili ujue kiarabu
Nijibu swali kwanza. Then niulize swali basi na wewe vile vile ni tapeli tu
Swali si lazima lijibiwe na swali,lakini swali kutojibiwa kwa swali haibadilishi swali,jibu la swali linaweza kuwa swali litakalojibu swali kwa kuuliza swali.
Unaleta ngonjera tu hapa. Jibu swali au ndo biashara matangazo?..
Nilijua mapema kwamba hautaweza kuelewa niluichoandika
Sijaelewa nini? Nimekuuliza swali umeshindwa kunijibu...
Hili swali jingine hujajibu "hiyo avatar yako ni moja ishara ya Freemason??
Pili hiyo avatar moja ya ibada ya freemason??"
"Reading between lines"huo ndio msemo wa waingereza. Ukimsoma mleta mada katikati ya mistari, unaweza kugundua ni mmojawapo wa masonic member au anataka kujiunga nao ila anakuwa na hofu inayotokana na namna watu wanavyohusha imani ya masonic na ushetani, kwa hiyo huenda kilichomfanya aanzishe mada hii ni kupata faraja ya uongo kwa watu wasiojua chochote ama waumini wa mason.
Mwanzo amesema kuwa hajatumia chapisho lolote ama historia ktk mada yake! lakini akamtaja mfalme Solomon! je anamjua? alimjuaje?
Hapana hauko sahihi,usinihukumu hivyo.
Ni wapi nimekuhukumu?