Niijuavyo Freemasonry

Niijuavyo Freemasonry

Mtoa maada ww dini yako ipi?huwez kumtamka mason usimtamke shetan kama usivyoweza kumpamba nyoka kama ww sio nyoka.think big
 
Mtoa maada ww dini yako ipi?huwez kumtamka mason usimtamke shetan kama usivyoweza kumpamba nyoka kama ww sio nyoka.think big

,Unaposema dini unamaanisha nn,maana waweza kuwa tofauti na mimi katika maana ya neno dini.kama unamaanisha maana ya dini kwa kumaanisha vitu kama uislam na ukristo,jibu ni kuwa ,kiufupi sina dini na sijafikilia kuwa na dini.kma unamaana tofauti naa hiyo naweza kukujibu dini yangu ipi.
 
Sasa kama hukumbuki swali, utakua unakumbuka ulichoandika mkuu? Au tunapoteza tu muda hapa?

Nimejibu maswali mengi,so ukikaa siku mbili kisha ukaja kuuliza kwamba mbona sijajibu swali,hapo utakuwa umekosea,nikimbushe tena maana mimi sio Computer
 
Kuhusu namba 666,wala usiwe na hofu maana haita kudhuru wewe wala ndugu yako,na sio namba ya madhara ndo mana huwa nadema hapa kila siku kuwa watu wanatafsiri visivyo mambo haya.,kuna vitu vingine haviepukiki tayar vipo na vingine vingi huvijui,lakini pia unatakiwa kujua kwamba hofu yako haitasaidia kitu maana huna haja ya kuwa na hofu.hakuna baya zaidi ya mema na usiogope mambo ya watu.karibu

Kwa imani yangu 666 itaathiri watu so straight....

KIVIPI?

1) watu hawataruhusiwa kuuza wala kununua kwa watakaokuwa kikwazo

2) watalazimishwa aina fulani ya ibada wether you like or not

3) vita dhidi ya ugaidi fake itazidi kupigwa ili kuwatia watu hofu juu ya mstakabali wao


4) Magonjwa ya kutengenezwa laboratory yatazidishwa ili kurahisisha mind attack kwa watu
 
Free ideas,

Kasome kitabu cha Daniel,

Hata siku moja haitawezekana chuma na udongo kushikana.....kwa mfano..

Nchi za kiarabu katu haziwez kufungamana na nchi kama Marekani.....Ukitaka kuprove nnachokuambia angalia East Africa Community inavyosuasua

Angalia Tanganyika na Zenji ilivyo majanga

Angalia EU matatizo inayokumbana nayo

Tazama hao unaowatetea wanavyojaribu kutaka kuingiza mambo ambayo ni Immoral kama usagaji,ushoga...hayahitaji hata Mungu kujua kuwa ni Immoral,Vitu ka' hivi vitakuwa kikwazo katika muungano wowote watakaouhitaji
 
La Princesa,
Kutokuruhusiwa kuuza wala kununua, utakuwa mfumo kama mifumo mingine na wala haitakuwa ngeni mkuu,. Kwan nn kinatokea kariakoo kuhusu mashine za TRA??, kwamba lazima wauze na kuregister katika mashine ili ushuru ukatwe kirahisi. Mambo hayo yapo na usisubili kwamba kuna siku utatangaziwa kwamba haya ndo mfumo umeanza leo. Vipi mambo kama mgambo wa jiji kuwafukuza wamachinga. Kwamba wafuate utaratibu waka. Kuuza mahala paliporuhusuiwa?? Hayo we unayaona halali??, kwa taarifa yako tayar mfumo wa sheria moja ushaanza wala hutakiwi kuusubili.
Unafaham maana ya Bomoa jiji??, kwa nn kuna bomoja jiji??
Ulishawahi kujiuliza kwa nn wanachama wa vyama vya siasa wanasare??, jibu ni kwamba ili watambuane kwamba wao ni wamoja. Asiye na sare yao maana yake sio mwenzao. Tuache hayo maana ni mengi.

Kulazimishwa aina flani ya ibada pia haitakuwa jambo geni maana siku hizi dini ama madhehebu yanaungana na kuwa kitu kimoja. si ajabu mwaka 2037 tukawa na aina flan ya kuabudu ambayo itageuka taratibu na kuufata misingi iliyopangwa, tahadhar hapa sio nia mbaya kabisa ni aina tu ya maisha yasiyo na hofu kuu mliyonayo mioyoni.
 
La Princesa,

Nchi kuungana ni jambo lisiloepukika kabisa. Usiwe na wasiwasi na EAC, ama EU, ni hatua tu wanapitia katika kutimiza kile kinachoitwa nn hasa madhumuni ya kuungana na nini matarajio ya baadae.
Amini usiamini uislamu na ukristo kuwa maadui haina miaka 100,ni jambo liliwazi na hakuna kinachoshindikana kabisa ni mipango tu. Na ndo mana huwa kuna usiri na siku zote mambo yafanywayo kwa siri huzaa matunda.
 
umekopi wewe acha kusema ni mawazo yako

Kwa nn unaamini kwamba nimekopy??, kwa nn huamini kwamba ni mawazo yangu??, kwa nn unaamini kwamba siwez andika kitu kwa free minded??, sijakopy popote na sio lazima uamini,. Unadhan mzungu pekee ndo anauwezo wa kufikiria na kuanzisha kitu??
 
Free ideas unaona matatizo yako ayo!
Umeulizwa maswali badala ya kujibu wewe unauliza! Tutafika kweli?
Kwanini usijibu and then uulize maswali yako?

Ni Matatizo ya watu wanaokariri umesahau tu, wewe ni mmoja wa wanatumia maswali kujibu maswali...
 
Last edited by a moderator:
2013,

Plz plz plz LUCIFER SIO SHETANI, NI MAKOSA YA KIUANDISHI, LUCIFER NI YESU KRISTO MUNGU ALIYE HAI. USISTUKE HEBU TAFUTA UKWELI NDUGU YANGU. NYOTA YA ASUBUHI (LUCIFER) SIO SIFA YA SHETANI...FOLLOW THE TRUTH WHERE IT LEADS YOU
 
Mtoa maada ww dini yako ipi?huwez kumtamka mason usimtamke shetan kama usivyoweza kumpamba nyoka kama ww sio nyoka.think big

freemasonry haihusiani na dini, japo freemason ana uhuru wa kuwa na dini.
 
Plz plz plz LUCIFER SIO SHETANI, NI MAKOSA YA KIUANDISHI, LUCIFER NI YESU KRISTO MUNGU ALIYE HAI. USISTUKE HEBU TAFUTA UKWELI NDUGU YANGU. NYOTA YA ASUBUHI (LUCIFER) SIO SIFA YA SHETANI...FOLLOW THE TRUTH WHERE IT LEADS YOU
Mkuu, i must admit kuwa huo mkanganyiko unaousema, kuhusu "nyota ya Asubuhi".. nadhani nimewahi kuuona mahali japo sikumbuki vizuri ni wapi hasa.
Ila kuhusiana na neno Light barrier(mtoa mwanga), ..linamwakilisha Lucifer(Fallen Angel). That is why ''Illuminati" wanamwamini huyu Lucifer .Sababu ni kuwa aliwa-illuminate(Aliwapa mwanga na anaendelea kunawapa mwanga wanajua mema na mabaya).
kuna kipindi kinaitwa '' Decoded'' kinarushwa DSTV, kuna wakati waliwahi kuelezea maana ya Ile statue of Liberty wakagundua inamwelezea lucifer!!!.na wakasema sio lucifer aliyehasi(wakiwa na maana Lucifer anayejulikana ni yule aliyehasi-Fallen Angel) na hivyo Yesu kristo(Yeshuan) ndilo jina lake(Mungu pamoja nasi).
 
Back
Top Bottom