Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,975
- 25,288
.....
.... karibu Chuga lango la mamtoni
.... karibu Chuga lango la mamtoni
Mautarii??? HeheheKwanini mbeya?? Make nimesomea mautarii..!
tumeshajua tunapoteza muda kumshauri mtu wa aina GaniSiyo! Maana nina zaidi ya miaka 4. sijafanya kazi ya utalii, mimi ni jiko la shamba sichagui kuni, ili mradi fursa ya pesa..!Mautarii??? Hehehe![]()
tumeshajua tunapoteza muda kumshauri mtu wa aina Gani
Sante mkuu!.....
.... karibu Chuga lango la mamtoni
Siyo boya kiivyoo mkuu!Upo msingi au sekondari?
Arusha ujue kukimbizana na noti,vinginevyo ubakie Dar
Natamani kubadili mazingira nitarudi in the next..!Itapendeza ukibaki Dar
Sante! Mbeya is my home.Karibu mbeya mkuu nitakuw mwenyeji wako huku mabomba yanatoa maziwa na asali
Ujue mie nakufeel sana PretaUpo wapi saa hii,.........?.....w/end ujue......
Ndiyo nini sijakuelewa..Arusha kuna pisi kali .... mbeya utaishia kunyetoka tu
Huhuhuhuh..! Jamani mwenzenu nimeokoka, aisei..Ukitaka maisha kuvuta bange, kusokota dread au kuvaa kimasai ili ugonge wazungu nenda Arusha. Ila uwe na mabega imara kwa ajiri ya kubeba mabegi ya wazungu
Hamia pale ambapo una michongo na unajua utakachofanya ukifikaNaomba watu mnaofahamu vyema haya majiji mawili mnishauri kitu, natamani kubadili sehemu ya kuishi kwa miaka zaidi ya kumi niko Dar es Salaam.
Sasa naona ni muda wa kubadili makazi nina machaguo mawili Mbeya na Arusha hii ni miji miwili ninayoipenda sana, so please nishaurini.
Arusha naijua ingawa siyo sana, ila Mbeya sijawahi hata kufika huko, nataka nikaanze upya kabisa from zero Dar es Salaam imenichosha napambana sitoki better nichange mazingira.
PLEASE NISHAURI KAMA UNAFAHAMU VYEMA ENEO KWA MAANA YA FURSA ZILIZOPO NA UCHACHE/WINGI WA FURSA KWA KIJANA ANAYEANZA MAISHA.
Asante!Mkuuu mbeya ingependeza zaidi .....naishi arusha nauelewa ule mji ni expensive kwa mabegginer kwahiyo haitakuchukua mda mpaka uwe tee mfukon .....ila mbeya na mwanza cheap sana na chances zimejaaaa kibao ni ww nakujiongeza tu ila arusha panakauzito sana
Ktk sekta ya tourism unataka kuajiriwa ama kujiajiri?Kuna fursa gani uko mkuu?
Ndio maana nikasema aende mbeya akajipange then akiwa na fedhe aje arusha.kwamaana hiyo Arusha ni sehemu wanayoishi wababe sana kama jamaa sio mkorofi awe ku-negotiate na hao wakorofi akajiepusha nao basi ata servive ...
Arusha ni sehemu nzuri sana mkuu. Hila maisha ni ghari sana sio sawa na mbeya
Ujue mie nakufeel sana Preta
Nitafaidi migebuka huko, shida zitto atanifanyia fitinaUkienda kigoma itapendeza zaidi!