Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 21,854
- 27,025
Siyo mzee, alisema mwana kwamba atakayefika december bado yupo dar ni mwanaume. Naona jamaa uanaume umemshinda aende SIMIYU.Mzee alisema mapema mtakimbia town wenyewe
Siyo mzee, alisema mwana kwamba atakayefika december bado yupo dar ni mwanaume. Naona jamaa uanaume umemshinda aende SIMIYU.Mzee alisema mapema mtakimbia town wenyewe
Njoo nikuuzie shamba huku ndurumaMimi zaidi trekta aisei...!
Kila la kheriDsm siyo kwamba kumenishinda kiivyo shida ni target zangu nitarudi ngoja nikakusanye nguvu
Preta please nikuoneArusha.......jiji la madolare.......
njoo........
Preta please nikuone
Matako barUpo wapi saa hii,.........?.....w/end ujue......
Matako bar
Sema night park bar acha hilo jina sio la huku mitandaoniMatako bar
Unajua hilo jina ni waungwana tu waliwakatia wale individual wanayofanya kazi pale kwa kua huko nyuma sio masiara, ukimiliki demu wa pale ni sawa na unamiliki mzigo fulani hivi wa maana kwenye life lakoMatako bar
Ukiwa unaitwa risasi ukifika ulaya utajiita bullet?Sema night park bar acha hilo jina sio la huku mitandaoni
Hahaaaaaaa pale ni hatar sana mkuuUnajua hilo jina ni waungwana tu waliwakatia wale individual wanayofanya kazi pale kwa kua huko nyuma sio masiara, ukimiliki demu wa pale ni sawa na unamiliki mzigo fulani hivi wa maana kwenye life lako
Mzee alisema mapema mtakimbia town wenyewe[/QUOTE
Wanaoaga kama hivi ni wachache, wengi wameshaondoka kimya kimya.
Ukiwa unaitwa risasi ukifika ulaya utajiita bullet?
The bullet inside the gun, ndio ntajiita hivyo @ Internal.Mkuu hamia mbeya tena nakushauri nenda Tunduma.Nakushauri uende huko kwa sababu zifuatazo
1:Hakuna ukabila kwenye ile boda,watu hawashughuliki kujua wewe ni nani na umetoka wapi,wapo bize na kutafuta pesa.Arusha kuna ukabila kiaina,ikiwa wewe si mzawa wa kaskazini itakuchukua muda kutengeneza chaneli hususani za biashara.
2:Ukiwa Tunduma utakutana na watu wa mataifa mbalimbali ambao wanafanya ujasiriamali wa kuuza na kununua bidhaa kama vile samaki,mahindi,ulezi nk kwa mtaji mdogo unaweza ukaanza na baadaye ukakua taratibu.Arusha fursa kama hizo zimebanwa sana.
Ikiwa utakua kimtaji na ukawa unaishi mbeya ni rahisi ukanunua mazao ya chakula na kupeleka Arusha kuuza,ukiwa Arusha huwezi kununua mazao kule na kupeleka Mbeya.
4:Watu wa Mbeya ni wakarimu kuliko wale wa Arusha,ni rahisi kupokelewa Mbeya hata na watu wasiokujua na ukaishi nao na kufanya mambo yako.Arusha ni ngumu kupokelewa kirahisi hususani kama sio mwenye asili ya kaskazini mwa Tanzania
Ukweli asilimia mia moja ndugu yanguBro si kweli kabisa,we mwambie tu arusha panaugumu lakini sio kwamba kuna ubaguzi..ktk mikoa ambayo haina ubaguzi ni Arusha,mwambie wajuaji ni wengi,wengi wanaijua hela vilivyo.ukiitoa Dar sehemu yenye mwingiliano wa makabila mengi ni Arusha.tatizo pale hata shilingi mia hakuachii kila mtu anaijua hela