Nihamie wapi kati ya Arusha na Mbeya?


M

mjasilia

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2012
Messages
574
Likes
82
Points
45
M

mjasilia

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2012
574 82 45
Naomba watu mnaofahamu vyema haya majiji mawili mnishauri kitu, natamani kubadili sehemu ya kuishi kwa miaka zaidi ya kumi niko Dar es Salaam.

Sasa naona ni muda wa kubadili makazi nina machaguo mawili Mbeya na Arusha hii ni miji miwili ninayoipenda sana, so please nishaurini.

Arusha naijua ingawa siyo sana, ila Mbeya sijawahi hata kufika huko, nataka nikaanze upya kabisa from zero Dar es Salaam imenichosha napambana sitoki better nichange mazingira.


PLEASE NISHAURI KAMA UNAFAHAMU VYEMA ENEO KWA MAANA YA FURSA ZILIZOPO NA UCHACHE/WINGI WA FURSA KWA KIJANA ANAYEANZA MAISHA.
 
R

REALNEGRONEVABROKE

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Messages
1,066
Likes
1,393
Points
280
R

REALNEGRONEVABROKE

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2017
1,066 1,393 280
Popote kambi, komaa mwanaume...!

Ningeweza kukuambia MBEYA na MWANZA ingependeza zaidi....maisha yanafanana kimtindo na kuchomoka ni fasta!
 

Forum statistics

Threads 1,237,962
Members 475,776
Posts 29,308,051