Nihamie wapi kati ya Arusha na Mbeya?

Naomba watu mnaofahamu vyema haya majiji mawili mnishauri kitu, natamani kubadili sehemu ya kuishi kwa miaka zaidi ya kumi niko Dar es Salaam.

Sasa naona ni muda wa kubadili makazi nina machaguo mawili Mbeya na Arusha hii ni miji miwili ninayoipenda sana, so please nishaurini.

Arusha naijua ingawa siyo sana, ila Mbeya sijawahi hata kufika huko, nataka nikaanze upya kabisa from zero Dar es Salaam imenichosha napambana sitoki better nichange mazingira.


PLEASE NISHAURI KAMA UNAFAHAMU VYEMA ENEO KWA MAANA YA FURSA ZILIZOPO NA UCHACHE/WINGI WA FURSA KWA KIJANA ANAYEANZA MAISHA.
Kama uko interested na mambo ya utalii na unaongea kiingereza vizuri waweza kwenda arusha, ni pagumu sana ila mambo yakisoma vizuri kwenye utalii utaenjoy mno.
Ila usiende this year, may be next year maake corona sio poa kabsa, imeathri uchumi wa arusha kupita maelezo.
Nje ya hapo nenda mbeya....utatoboa.
 
Back
Top Bottom