- Thread starter
- #101
Kiufupi naweza kaa popote ila niko confused which is best...! Napenda hizi majiji mbili sana.okay if u are what you say you are then go to Arusha ,to see and to be seen.Seeing is believing!
Kiufupi naweza kaa popote ila niko confused which is best...! Napenda hizi majiji mbili sana.okay if u are what you say you are then go to Arusha ,to see and to be seen.Seeing is believing!
Nikoconfirm R-chuga nitakufuta mkuuBasi cheza na fursa sasa
Si kweli...kila mtu ana jicho lake la kutazama fursa. Mfano Fursa ninazoziona hapa chugga Dar sizioni so no way nihame Arusha nije Dar.So the fact on the table is hakuna uniformity katika spectrum ya kuangalia fursa.Mf pia utalii Arusha ndio apex huwezi kumshauri mtu aache utalii Chugga aje aufanyie Dar.Rafiki deal zote ziko Dar nje ya Dar hutoki labda ukalime. Rafiki wengi wanakimbilia dar huko vyuma vimekaza
Sitapuuza ushauri wa mtu hapa, labda uwe wa mzaha..! Lastly nitaamua sante kwa kuchagiza.Mjasilia sikiliza ushauri wa SK2016
Sante! Mkuu nawaza km wewe vileArusha ipo vizuri katika mzunguko wa fedha kuliko Mbeya mbali sana na kufanikiwa Arusha ukipata mzunguko ni rahisi zaidi kuliko mbeya...urahisi wa mbeya ni chakula tuu..Mimi nimezaliwa na kukulia mbeya nilipotoka Nje niliishi Dar baadae nikaamia Arusha biashara na maisha wala sijutii kabisa...
Nakuelewa braza kabisa..! Unajua arusha siyo mgeni kiivyo pia maisha siyo ghali hivyo labda starehe ndiyo ghali kinamna fulani.Mwaka huu tumepokea watalii 1472000 lakini watalii 976000 walifika Arusha peke yake na hao wengine walifika Arusha wakaenda mikoa mingine pia alafu mtu akuambia uende Mbeya eti ukauze mchele na wewe ni graduant sababu ya kuogopa maisha cheza na fursa mwanangu
Huhuhhhh! Haya bhana nipokee next month..?Okay dude...you are warmly welcome at Arusha.Talking about ex seminarians i know absolutely what the hell are you talking about.As a man and according to what you said about you therein above the city is applauding for you.Welcome lets keep on rolling the ball.
Si kweli nipo dsm for more than ten yrs.. Kuna pesa ya kuishi tuuh ila kuaccomplish dream ni too challenging!Rafiki deal zote ziko Dar nje ya Dar hutoki labda ukalime. Rafiki wengi wanakimbilia dar huko vyuma vimekaza
Dah.... Umevumilia umeona vyuma vimebana....mbona alisema..Dar watabaki wanaume tu..... Si mchezoNyau wewe..

Kuna fursa gani uko mkuu?Kama unataka kutoka kimaisha na haraka nakushauri hamia mbeya
Kuna fursa gani uko mkuu?Mbeya utatusua hata ukiwa goigoi. Arusha kunahitaji jitihada kwa sana lasivyo utasoma namba zaidi ya ulikotoka (Dar)
Welcome bro.Huhuhhhh! Haya bhana nipokee next month..?
Sante mkuu..!Welcome bro.
Mimi zaidi trekta aisei...!Njoo chuga utaishi kama malaika,ila ukiwa mvivu utaishi kama shetwani
Why mbeya??Mbeya itapendeza zaidi
Niliwahi kupita kidogo Arusha,niliishi pale Kaloleni,nilipokua nikiishi kuna mama mmoja wa kitanga alitokea kunikubali,one day akaniomba nimsindikize kwenye biashara yake ya mawe,alikua anatoa mawe Lushoto anaenda kuuza Arusha,nakumbuka tulitoka home mida ya saa2,tukapitia pale Metropol kulikua na mgahawa unaitwa GREEN HEART kama sikosei,tukapiga tea ya hatali,nakumbuka yule mama aliacha kama 25k pale mgahawani as a bill Kisha tukaelekea sokoni kuuza mawe,tukaingia kwa mdosi mama akapiga deal la adabu,sikwambii alipiga bei gani maana "haikuhusu" tukaelekea Bank NBC mama akaweka mzigo,Kisha tukaelekea Jogoo house kutafuna nyama,baada ya kupiga lunch pale jogoo bi mkubwa akanipiga 400k "manina" kwa mwaka 2007 na kwa aina ya maisha niliyokua nayo akawa kanitoa sana...jioni tukaibukia pande za 7x7 kula mishikani!!from there nikaipenda sana Arusha na nikaona kumbe Arusha ni poa sana,so one day napenda nije kuishi Arusha Insha'Allah!Mkuu nishawishi why ARUSHA ingawa nina kijiuzoefu na utarii..
'Omarion' Arusha sio mji wa kuvamia vamia lazima ujipange vizuri,nimeishi arusha na kuhama na kurudi na kuhama na kurudi kwa kazi zangu zilivyo,lakini Arusha sio pa sportsport na ukiweza kuishi arusha mkoa wowote utaishi,ila mbeya na watu wake ni wakarim mno kushinda watu wa arusha ni wakorofi na wababe,ila mbeya achunge roba za mbao.Mpaka sasa hivi nipo Arusha.


kwamaana hiyo Arusha ni sehemu wanayoishi wababe sana kama jamaa sio mkorofi awe ku-negotiate na hao wakorofi akajiepusha nao basi ata servive ...