kamangaza25
Member
- Apr 11, 2011
- 41
- 20
Nenda Mbeya Mkuu, Arusha wengi wanaishi ktk Ndoto
Sante!Nenda Mbeya Mkuu, Arusha wengi wanaishi ktk Ndoto
Okay! Understand braza..Labda nitumie kiswahili lugha imekuchanganya
Ninaposema opportunities nilimaanisha kuna fursa nyingi za kumuingizia mtu kipato endapo ataamua kuzitumia hizo fursa.
Kwa upande wa maisha nayo yako chini pamoja na mzunguko wa pesa kuwa mkubwa bado maisha si ghali kwa ujumla wake si chakula,nyumba na mavazi pia,yaani ile basic needs utazipata kwa gharama ndogo sana mbeya
Mbeya fursa za kibiashara ni nyingi inategemea na interest yako ww iko upande upi,kama unapenda biashara ya mazao ule mkoa ndo ghala la chakula,na ni mkoa ulio mpakani mwa Zambia na Malawi hapo mbeya utafanya biashara na wakongo,wazimbabwe,wazambia,wamalawi na ata waafrika kusini.kwenye boda pale Tunduma au bora ya Malawi Kule kyela
Lakini pia umezungumzia uzoefu wa tours hii pia ni opportunity ambayo IPO siku hizi mbeya kuna Songwe international airport ndege za kimataifa zimeanza kutua pale na wageni kila kukicha wanaingia pale mbeya kwa ajili ya kutembelea vivutio vilivyo nyanda za juu kusini,mbeya pana kampunii nyingi za tours
Ningekushauri kabla ya yote nenda kwanza kafanye survey kidogo kaa ata wiki then uje uende arusha ukae wiki nako
Naamini baada ya hizi survey utapata jibu sahihi kabisa
Nikutakie kila lakheri katika safari yako yakuhamisha makazi
Mkuu in two weeks to come nakuja, please nitakutafuta unioneshe vichochoro jamaa yangu.Kama unaudhoefu wa utalii njoo Arusha, kuna jumla ya makao makuu ya ofisi za kitalii 724 ambayo ni zaidi ya 96% ya makampuni ya kitalii yote yanayofanya kazi zake hapa nchini.
Sante!Kwa mujibu wa data za per capita income za serikali,MBEYA inafuata baada ya dar so hamia mbeya watu wana purchasing power kubwa
Manyire kwetu nna eka 2.5 milioni 6o kama uko poa njoo inbox.Preta natafuta Shamba maeneo ya Mlangarini au Manyire...kama heka mbili hivi
Mkuu niko Arusha braza ebu nipe maujanja kakaNjoo Arusha uishi kama upo Ulaya
Mkuu nilitua matako bar juzi kati mitaa ya miazini si mchezo braza.Unajua hilo jina ni waungwana tu waliwakatia wale individual wanayofanya kazi pale kwa kua huko nyuma sio masiara, ukimiliki demu wa pale ni sawa na unamiliki mzigo fulani hivi wa maana kwenye life lako
Dsm niliikimbia serikali sasa nifuate huko tena! By the way niko chugga tayari.Hamia dodoma , si umesikia serikali inahamia huko
Dsm niliikimbia serikali sasa nifuate huko tena! By the way niko chugga tayari.
Nipo huku mitaa ya sekei braza nakula kipupwe!Yeah chuga pako pw,
By the way! Nilikuwa sijastabilize dsm nikaona nibadiri upepo make dsm kalaa nyingi mno.Shuguli zako zinakuluhusu kuhama hama hvo mkuu?
Hamia Mbeya, gharama za maisha bado ni rafiki kuanzia chakula mpaka kodi ya nyumba. Apartment ya chumba na sebule Arusha naimani Mbeya unaweza pata family house nzima kutegemea na ubora.Naomba watu mnaofahamu vyema haya majiji mawili mnishauri kitu, natamani kubadili sehemu ya kuishi kwa miaka zaidi ya kumi niko Dar es Salaam.
Sasa naona ni muda wa kubadili makazi nina machaguo mawili Mbeya na Arusha hii ni miji miwili ninayoipenda sana, so please nishaurini.
Arusha naijua ingawa siyo sana, ila Mbeya sijawahi hata kufika huko, nataka nikaanze upya kabisa from zero Dar es Salaam imenichosha napambana sitoki better nichange mazingira.
PLEASE NISHAURI KAMA UNAFAHAMU VYEMA ENEO KWA MAANA YA FURSA ZILIZOPO NA UCHACHE/WINGI WA FURSA KWA KIJANA ANAYEANZA MAISHA.
Tunaomba mrejesho kama hutojari
Ni sehemu gani uliamua kwenda?