Nihamie wapi kati ya Arusha na Mbeya?

Nihamie wapi kati ya Arusha na Mbeya?

Njoo Chugga man tule maisha.

Ila kama unataka kutoka kimaisha nadhani Mbeya kuna fursa nyingi kuliko Arusha..

Kama una mtaji unaweza kuwekeza kwenye kilimo na ufugaji au mbishe nyingine, fursa nyingi sana zipo..

Changamkia fursa..
 
Back
Top Bottom