Nifundisheni maneno ya kuongea na mwanamke

sijuagi stori za kupiga nao kabisa ,siwezi kuwafanya wanichekee

Naonaga wivu nikiwa na rafiki zangu wa kiume af katokea demu naonaga rafiki zangu wakiongea maneno mengi mazuri mpaka wanafurahi ila mimi siwezi kama vile
Ni kwa sababu huna cha kusema.
 
Dah hili suala huwa linanipa shida sana

Napataga marafiki wengi wa kike ambao kwa namna moja au nyingine huonesha dalili za kunipenda niwe mtu wao sema shida inakuja pale wakianza kuongea na mimi wengi hupotea ghafla na mawazo yao ya kuwa wapenzi na mimi hufutika kabisa

Sasa niambieni maneno matamu au mada wanazopenda wanawake ili wasinichoke
Unacho hitaji ni subira na kujiamini. Usikurupuke kisa mwanamke kaonyesha interest na ww. Take it slow man...
 
Be yourself! Mdada anaekufaa atakupenda tu. Sio kila msichana ni wakwako.
Wasichana wanapenda confidence. Kuna wanaume hawaongei ata kidogo ila wadada wanajigongagonga kwao.
 
Hapa najaribu kuona mleta mada alivyokaa sehemu ana waenjoy wadau humu kwa majibu yao kumbe jamaa ni bonge la striker.

Au unakuta ni manzi ila anajikuta msela.

JF ni limsitu
 
Nyimbo za Bongo Fleva zimejaa kibao bado unakosa kujua maneno ya kuongea na wanawake ebu kuwa siriasi.
 
Dah hili suala huwa linanipa shida sana

Napataga marafiki wengi wa kike ambao kwa namna moja au nyingine huonesha dalili za kunipenda niwe mtu wao sema shida inakuja pale wakianza kuongea na mimi wengi hupotea ghafla na mawazo yao ya kuwa wapenzi na mimi hufutika kabisa

Sasa niambieni maneno matamu au mada wanazopenda wanawake ili wasinichoke
HR666 hilo suala lisikupe shida sana hata chembe. we wape [emoji389] [emoji388] [emoji387] [emoji386] [emoji385] [emoji384] [emoji383] tu uone. hiyo ndiyo lugha ya kisasa.
 
Kama huwezi kutongoza sidhani kama unaweza kuwa mjasilia Mali mwenye ushawishi
 
Dah hili suala huwa linanipa shida sana

Napataga marafiki wengi wa kike ambao kwa namna moja au nyingine huonesha dalili za kunipenda niwe mtu wao sema shida inakuja pale wakianza kuongea na mimi wengi hupotea ghafla na mawazo yao ya kuwa wapenzi na mimi hufutika kabisa

Sasa niambieni maneno matamu au mada wanazopenda wanawake ili wasinichoke
Ukiwa na hela au ukateuliwa kuwa flan, huitaji maneno mengi. Hata ukiwa bubu, kilema, mlemavu wa ngozi, miaka 73, utang'oa tu ma miss tz na bongo fleva.
 
sijuagi stori za kupiga nao kabisa ,siwezi kuwafanya wanichekee

Naonaga wivu nikiwa na rafiki zangu wa kiume af katokea demu naonaga rafiki zangu wakiongea maneno mengi mazuri mpaka wanafurahi ila mimi siwezi kama vile
Wanacho kiogea hao marafiki zako Uwe una copy
 
Back
Top Bottom