Nifundisheni maneno ya kuongea na mwanamke

Nifundisheni maneno ya kuongea na mwanamke

Kabla hujajifunza maneno ya kuwaambia hao wasichana,hebu jifunze kulia kwanza.

Maana kuwa na mpenzi na kulia sometime vinaendana.
 
Ninampango wa kufungua kituo cha concelling kwasababu kuna fursa kama hiz zinaachwa bure na kina ant sadaka eti eeh

Mleta mada nijibu maswali ya fuatayo hehehe

Kwani hauna dada?
Nyumbani hupigi stori na dada zako?
kwanini huonagi aibu kuongea nao?

Kuanzia leo anza kuandika CHECK LIST FOR BEHAVIOR DEFINITION

A. What is the group of people you commnicate within the specific situation
B. In what circumstances does the behavior occur that is1. at what time in what places does it occur.
3. What unique abt you when it occur
4. What is unique about others when it occ
C. Which of the present behavior that constitute the problem
1. Is the behavior specific
2. Is it observable
3. Is your description complete
D. Have you stated your target behavior clearlythat is
is it specific.
2.is it realistic
3.is it positive
3.does it deals with the frequent behavior
5.is itimportant?
6.is it controllable?
7.is it measurable?
is it growith facilitating?
now its time to assert your self
 
sijuagi stori za kupiga nao kabisa ,siwezi kuwafanya wanichekee

Naonaga wivu nikiwa na rafiki zangu wa kiume af katokea demu naonaga rafiki zangu wakiongea maneno mengi mazuri mpaka wanafurahi ila mimi siwezi kama vile
We we vipi? Unachouliza na Maelezo yako vinakinzana! Kwanini usijifunze kwa hao wenzio?
 
Mvute sehemu iliotulia alafu umbake kinguvu akiona utamu kesho akukimbii, atarudi mwenyewe
 
Ni rahisi sana fuata haya.

Kwanza kumbuka hakuna mwana wa adamu aliyezaliwa kwenye dunia hii na akawa kamili,
Kila mwanadamu ana mapungufu na kasoro. Hakuna aliyekamilika.

Sasa fuata haya maelezo ninayokupa. Inaweza ikawa njia nzuri ya kuwapata.

1. KUWA MSAFI, NADHIFU
Hii pia itakusaidia mno kukufanya mwanamke uliyekaa nae kujisikia raha na kuvutiwa na wewe.
Usafi wa mavazi, mwili, hata maneno utakayo ongea pia.

2. JARIBU KUWA MCHESHI.

katika mazungumzo yako utakapokuwa na mwanamke jaribu kupiga stori ambazo zitamfanya afurahi na kucheka kila muda hata akiwa peke yake aweze kukumbuka maneno yako na kufurahi,
Mwanamke anapenda mtu ambaye atamfurahisha kila wakati.

3. JARIBU KUONGEA POINTS.
usije ukafanya utani sana katika mazungumzo yako mchekeshe kidogo afurahi then endelea kongea nae mambo mengine, na jaribu kuongea points.

Ongea vitu vya muhimu na points akuelewe na sio ili mradi mnazungumza mfanye stake kukusikia mkiwa kwenye mazungumzo aweze kuvutiwa na stori yako.

4. JIAMINI.
unapo ongea na mwanamke usioneshe hata chembe ya uoga wala kujiuma uma na uongo uongo wa maneno utakayo zungumza,
Ongea kwa kujiamini kama gentlemen,

5. USIULIZE SANA MASWALI WAKATI WA MAZUNGUMZO.
hii itamfanya mwanamke asipende kupiga stori na wewe endapo ukiwa mtu wa maswali maswali.
Uliza maswali mawili matatu then endelea na stori.

Mfano unaweza kumuuliza hivi.

" DOREEN NAFIKIRI WEWE NI MTU WA KANDA YA KASTAZINI BILA SHAKA WEWE NI MTU WA MWANZA "
kwa mfumo huu ukimuuliza mawili matatu itamfanya asiboreke na kutohisi kama umemuuliza swali.
Na sio kufanya kosa na kumuuliza hivi.
"DOREEN WEWE NI KABILA GANI??
DOREEN UNATOKEA MKOA UPI??

kwa maswali hayo lazima ataboreka mno

6. ONGEA KWA SWAGGA.
hapo ndipo wanaume wengi huchemka
Utakuta mwanaume anapiga stori na mwanamke kama anasimulia hadithi za kusikitisha au kama anasoma biblia,
La hasha sio vyema kuongea namna hiyo unatakiwa uwe na swagga fulani hivi unaongea kwa madoido ama maringo fulani hivi ila kiswagga zaidi.
Onyo: usizidishe swagg kama huwezi ongea kawaida usije ukamtibua mwanamke wa watu. Sio wote wanapenda namna hiyo.

Ongea ukweli kiasi ndani yake yenye kumfanya amini na kukuamini wewe pia

STORI ZA KUZUNGUMZA NA MWANAMKE.
1. Maendeleo
2. Elimu
3. Michezo
4. Burudani
5. Maisha
6. Kazi.

Nyingine utaongezea mwenyewe kama si kujiongeza mwenyewe.
Fuata huu ushauri utakusaidia mkuu.

[emoji12] [emoji95] [emoji379]
Ile ya story ya tuma na ya kutolea hua unapigwa wapi
 
Dah! Hili suala huwa linanipa shida sana.

Napataga marafiki wengi wa kike ambao kwa namna moja au nyingine huonesha dalili za kunipenda niwe mtu wao sema shida inakuja pale wakianza kuongea na mimi wengi hupotea ghafla na mawazo yao ya kuwa wapenzi na mimi hufutika kabisa.

Sasa niambieni maneno matamu au mada wanazopenda wanawake ili wasinichoke.
Mwambie tu, oyaa utanipa lini kama hutaki sema nisepe zangu.....watakuheshimu tu.
 
Back
Top Bottom