Nifundisheni maneno ya kuongea na mwanamke

Nifundisheni maneno ya kuongea na mwanamke

Dogo ukitaka kwenda sawa na mwanamke, fanya hivi vitu viwili: Kwanza msifie. Msifie kwamba yeye ni mzuri. Msifie kwamba yeye kapendeza. Msifie kwamba ana akili, msifie kwamba ana busara. Chochote atachofanya, we msifie tu.
Pili mpe pesa. Ukiwa na efu kumi, mpe, ukiwa na efu hamsini, mpe, ukiwa na laki mpe. Mpe pesa yeyote uliyo nayo ila angalia tu usije kula ada.
 
Nafasi hamna imejaa
please shunie usinifanyie hivyo nionee japo huruma niko radhi kuwa kidumu

Kwako wewe sisemi wala sioni

Mimi ni kama pete na wewe ni kidole ,sasa bila wewe mimi si lolote wala si chochote
 
Umri wako mleta mada tafadhali kabla sijaanza kutiririka
 
Please shunie usinifanyie hivyo nionee japo huruma niko radhi kuwa kidumu;

Kwako wewe sisemi wala sioni

Mimi ni kama pete na wewe ni kidole ,sasa bila wewe mimi si lolote wala si chochote
mmoja ananitosha siwezi kuwa na wawili au watatu tafuta mkuu utapata na mm nakuombea upate
 
Mmoja ananitosha siwezi kuwa na wawili au watatu tafuta mkuu utapata na mm nakuombea upate
Naomba uniweke wa pembeni kama majaribio kati yangu na huyo uliyekuwa nae kisha ulinganishe mimi na huyo mtu wako nani ana mapenzi zaidi kwako
 
Mkuu ni bora ungesema kuwa wewe ni domo zege hujui kutongoza sasa kupitia jf ufundishwe jins ya kutongoza nadhan mada yako ingekuwa imejipambanua vizuri na sio kufundishwa kuzungumza haya ni mambo mawili tofauti mkuu rekebisha title tafadhal
 
Naomba uniweke wa pembeni kama majaribio kati yangu na huyo uliyekuwa nae kisha ulinganishe mimi na huyo mtu wako nani ana mapenzi zaidi kwako
Aisee huyu huwezi mfikia kwa chochote kile na siwezi mfanyia majaribio na kitu chochote kile ww ndio mana unakimbiwa huko.
 
Washike shike makalio ukiwaomba msamaha hakikisha unafanya vitu viwili kwa mara moja
 
Afazar umekuja

Sasa fanya hivi..! Kama una kaka au rafk ako wa karibu. Mpgie cmu huyo demu afu ongea nae kdogo zen mwambie kaka angu anataka akusalime baada ya hapo kaka yako ana asume kama huyo ni demu wako ataongea nae na kila neno akiongea awe anataja shemej..mfano "mambo shemeji yangu" , "nahtaji kukuona shemej yangu"..lini utakuja shem lake"? Amini usi amini demu hawez tengua kauli ya kuitwa shemej zen kaka ahakikishe ana ambiwa na huyo demu lini anakuja....cku akija kaka amkarbshe vzur kishemej shemej zen awaache ww na huyo demu..beliv me ukimuita chumban huyo demu hawez kataa na akifka chumban hawez kaa chini bali kitandan.....jiongezee
Labda mademu wa Msanga Ngongere au Meatu ndio wataingia king.
 
Dah hili suala huwa linanipa shida sana

Napataga marafiki wengi wa kike ambao kwa namna moja au nyingine huonesha dalili za kunipenda niwe mtu wao sema shida inakuja pale wakianza kuongea na mimi wengi hupotea ghafla na mawazo yao ya kuwa wapenzi na mimi hufutika kabisa

Sasa niambieni maneno matamu au mada wanazopenda wanawake ili wasinichoke
Mdogo wangu usikimbile hayo mambo ya ngono maana yapo tu kikubwa Fanya kwanza mambo yako mengine ya kukuingizia kipato au kama bado unasoma nakuomba uendelee kusoma kwanza mambo ya ngono yapo tu
 
ananipenda sana hiyo ya uaminifu hakuna mwanaume wa peke ako unatakiwa ulijue hilo mm naangalia napendwa vp
mara ya mwisho lini amekufanyia kitu ambacho unahisi hakuna mwingine angeweza kufanya kitu kama hicho ?
 
Ni rahisi sana fuata haya.

Kwanza kumbuka hakuna mwana wa adamu aliyezaliwa kwenye dunia hii na akawa kamili,
Kila mwanadamu ana mapungufu na kasoro. Hakuna aliyekamilika.

Sasa fuata haya maelezo ninayokupa. Inaweza ikawa njia nzuri ya kuwapata.

1. KUWA MSAFI, NADHIFU
Hii pia itakusaidia mno kukufanya mwanamke uliyekaa nae kujisikia raha na kuvutiwa na wewe.
Usafi wa mavazi, mwili, hata maneno utakayo ongea pia.

2. JARIBU KUWA MCHESHI.

katika mazungumzo yako utakapokuwa na mwanamke jaribu kupiga stori ambazo zitamfanya afurahi na kucheka kila muda hata akiwa peke yake aweze kukumbuka maneno yako na kufurahi,
Mwanamke anapenda mtu ambaye atamfurahisha kila wakati.

3. JARIBU KUONGEA POINTS.
usije ukafanya utani sana katika mazungumzo yako mchekeshe kidogo afurahi then endelea kongea nae mambo mengine, na jaribu kuongea points.

Ongea vitu vya muhimu na points akuelewe na sio ili mradi mnazungumza mfanye stake kukusikia mkiwa kwenye mazungumzo aweze kuvutiwa na stori yako.

4. JIAMINI.
unapo ongea na mwanamke usioneshe hata chembe ya uoga wala kujiuma uma na uongo uongo wa maneno utakayo zungumza,
Ongea kwa kujiamini kama gentlemen,

5. USIULIZE SANA MASWALI WAKATI WA MAZUNGUMZO.
hii itamfanya mwanamke asipende kupiga stori na wewe endapo ukiwa mtu wa maswali maswali.
Uliza maswali mawili matatu then endelea na stori.

Mfano unaweza kumuuliza hivi.

" DOREEN NAFIKIRI WEWE NI MTU WA KANDA YA KASTAZINI BILA SHAKA WEWE NI MTU WA MWANZA "
kwa mfumo huu ukimuuliza mawili matatu itamfanya asiboreke na kutohisi kama umemuuliza swali.
Na sio kufanya kosa na kumuuliza hivi.
"DOREEN WEWE NI KABILA GANI??
DOREEN UNATOKEA MKOA UPI??

kwa maswali hayo lazima ataboreka mno

6. ONGEA KWA SWAGGA.
hapo ndipo wanaume wengi huchemka
Utakuta mwanaume anapiga stori na mwanamke kama anasimulia hadithi za kusikitisha au kama anasoma biblia,
La hasha sio vyema kuongea namna hiyo unatakiwa uwe na swagga fulani hivi unaongea kwa madoido ama maringo fulani hivi ila kiswagga zaidi.
Onyo: usizidishe swagg kama huwezi ongea kawaida usije ukamtibua mwanamke wa watu. Sio wote wanapenda namna hiyo.

Ongea ukweli kiasi ndani yake yenye kumfanya amini na kukuamini wewe pia

STORI ZA KUZUNGUMZA NA MWANAMKE.
1. Maendeleo
2. Elimu
3. Michezo
4. Burudani
5. Maisha
6. Kazi.

Nyingine utaongezea mwenyewe kama si kujiongeza mwenyewe.
Fuata huu ushauri utakusaidia mkuu.

[emoji12] [emoji95] [emoji379]
 
Back
Top Bottom