Nifundisheni maneno ya kuongea na mwanamke

Nifundisheni maneno ya kuongea na mwanamke

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,708
Reaction score
35,557
Dah! Hili suala huwa linanipa shida sana.

Napataga marafiki wengi wa kike ambao kwa namna moja au nyingine huonesha dalili za kunipenda niwe mtu wao sema shida inakuja pale wakianza kuongea na mimi wengi hupotea ghafla na mawazo yao ya kuwa wapenzi na mimi hufutika kabisa.

Sasa niambieni maneno matamu au mada wanazopenda wanawake ili wasinichoke.
 
Kwani huwa unaongea maneno gani wewe?

Msamiati wako wa Kiswahili ni mpana kiasi gani?
Sijuagi stori za kupiga nao kabisa, siwezi kuwafanya wanichekee.

Naonaga wivu nikiwa na rafiki zangu wa kiume af katokea demu naonaga rafiki zangu wakiongea maneno mengi mazuri mpaka wanafurahi ila mimi siwezi kama vile.
 
Hahaha kwani hujui kuangalia demu usoni, alafau umuulize yeye mwenyewe then anakuona bonge la fala halafu cku moja unamuuliza huwa dushe linaingizwa wapi, atakuonyesha tu, ila uvae kanzu
Hilo la kumuangalia usoni naweza tena sikwepeshi macho kabisa sema maneno ndo sina naishiaga kucheka tu hata kama mada haichekeshi.
 
Washkaji zangu wananionaga mzembe sana wananiambiaga demu flani anakukubali sana maliza kazi la sivyo atakuona mjinga.

Dah! Hapa nakuwaga na mawazo sana.
 
Hilo la kumuangalia usoni naweza tena sikwepeshi macho kabisa sema maneno ndo sina naishiaga kucheka tu hata kama mada haichekeshi
Sijuagi stori za kupiga nao kabisa ,siwezi kuwafanya wanichekee

Naonaga wivu nikiwa na rafiki zangu wa kiume af katokea demu naonaga rafiki zangu wakiongea maneno mengi mazuri mpaka wanafurahi ila mimi siwezi kama vile
Wewe ndio definition ya DOMO ZEGE. Kuna vitu huwezi kufundishwa huwa vinakuja tu.
 
Back
Top Bottom