mbasa ya konge
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 240
- 599
Kiswahili chenyewe hufahamu demu gani anaweza akawa na wewe labda mjinga. Punguza kuweka -nga kwenye maneno yako.
Shukrani saaaaaaaaaana mkuu dah umenifungua kwa kiasi kikubwa sanaMkuu,
Ni rahisi sana fuata haya.
Kwanza kumbuka hakuna mwana wa adamu aliyezaliwa kwenye dunia hii na akawa kamili,
Kila mwanadamu ana mapungufu na kasoro. Hakuna aliyekamilika.
Sasa fuata haya maelezo ninayokupa.
Inaweza ikawa njia nzuri ya kuwapata.
1. KUWA MSAFI, NADHIFU
hii pia itakusaidia mno kukufanya mwanamke uliyekaa nae kujisikia raha na kuvutiwa na wewe.
Usafi wa mavazi, mwili, hata maneno utakayo ongea pia.
2. JARIBU KUWA MCHESHI.
katika mazungumzo yako utakapokuwa na mwanamke jaribu kupiga stori ambazo zitamfanya afurahi na kucheka kila muda hata akiwa peke yake aweze kukumbuka maneno yako na kufurahi,
Mwanamke anapenda mtu ambaye atamfurahisha kila wakati.
3. JARIBU KUONGEA POINTS.
usije ukafanya utani sana katika mazungumzo yako mchekeshe kidogo afurahi then endelea kongea nae mambo mengine, na jaribu kuongea points.
Ongea vitu vya muhimu na points akuelewe na sio ili mradi mnazungumza mfanye stake kukusikia mkiwa kwenye mazungumzo aweze kuvutiwa na stori yako.
4. JIAMINI.
unapo ongea na mwanamke usioneshe hata chembe ya uoga wala kujiuma uma na uongo uongo wa maneno utakayo zungumza,
Ongea kwa kujiamini kama gentlemen,
5. USIULIZE SANA MASWALI WAKATI WA MAZUNGUMZO.
hii itamfanya mwanamke asipende kupiga stori na wewe endapo ukiwa mtu wa maswali maswali.
Uliza maswali mawili matatu then endelea na stori.
Mfano unaweza kumuuliza hivi.
" DOREEN NAFIKIRI WEWE NI MTU WA KANDA YA KASTAZINI BILA SHAKA WEWE NI MTU WA MWANZA "
kwa mfumo huu ukimuuliza mawili matatu itamfanya asiboreke na kutohisi kama umemuuliza swali.
Na sio kufanya kosa na kumuuliza hivi.
"DOREEN WEWE NI KABILA GANI??
DOREEN UNATOKEA MKOA UPI??
kwa maswali hayo lazima ataboreka mno
6. ONGEA KWA SWAGGA.
hapo ndipo wanaume wengi huchemka
Utakuta mwanaume anapiga stori na mwanamke kama anasimulia hadithi za kusikitisha au kama anasoma biblia,
La hasha sio vyema kuongea namna hiyo unatakiwa uwe na swagga fulani hivi unaongea kwa madoido ama maringo fulani hivi ila kiswagga zaidi.
Onyo: usizidishe swagg kama huwezi ongea kawaida usije ukamtibua mwanamke wa watu. Sio wote wanapenda namna hiyo.
Ongea ukweli kiasi ndani yake yenye kumfanya amini na kukuamini wewe pia
STORI ZA KUZUNGUMZA NA MWANAMKE.
1. Maendeleo
2. Elimu
3. Michezo
4. Burudani
5. Maisha
6. Kazi.
Nyingine utaongezea mwenyewe kama si kujiongeza mwenyewe.
Fuata huu ushauri utakusaidia mkuu.
[emoji12] [emoji95] [emoji379]
kama zipi mkuu?Kujisifia ujinga ujinga na story nyiiiingi ambazo hazina kichwa wala miguu ndo zinazokuponza
Asipoelewa Hapa! Hamna njia nyingineMkuu,

Nitamchapa asipoelewa hili somo.Asipoelewa Hapa! Hamna njia nyingine
Sawa mkuu.Shukrani saaaaaaaaaana mkuu dah umenifungua kwa kiasi kikubwa sana
Interesting.......Si umesema wanaonesha interest kwako? Sasa wakionesha interest usikurupuke.
Watreat kawaida tu, ili interest iendelee kuwepo. Mambo yata flow yenyewe naturally.
Jifunze kuwa na urafiki wa kawaida tu kwanza, mengine yataji set yenyewe taratibu.
Yaaap hii kitu haikwepeshiManeno ya nini mdogo wangu,wewe jisajili tigopesa,baaaas
Safi nimekubali sana mchango wakoJifunze mambo mengi sana kwa kusoma. Soma sana vitabu, majarida, magazeti machapisho yenye mada mbalimbali.
Ukishakuwa na maarifa mengi juu ya vitu mbalimbali hakika utajikuta huchoshi (huboi) utakuwa na confidence safi kabisa.
Ukishajenga confidence basi utakuwa tayari kuchangia mada mbalimbali na hata kuanzisha mada zako. Utafurahiwa sana na marafiki (tena sio wasichana tu)
Pitapita pia katika mitandao ya kijamii Kama hapa JF, utakuwa current na kuonekana una "akili" sana na smart. Hapa JF kuna wakuu wana madini sana.
Nawasilisha mkuu na kila la kheri.
Mkuu upo vizuri umeshuka nondo za kutosha.Mkuu,
Ni rahisi sana fuata haya.
Kwanza kumbuka hakuna mwana wa adamu aliyezaliwa kwenye dunia hii na akawa kamili,
Kila mwanadamu ana mapungufu na kasoro. Hakuna aliyekamilika.
Sasa fuata haya maelezo ninayokupa.
Inaweza ikawa njia nzuri ya kuwapata.
1. KUWA MSAFI, NADHIFU
hii pia itakusaidia mno kukufanya mwanamke uliyekaa nae kujisikia raha na kuvutiwa na wewe.
Usafi wa mavazi, mwili, hata maneno utakayo ongea pia.
2. JARIBU KUWA MCHESHI.
katika mazungumzo yako utakapokuwa na mwanamke jaribu kupiga stori ambazo zitamfanya afurahi na kucheka kila muda hata akiwa peke yake aweze kukumbuka maneno yako na kufurahi,
Mwanamke anapenda mtu ambaye atamfurahisha kila wakati.
3. JARIBU KUONGEA POINTS.
usije ukafanya utani sana katika mazungumzo yako mchekeshe kidogo afurahi then endelea kongea nae mambo mengine, na jaribu kuongea points.
Ongea vitu vya muhimu na points akuelewe na sio ili mradi mnazungumza mfanye stake kukusikia mkiwa kwenye mazungumzo aweze kuvutiwa na stori yako.
4. JIAMINI.
unapo ongea na mwanamke usioneshe hata chembe ya uoga wala kujiuma uma na uongo uongo wa maneno utakayo zungumza,
Ongea kwa kujiamini kama gentlemen,
5. USIULIZE SANA MASWALI WAKATI WA MAZUNGUMZO.
hii itamfanya mwanamke asipende kupiga stori na wewe endapo ukiwa mtu wa maswali maswali.
Uliza maswali mawili matatu then endelea na stori.
Mfano unaweza kumuuliza hivi.
" DOREEN NAFIKIRI WEWE NI MTU WA KANDA YA KASTAZINI BILA SHAKA WEWE NI MTU WA MWANZA "
kwa mfumo huu ukimuuliza mawili matatu itamfanya asiboreke na kutohisi kama umemuuliza swali.
Na sio kufanya kosa na kumuuliza hivi.
"DOREEN WEWE NI KABILA GANI??
DOREEN UNATOKEA MKOA UPI??
kwa maswali hayo lazima ataboreka mno
6. ONGEA KWA SWAGGA.
hapo ndipo wanaume wengi huchemka
Utakuta mwanaume anapiga stori na mwanamke kama anasimulia hadithi za kusikitisha au kama anasoma biblia,
La hasha sio vyema kuongea namna hiyo unatakiwa uwe na swagga fulani hivi unaongea kwa madoido ama maringo fulani hivi ila kiswagga zaidi.
Onyo: usizidishe swagg kama huwezi ongea kawaida usije ukamtibua mwanamke wa watu. Sio wote wanapenda namna hiyo.
Ongea ukweli kiasi ndani yake yenye kumfanya amini na kukuamini wewe pia
STORI ZA KUZUNGUMZA NA MWANAMKE.
1. Maendeleo
2. Elimu
3. Michezo
4. Burudani
5. Maisha
6. Kazi.
Nyingine utaongezea mwenyewe kama si kujiongeza mwenyewe.
Fuata huu ushauri utakusaidia mkuu.
[emoji12] [emoji95] [emoji379]
WE HUWEZI MANENO...MBINU NI UTANI AU MASIHARA FULANI KIDOGO...UKIMUANGALIA UNAMKAZIAMACHO MWAMBIE NGOIJA NIKUTOE KIDUDE USONI HAPO AF ANAKUACHIA UNAFUTA ILA UNAMUAMBIA NAKUTANIA HAKUN AKITU AU UNAUZGA KIMERUKA.....YANI JUST FUNNY JOKES USIWE TOOMUCH SRIOUS NA TOOMUCH JOKES..MSIFIE KITU KIDOGO YANI TPIA TUPIA...USIZUBAE SANA......BE A GENTLEMAN COMEDIAN MAKE HER LAUGH YO WILL WINWashkaji zangu wananionaga mzembe sana wananiambiaga demu flani anakukubali sana maliza kazi la sivyo atakuona mjinga
dah hapa nakuwaga na mawazo sana
Asante hii ni njia moja wapo ya kuelimisha na kusaidia pia watu mbalimbali, kwa matatizo yao mbali mbali.Mkuu upo vizuri umeshuka nondo za kutosha