MNYAMAKAZI
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,118
- 2,199
Mwambie kile nafsi yako inakutuma umwambie
Kaka mi nipo chuo mwaka wa kwanza sidhani kama ushauri huu ni mzuri kwanguYa weza kuwa wewe unaushamba na watoto wa mjn,
Iko hivi:
Asubuh karbu breakfast= baby nimekuundanisha na kifushi cha mwezi,
Mchana welcome lunch = elfu 15 by mpesa or whatever
Jioni nipo garden hotel VP waweza kuja my dearest? = matumiz bill 80elf
Weekend jmos= baby 50elf saloon,
Jpili baby after church tuonane = sex then lak shopping yake ya chupi or whatever
Nenda naye hvyohvyo uone kama atakuacha!
Utaona anaanza kuulizia ndugu zako afamike ukoon kwenu
Pesa sio shida kaka, mzee ananipaga shida ipo kwenye manenoUtaongea nini wakati huna hela?
Dada atoto hii komenti yako imejaa mafumbo sana fafanua tafadhariKwakweli kuna watu huwa unawaona wa maana sana mpaka pale watakapofungua mdomo.
sawa kiongoziOkay, fanyia kazi ushauri wa wadau, nadhani kuna kadhaa umewaelewa.
Ila pia usipende kuwa mzungumzaji sana, jifunze kumsoma unayeongea naye, wengine wanapenda kusikilizwa zaidi ya kusikiliza.
Jiamini sana, demu akishtukia kwamba unatetemeka kwenye kutongoza ndo umeshamkosa tayari.
Ha ha haah ndio anachotaka kufanya mtoa madaHa ha ha, nakumbuka wakati tuko F1 unachukuliwa na jamaa wa F2 au F3 anakwambia mtongoze mdada mbele za watu mpaka akubali, dah ilikuwa shida sana ila ndo hivyo inabidi ushuke mistari ili usipate kipigo.
Usinifanyie hivyo shunie nielewe please sitakuumizaPole sana kunywa maji ya baridiiii utapoa moyo wako
Ndo najaribu hapaMkuu acha kuniangusha unashindwaje kupiga saundi
Bas wewe unatengeza urafk na mtu ambaye sio level yako kimahusiano matokeo yake unashndwa kummudu,Kaka mi nipo chuo mwaka wa kwanza sidhani kama ushauri huu ni mzuri kwangu
Neno la kwanza mwambie UREWEDIDah hili suala huwa linanipa shida sana
Napataga marafiki wengi wa kike ambao kwa namna moja au nyingine huonesha dalili za kunipenda niwe mtu wao sema shida inakuja pale wakianza kuongea na mimi wengi hupotea ghafla na mawazo yao ya kuwa wapenzi na mimi hufutika kabisa
Sasa niambieni maneno matamu au mada wanazopenda wanawake ili wasinichoke
Urewedi ndo nini mkuu?Neno la kwanza mwambie UREWEDI
SalamUrewedi ndo nini mkuu?
Sana Raimundo halaf umri wake ni mdogo wangu wa 3 mm natembea na mtu aliyenipita umri sio niliempita mimi.