Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,708
- 35,556
- Thread starter
- #21
Yah kwa sms najitahidi tahidi.Mbona majibu yako ni outgoing kabisa, au unajua kutongoza kwa sms tu
Yah kwa sms najitahidi tahidi.Mbona majibu yako ni outgoing kabisa, au unajua kutongoza kwa sms tu
Basi tongoza hivyo hivyo kwa sms. Hakikisha ukimualika kwako anajua anakuja kufanya nini. Hamna longo longo.mi bingwa sana wa kuandika meseji ila kwa kuongea siwezi
Nimeona tu sasa cha kufanya anza kufanya mazoezi ya kuongea maneno ya kishenzi shenzi tu hata ukiwa peke ili zege lilainika...huwa hiyo staili inawasaidia wale wanotaka kuwa playboys sio kutafuta mke lkn hutapa ng'o kama ni mke tuma wazee wako tu.mi bingwa sana wa kuandika meseji ila kwa kuongea siwezi
Duh!sijuagi stori za kupiga nao kabisa ,siwezi kuwafanya wanichekee
Naonaga wivu nikiwa na rafiki zangu wa kiume af katokea demu naonaga rafiki zangu wakiongea maneno mengi mazuri mpaka wanafurahi ila mimi siwezi kama vile
Sasa hata akikubali nifanyeje fanyeje ili asinikimbieWewe ni domo zege unaweza ukampenda demu ukawa unaogopa jinsi ya kumuanza ukamtuma ata rafk yako akuunganishie jiamini bwana we ni mwanaume
Sasa hata akikubali nifanyeje fanyeje ili asinikimbie
Nishawahi kuwa na wanawake wengi tu kibahati bahati ila wanapotea kimasihara masihara
Sitasahau demu wangu mmoja aliniacha mimi kipindi naenda boarding enzi hizo nipo kidato cha pili na akawa na ndugu yangu ,iliniuma sana mana tukupendana sana
Nashukuru sana kaka huu mchango wako pia nimeupenda.Duh!
Naona kama vile huna swagga kabisa na hujiamini.
Sasa tatizo la kukosa swagga halina ufumbuzi wa moja kwa moja.
Ila, nachoweza kukushauri ni kwamba tafuta tumaa. Chochote kile ujishughulishaji nacho, ongeza bidii maradufu.
Jingine ni kuongeza maarifa na ufahamu wa mambo mbalimbali na hilo utalipata kutokana na kujisomea magazeti, vitabu, majarida pamoja kufuatilia matukio yajiriyo duniani.
Kwa mfano mimi sijawahi kushindwa kuongea na mchuchu yeyote yule kwa sababu wigo wangu wa ufahamu wa mambo ni mpana sana.
Kwa mfano jana tu nimetoka kuongea na mchuchu mmoja kuhusu jinsi ambavyo lugha ya Kiingereza ilivyoundwa na lugha zingine kama vile Kilatini, Kifaransa, na Kiingereza na pia dhana potofu iliyopo kwa baadhi ya watu ambao huwa wanadai eti Kiswahili hakijitoshelezi kama Kiingereza kinavyojitosheleza.
Kila lenye kheri....
Mfano nikikutaka wewe uwe mpenzi wangu utakubali.tatizo lako kubwa haujiamin, jiamini kwanza ukimwona mwanamke unamuona wa kawaida tu mengine yatafuatia
Naam, jitahidi uwe na raghba anuai.nashukuru sana kaka huu mchango wako pia nimeupenda
Mana naonaga wengine wakiongea nao stori za muvi kwa sana af mimi sio mpenzi kabisa wa vitu hivyo
Na mimi muda mwingi nautumiaga kulala basi ndo mana sijuagi vitu vingi
Mchango wako huu unenifungua sana kwa kiasi flani
Wewe vipi utamtakaje mtu humjui mm siwezi kukubali, eb solve tatizo lako kwanza.Mfano nikikutaka wewe uwe mpenzi wangu utakubali
Sasa unashindwaje kwa maneno bana au unafanyaga nyeto sana na kuangalia porn?Yah kwa sms najitahidi tahidi
Ndio mkuu, nahitaji msaada wakoMzee wa muhas
Basi hii tofauti kubwa kwangu mi msichana akiwa mbali ndo nakuwaga na maneno akiwepo mbele yangu maneno yote yanaaisha.Ukikaa bila uwepo wa mwanamke mbele yako,unaona kama maneno ya kuongea yako mbali.
Ila mwanamke akiwepo mbele yako, unashangaa maneno yanakuja yenyewe bila kutumia nguvu. Kutongoza mwanamke siyo kazi kubwa kama unavyofikiria wewe,kutongoza mwanamke ni kazi rahisi sana, we' anza kuongea neno lolote tu, utashangaa maneno mengine yanakuja yenyewe.
Haihitaji maneno magumu sana kama ya kwenye filamu za bongo movie,hakuhitaji complications mixer kutoa mishipa ya shingo, ni maneno ya kawaida tu. Kutongoza maana yake ni kuonyesha upekee wako.
.
Nimeshapata picha,una kawaida ya ku-complicate,nafikiri unataka uonekane noma mbele ya demu kwa kuongea misamiati adimu ya kwenye video, hayo ni mambo ya kuiga.basi hii tofauti kubwa kwangu mi msichana akiwa mbali ndo nakuwaga na maneno akiwepo mbele yangu maneno yote yanaaisha