Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,217
We nenda tu kwa hao unaokutana nao hapa nafasi yako hamnausinifanyie hivyo shunie nielewe please sitakuumiza
nakutumia picha yangu uione
We nenda tu kwa hao unaokutana nao hapa nafasi yako hamnausinifanyie hivyo shunie nielewe please sitakuumiza
nakutumia picha yangu uione
Umri ni namba tu shuniesana Raimundo halaf umri wake ni mdogo wangu wa 3 mm natembea na mtu aliyenipita umri sio niliempita mm
Kwangu mm umri ni nambaUmri ni namba tu shunie
Mapenzi ya kweli hayapo hivyo
Sawa kwa leo tuishie hapa, fikiria mara mbili ombi langu then ntarudi tena kwa mara nyingine.kwangu mm umri ni namba
sana Raimundo halaf umri wake ni mdogo wangu wa 3 mm natembea na mtu aliyenipita umri sio niliempita mm
HapanaHilo jina lako la 666 unajua maana yake ya kiroho?
Naam mkuuHechi araaaaaaaaaaaa.....
Itikia fastaa nkupe mbinu
Afazar umekujaNaam mkuu
Dah hili suala huwa linanipa shida sana
Napataga marafiki wengi wa kike ambao kwa namna moja au nyingine huonesha dalili za kunipenda niwe mtu wao sema shida inakuja pale wakianza kuongea na mimi wengi hupotea ghafla na mawazo yao ya kuwa wapenzi na mimi hufutika kabisa
Sasa niambieni maneno matamu au mada wanazopenda wanawake ili wasinichoke
Ukipiga nao story sana watakuchukulia poa tu kama kaka we heat the point kama kweli unamhitajisijuagi stori za kupiga nao kabisa ,siwezi kuwafanya wanichekee
Naonaga wivu nikiwa na rafiki zangu wa kiume af katokea demu naonaga rafiki zangu wakiongea maneno mengi mazuri mpaka wanafurahi ila mimi siwezi kama vile
Usiombe mademu wakuchulie poa yaan wakuone hauna madhara kiivyo watakuona kama mwenzaohilo la kumuangalia usoni naweza tena sikwepeshi macho kabisa sema maneno ndo sina naishiaga kucheka tu hata kama mada haichekeshi
Mimi sikubaliani na hilo kwan kuna level katika mapenziBas wewe unatengeza urafk na mtu ambaye sio level yako kimahusiano matokeo yake unashndwa kummudu,
Tafta level yako
Kiaje unaweza kumjaza mchanga kichwani wakati wengine hata no tunapewa za uongo.Hii inaitwa art of pursuation. Kutongoza ni sanaa.
Personally I don't know any one who can mess with girl's mind by using words more than I do( in a trump's tone)
Yaani namjaza viroba vya mchanga kichwani mpaka ana fall mwenyewe.
Hatari sana.
Mmmmm kwo unataka sema ajifunzie kwako asee dogo usijaribu utaumia.ww n domo zege unaweza ukampenda demu ukawa unaogopa jinsi ya kumuanza ukamtuma ata rafk yako akuunganishie jiamini bwana we ni mwanaume
Dogo usiseme mfano tongoza tuone ukishindwa kazana kusoma ukifanikiwa huwa wanakuja.mfano nikikutaka wewe uwe mpenzi wangu utakubali
Dogo kapata PA kujifunzia kupiga soundsana Raimundo halaf umri wake ni mdogo wangu wa 3 mm natembea na mtu aliyenipita umri sio niliempita mm
Dogo kapata PA kujifunzia kupiga soundsana Raimundo halaf umri wake ni mdogo wangu wa 3 mm natembea na mtu aliyenipita umri sio niliempita mm