Nifuate utaratibu gani kumhamisha kijana wangu aje kambi ya JKT karibu na nyumbani?

Ni vigezo gani vinatumika vijana kwenda JKT.Kwanini mtu asiyetaka anaaenda na anayependa huachwa?
 
I have quite a different reason from the one some hopeless guys are trying to speculate!
Mzee tumia kiswahili ueleweke
Hiyo lugha ilikuja na meli
Nimekwambia mwambie aende kambi yoyote kasoro ruvu atapokelewa

Kama ni toto la yai mbili na sausage aende maramba jkt 838kj itamfaa
 
Mzee wangu majeshi ya sasa na zamani ni tofauti sana...keep it in mind!

Maafande wa kozi ni predators na wadogo zetu wa kike ni preys yaani wanawatafuna vibaya sana sometimes ni kwa lazima
Umenikumbisha afande mmoja alikuwa anafata kuruti combania kwa kisingizio cha kwamba ni mwanae

Mwisho wa siku kakuruti ka watu kakazawadiwa ngoma
 
Umenikumbisha afande mmoja alikuwa anafata kuruti combania kwa kisingizio cha kwamba ni mwanae

Mwisho wa siku kakuruti ka watu kakazawadiwa ngoma
Ahsante kwa kuwapa hiyo shuhuda,mtoto wangu wa kike jeshini anaenda kufanya nini huko...nimekutana na wanawake wanajeshi mpaka nawaonea huruma hawana furaha na maisha yao.

Ukiwa na akili nyingi jeshini hapakufai maana hutakubali kupelekwa kijinga lazima utaacha kazi tu,nilikutana na private wengi baada ya kupata kupata mtaji wa biashara wanaacha jeshi,jeshi wanafaidi wenye vyeo vya juu zaidi hawa wenzangu chini ya nyota mbili ni shida ndo zinawapeleka tu
 
Sijapenda matusi yako! Sishindwi kukutukana!
Sijaona tusi lolote hapo na miye sio mtukanaji. Ukitaka tukana tuuuu ila nimekuuliza; Utampakata huyo mwano hata lini?? Kambi zote za jeshi zinafanana sasa hiyo karibu na nyumbani ni ya jeshi au ya mapumziko?
 
Back
Top Bottom