Nifuate utaratibu gani kumhamisha kijana wangu aje kambi ya JKT karibu na nyumbani?

Hakuna hiyo access mzee. Kiufupi jeshin ni sehem ya guidance, ku obey order na ku follow instructions na si sehem ya ku negotiating/ku suggest utakavyo . Kwahiyo jukum lako jeshin ni kutii maelekezo vile ulivyopangiwa/unavyotakiwa kufanya tu..
 
Nilikuwa na ndugu mtoto aliyekuwa na Sickle cell baada ya kuwaeleza basi alipangiwa Ruvu JKT badala ya Mgambo
I know all these, those with disabilities are posted at Ruvu. Mine is a different problem!
 
Nataka kumhamisha kijana wangu aje kambi ya JKT karibu na nyumbani. Je, nifuate utaratibu gani?
Na mkwe au mume umtafutie na wake wakae hapo nyumbani acha hofu mache naenda alikopangiwa sio koss lako wazazi wengi tuliowapeleka watoto English medium ndo zetu
 
Hakuna hiyo access mzee. Kiufupi jeshin ni sehem ya guidance, ku obey order na ku follow instructions na si sehem ya ku negotiating/ku suggest utakavyo . Kwahiyo jukum lako jeshin ni kutii maelekezo vile ulivyopangiwa/unavyotakiwa kufanya tu..
Tatzo hujajua juu ya unachokiongea ila umeongea kutokana na hearsay za mitaani..

Hayo umeongea upande Wa anayetumikia jeshi na sio Kwa mwananchi Wa kawaida mwenye tatzo la msingi
 
Uniulize kwanini nataka kumhamisha, usirukie mambo. Ndiyo tatizo la shule za kata! Hujui kwanini nataka kumhamisha, una speculate tu mawazo ya hovyo kichwani!
Unataka nikuulize mara ngapi mzee?
Nimekuuliza nini tija ya yeye kuja karibu na nyumbani?

Habari ya shule za kata inaingiaje hapa?
Matusi kila mtu anayajua
 
Mwenye akili ya kawaida angeliuliza sababu kwanza! Unaonyesha kabsa training yako ya shule ya kata! Stupid!@
Nilikuuliza sababu
Unajiona bora sana kuliko wenzako ilihali huna ujualo ndio maana umefungua uzi kuulizia.
Nimeamini kuna wapumbavu nao wanazeeka si kila mzee ana busara.
 
Stop speculations! We ni mpumbavu mkubwa. Eti jeshini hakuna sababu! Jeshi hakuna lugha. Ndilo tatizo la shle za kata mnazosoma. Ruvu camp is catering for ones with disabilities, halafu unasema hakuna sababu! You are stupid! If you were not stupid you would first have inquired into the reason for a transfer, not your speculations!

Hauna hoja , unatukana tu..
 
Hauna hoja , unatukana tu..
Mwanzo nilimuelewa sana nikajua atatoa sababu za kwa nini anataka kuhamishia mtoto karibu na nyumbani, cha ajabu ameendelea kutukana tu mara kuita watu shule za kata,hapo ndiyo nikamuona ni MPUMBAVU kabisa.
 
Rubbish, nani kasema Jeshini hawaende vilema. Nimekwenda jeshini hata kabla hujazaliwa!
Cool down , fikiria assertation na jibu lako.
Unvyo jifikiria umri wako hujui wa wengine na kama bado una umri wa kupeleka watoto JKT/Chuoni basi wewe bado kinda!
 
kama niwakike ni bora asiende, atakuwa sexual harassed kwa namna ya ubabe na uonevu ataharibika sana kisaikaolojia
I do not care attacks, I stand for what I believe! Sijakuelewa unaposema hali imechafuka!
 
ila we jamaa hahahaha.....ila ni kweli kabisa mkuu
Miongoni mwa wanaoponda atakua ni kaka yangu ana hasira mdogo wake sina ajira halafu asikie kuna kijana yupo JKT na mzazi wake anampambania lazima ateme nyongo.

Nahisi na hawa wengine ni hivyo hivyo tu.
 
Even today there is law though it might be an unjust law, but still, it is law and has to be obeyed!
Ww unamiua mwanao vizuri, ukiona hana afya ya kukabiliana na shuruti za jeshi asiende. Hatapungukiwa na kitu
 
Ndio hawa wazee, mtoto wa kiume wa kidato cha Tano anabeba mabegi na yeye kumpeleka shuleni, jitu kubwa zima....enzi zetu form one unaenda kuripoti mwenyew maisha yanasonga! Wanafikiri upendo kumbe wanaharibu watoto

Sent from my SM-N910U using JamiiForums mobile app
 
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana. Avoid speculations! Do not rush to conclusions. Fanya utafiti kwanza kabla ya kuweka any comment. Kila mmoja amekimbilia , oh aende apate shida, unamkimbiza mateso etc. nani kasema anakimbia mateso? Wenye akili wameuliza, nimewapa sababu (ambayo ni very confidential) na ameshapata uhamisho! Unajuaje kama mtotoni ni wa kwangu? Unajuaje kama ni wa Kike/Kiume? Ungeuliza sababu kwanza kabla ya kuandika rubbishes ulizoziandika!
Ukileta kidonda cha sirini hapa JF tutakijadili tu.
Pride yako usipo iruhusu kukubali lakini tumesha kupasha, akili mukichwa.
 
Back
Top Bottom