Nifuate utaratibu gani kumhamisha kijana wangu aje kambi ya JKT karibu na nyumbani?

Mwache aende huko huko alikopangwa tena usijifanye kujali, mwache aende utakuja kufurahi atakavyokuwa smart kimaisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Uliza kanini nataka kumhamisha! I have qite a different reason for that! Hakuna usmart kimaisha, nimepitia jeshni labda kabla hujazaliwa! It was a ral Jeshi mwaka mzima! Sikuona tabu yoyote! Nikaenda Uganda , sikuona shida yoyote! Kuna sababu ya msingi na nimeshakubaliwa!
 
Kama hana kazi za kufanya basi aende ila kama ana mishe zake nyingine si atulie tu home afanye mambo ya msingi
 
Kwanza you are a gentleman!! Umejibu kwa staha! Lakini ungelianza kuniuliza kwanini namhamisha? Then kama ningelitoa sababu hiyo unayoidhania, jibu lako lingelikwa appropriate! Basi kua sababu tofauti kabisa na nimekubaliwa! Wala siyo kuogopa suluba za jeshi! Not t all!
Mkuu mm nakushauri mwache kwenye kambi hyohyo ya mbali. Inasaidia kwenye maisha japo kwasasa huwezi kuona faida zake na hata yeye kwasasa hawezi kuona faida yake...

Mm nmepita Jkt baada tu ya kumaliza shule nikajiunga Jkt pale mafinga, ndio ilikuwa Mara ya kwanza kukaa mbali na familia ilinipa ugumu flani japo kwasasa ndio nagundua faida zake.
 
Kama hana kazi za kufanya basi aende ila kama ana mishe zake nyingine si atulie tu home afanye mambo ya msingi
anataka kwenda tena sana, kuna sababu tofauti na hiyo ya kuogopa jeshi!
 
Mzee wangu majeshi ya sasa na zamani ni tofauti sana...keep it in mind!

Maafande wa kozi ni predators na wadogo zetu wa kike ni preys yaani wanawatafuna vibaya sana sometimes ni kwa lazima
sidhani ni rahisi hivyo! Kuna safeguards za hawa watoto. Mmi nina saabu tofauti ya kumleta karibu!
 
You should not speculate! uliza sababu

Jeshini huwa hakuna sababu mkuu, ulitaka uwe unaenda kumsalimia kila weekend, au umletee chakula kambini, ndio maana nikasema siyo boarding school hiyo.

Muache huko huko alipo pangiwa aendee, akale msoto. If his/ her health status is weak or is unfited to a certain activities, there is special and well carefully monitoring to ensure they will be in a good conditions, in order to avoids the unnecessary stressed, that will might leads to harm their health due to the daily's military activities.

Otherwise, asiende kabisa.
 
Nilitegemea uulize sababu ya kutaka kumhamisha! Ningelikuona sensible!

You were supposed to say first , kwanini unataka umuamishe, then tukupe muongoze if you will or not according to your reasons. That you were supposed to do,
 
Kwanza you are a gentleman!! Umejibu kwa staha! Lakini ungelianza kuniuliza kwanini namhamisha? Then kama ningelitoa sababu hiyo unayoidhania, jibu lako lingelikwa appropriate! Basi kua sababu tofauti kabisa na nimekubaliwa! Wala siyo kuogopa suluba za jeshi! Not t all!
Ni kweli mkuu wengi wamekuvamia pasipo kujua sababu ya kutaka kumhamisha,. Nini tatzo mkuu
 
Hawa ndio wanaharibu watoto. Mtoto akishaanza kwenda shule tu mwache atafute dunia yake acha ujinga.
 
Back
Top Bottom