Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,333
- 24,227
Jeshini ni kuishi kwa akili.JKT inamfanya mtu awe smart kweli...?
ingekuwa ni mamlaka yangu kamwe nisingeshauri mtu alazimishwe kwenda huko...
yani huko jkt sijui wangeenda wanaopenda tu...majeshi yetu yamechafuka sana...
na si salama sana kwa watoto wakike....
nimeyaishi maisha ya jeshini najua.
na nimetoka huko.
Hulazimishwi kitu labda kama unataka mwenyewe.
ctually Kiongozi (afande) akilazimisha penzi hilo ni kosa ambalo anaweza kuwa Court Marshaled na kupunguzwa cheo au kufukuzwa jeshi.
Mtoto wa kike huna haja ya kuogopa suluba za jeshi, ukiambiwa push up, unapiga, ukiambiwa kichura unakwenda.
Hizo adhabu ukizizoea ni kama mazoezi ya mwili tu.
Kuna maafande mimi walinisulubu , kufika uraiani sasa wakakuta naweza kuwasulubu kimaisha.
Ndiyo maisha ya kufundishwa huko jeshini.