Hivi inawezekana kubadili Kambi ya JKT

Idofu

Senior Member
Oct 24, 2022
108
187
Nauliza,hivi inawezekana kubadili Kambi ya Mafunzo ya JKT?,Kuna mdogo wangu amepangiwa Kambi ya Mafunzo Kigoma!!,Sasa kutoka Songea mpaka Kigoma ni mbali Sana na ni gharama pia!!

Kwa yeyote anayejua,utaratibu wa kufuata ili aweze kupelekwa kambi ya jirani,msaada tafadhali!!
 
Aende kambi yoyote ambayo ipo jirani Jeshi halijawahi kumkataa mtu
 
Nauliza,hivi inawezekana kubadili Kambi ya Mafunzo ya JKT?,Kuna mdogo wangu amepangiwa Kambi ya Mafunzo Kigoma!!,Sasa kutoka Songea mpaka Kigoma ni mbali Sana na ni gharama pia!!

Kwa yeyote anayejua,utaratibu wa kufuata ili aweze kupelekwa kambi ya jirani,msaada tafadhali!!
aende kambi iliyo karibu,mlale,mafinga,makutupora au nchingwea
 
Mfungwa hachagui gereza mwache aende hukohuko.
Kwenda sio tatizo!!,tatizo ni gharama ambazo zinaweza kuepukika!!!,hiyo nauli tu kwenda Kigoma inagharimia mahitaji mengine yote!!
 
Nauliza,hivi inawezekana kubadili Kambi ya Mafunzo ya JKT?,Kuna mdogo wangu amepangiwa Kambi ya Mafunzo Kigoma!!,Sasa kutoka Songea mpaka Kigoma ni mbali Sana na ni gharama pia!!

Kwa yeyote anayejua,utaratibu wa kufuata ili aweze kupelekwa kambi ya jirani,msaada tafadhali!!
Aende Mlale hapo kama inachukua jkt atapokelewa
 
Kwenda sio tatizo!!,tatizo ni gharama ambazo zinaweza kuepukika!!!,hiyo nauli tu kwenda Kigoma inagharimia mahitaji mengine yote!!
Gharama ya nini askari huyo tayari anatakiwa kujiongea asafiri bure kwa kutumia ujanja wa porini mpaka afike kambini.
 
Kama sababu za kubadili kambi si za msingi Sana namshauri aende hiyohyo aliyopangiwa ni vizuri zaidi....kambi zote za kigoma zitampika vizuri awe mzalendo mzuri(nazungumza from experience) Sina maana ya kwamba kambi nyingine si Bora ila nashuhudia kambi za kigoma kwa kuwa ninazifahamu vizuri zaidi hizo nimewahi kupita katika mafunzo na malezi pia.
 
Nauliza,hivi inawezekana kubadili Kambi ya Mafunzo ya JKT?,Kuna mdogo wangu amepangiwa Kambi ya Mafunzo Kigoma!!,Sasa kutoka Songea mpaka Kigoma ni mbali Sana na ni gharama pia!!

Kwa yeyote anayejua,utaratibu wa kufuata ili aweze kupelekwa kambi ya jirani,msaada tafadhali!!
Aende na tiketi, tutamrudishia nauli
 
Kama sababu za kubadili kambi si za msingi Sana namshauri aende hiyohyo aliyopangiwa ni vizuri zaidi....kambi zote za kigoma zitampika vizuri awe mzalendo mzuri(nazungumza from experience) Sina maana ya kwamba kambi nyingine si Bora ila nashuhudia kambi za kigoma kwa kuwa ninazifahamu vizuri zaidi hizo nimewahi kupita katika mafunzo na malezi pia.
Apikwe Ili apate nin mwisho wa siku vyeti vyote vina grade sawa hakuna necta uko cha msingi amalize apewe cheti
 
Achana na hizo bwana majeshi kunoga ilikuwa enzi hizo sa hivi watoto mabio ni kutoka kombania mpaka main gate imeisha,
Hata wazeee wa zamani wakikiskia na wew watasema zama zenu hakuna majeshi ...majeshi yakikuwa kwao
 
Back
Top Bottom