Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una mawazo ya ujima.Nataka kumhamisha kijana wangu aje kambi ya JKT karibu na nyumbani. Je, nifuate utaratibu gani?
Huwa naona Kama wewe ni ngangari kwa michango yako humu jf. Ila kwa hi thread naona Kama umepoteza sifa humu jamvini.Nataka kumhamisha kijana wangu aje kambi ya JKT karibu na nyumbani. Je, nifuate utaratibu gani?
aje karibu na nyumbani ili iweje?Nataka kumhamisha kijana wangu aje kambi ya JKT karibu na nyumbani. Je, nifuate utaratibu gani?
Hebu anipe namba ya hako katoto, lazima katakuwa Ni karembo Sana, anaogopa katakuwa kanagongwa kimasihara.aje karibu na nyumbani ili iweje?
AahhhhHebu anipe namba ya hako katoto, lazima katakuwa Ni karembo Sana, anaogopa katakuwa kanagongwa kimasihara.
JKT inamfanya mtu awe smart kweli...?Mwache aende huko huko alikopangwa tena usijifanye kujali, mwache aende utakuja kufurahi atakavyokuwa smart kimaisha
Sent using Jamii Forums mobile app
soma uzii wangu huu mkuu Mzazi kumpa mtoto chochote anachokitaka ni sawa na kumharibu?Acha zako wewe. Kama yuko above 18 muache aende popote. Mnafanya watoto wawe nyanya
Mkuu mm nakushauri mwache kwenye kambi hyohyo ya mbali. Inasaidia kwenye maisha japo kwasasa huwezi kuona faida zake na hata yeye kwasasa hawezi kuona faida yake...Nataka kumhamisha kijana wangu aje kambi ya JKT karibu na nyumbani. Je, nifuate utaratibu gani?
A you sure you're not lying???..Mwache aende huko huko alikopangwa tena usijifanye kujali, mwache aende utakuja kufurahi atakavyokuwa smart kimaisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua na nimesema, my daughter was mlale songea huko, alikonda hadi kichwa, kamaliza chuo, hajawahi lia lia kukosa kazi.JKT inamfanya mtu awe smart kweli...?
ingekuwa ni mamlaka yangu kamwe nisingeshauri mtu alazimishwe kwenda huko...
yani huko jkt sijui wangeenda wanaopenda tu...majeshi yetu yamechafuka sana...
na si salama sana kwa watoto wakike....
nimeyaishi maisha ya jeshini najua.
na nimetoka huko.