Nifanyeje niwe na uelewa mdogo?

Nifanyeje niwe na uelewa mdogo?

Hivi katika dunia hii kweli ikosekane dawa ya kupunguza IQ?
Kama uko serious . . , kweli kabisa watafute hawa , Coco , Anaeli, Barbarossa, Nyani Ngabu . .

Nakuhakikishia hutachelewa kupata your wishes . .!
 
Jitoe JF, utakuwa na raha ya ajabu. Hamia instagram uwe unafuatilia matusi ya Mangi Kimamba
 
FANYA HIVI

Ukingia Chooni ukimaliza usitokee mlango ulioingilia bomoa hats ukuta upite, mana ukiingia chooni akili yote kubwa unaiacha mlangoni unaingia na ile itakayokusaidia usijinyee, ndo mana ukileta mbwembwe tu unakunya pembeni, kwaio ukibadili njia utakua umeagana na akili kubwa bila taabu
 
Tatizo ni uelewa mkubwa au muda wote kuwaza siasa tu,tatizo hili linasababishwa na imani ya kwamba wenye kufuatilia haya mambo ya siasa ndiyo wenye uelewa mkubwa tena hasa wale wenye kuiponda serikali muda wote.

Ndiyo maana nasemaga watu wamejiweka kwenye situation(kihisia) ambayo kiuhalisia hakuna hali hiyo,matokeo yake ndiyo hayo.
 
Uliona Mr 'Slow slow' alivyokuwa smart enzi za mchakato wa katiba mpya? Lakini baada ya kujivisha 'u green' amekuwa kitu kingine kabisa. Na wewe ingia huko utafurahia maisha, kila kitu kitakuwa sawa.... Hata kama ulikuwa na pair 2 za viatu mwanzo, halafu leo unapambana kuipata moja na unashindwa bado utasimama na kushangilia kuwa uchumi umepanda.... Japokuwa ni kupanda kusikoonekana kwa jicho la damu na nyama .... Karibu kwenye ulimwengu wa uelewa mdogo bro! Itakuwa usiku itakuwa mchana mara siku ya pili maisha yataenda.
 
Nenda hospital kubwa wambie wakuchome dawa inaitwa ZIP. Tutakufundisha aeiou
 
Wewe mleta mada ungekuwa na uelewa mkubwa uelewa huo si ungekupa mbinu za kupata uelewa mdogo?
 
1. Achana na JF
2. Acha kusikiliza na kuangalia taarifa za habari na kusoma magazeti
3. Acha kabisa kufuatilia current events zozote zile
4. Shinda Instagram na uwafuate wasanii wa bongo fleva na bongo movie
5. Tafuta team ya kujiunga nayo - kama team Wema, team Mondi, team Kiba, n.k.
6. Kuwa mmbea - fuatilia kwa ukaribu bifu za akina Mange, Linda, Recho, na KichwaP😀
7. Kuwa fan wa Le Mutuz
Kuna tafiti mwezi uliopita ilitoka ila sikumbuki vizuri ilitolewa na nani lakini ilieleza mtandao unaoongoza kwakuwasababishia watu magonjwa ya moyo na akili ni Instagram kwakuwa maisha wanayoigiza watumiaji wa mtandao huo sio maisha halisi wanayoishi wao so kwa asiejua na akaakisi huyo ndio maisha ya mhusika basis huumia sana kila ajijitiza na kujifikiria vile alivyo. Hoja yangu, no 4 umemdanganya utamuua.
 
Sizani kama kuna dawa zaidi ya hii uliyompa mimi mwenyewe natamani kuitumia ila naogopa uchungu wake
Serikali ya ovyo sana hii na bado unaskia baadhi ya watu wakiwemo Ata viongozi wa chama changu chadema, viongozi wa dini wakiongea na kumtambulisha rais kama mchukia rushwa.ifike mahali tusimamie ukweli na tuweke msimamo.nchi yetu inapitia katika utawala mbovu kuliko awamu zote tangia tupate Uhuru.
Namimi huwa nawasikia
1. Achana na JF
2. Acha kusikiliza na kuangalia taarifa za habari na kusoma magazeti
3. Acha kabisa kufuatilia current events zozote zile
4. Shinda Instagram na uwafuate wasanii wa bongo fleva na bongo movie
5. Tafuta team ya kujiunga nayo - kama team Wema, team Mondi, team Kiba, n.k.
6. Kuwa mmbea - fuatilia kwa ukaribu bifu za akina Mange, Linda, Recho, na KichwaP😀
7. Kuwa fan wa Le Mutuz
 
Aongezaye maarifa huongeza masikitiko... imeandikwa kwenye bible mkuu hyo..so wewe ondoa tu maarifa kichwan jaza ujinga..
 
Tatizo ni uelewa mkubwa au muda wote kuwaza siasa tu,tatizo hili linasababishwa na imani ya kwamba wenye kufuatilia haya mambo ya siasa ndiyo wenye uelewa mkubwa tena hasa wale wenye kuiponda serikali muda wote.

Ndiyo maana nasemaga watu wamejiweka kwenye situation(kihisia) ambayo kiuhalisia hakuna hali hiyo,matokeo yake ndiyo hayo.
Mbona wewe mwenyewe tayari umeingia kwenye siasa za magamba, nyumbu ndio hujifanya hawafuatilii siasa, utaepuka kuwafuatilia vipi wanasiasa wakati wao ndio wanakupangia wewe namna ya kuishi.
 
Yaani kuwa na uelewa wa mambo mbambali ni mateso makubwa hasa kwenye nchi ya Tanzania nimegundua watu wenye uelewa mdogo wa mambo (ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kisayansi) wana raha kubwa sana na wanafurahia maisha vizuri, yaani kwao bora liende hawajui chochote kinachoendelea.

Kuna mambo mengi makubwa yanatokea tena yakuogopesha kwa mtu mwenye kufikiri vizuri, lakini wenzagu wenye uelewa mdogo wala hawapati machungu yoyote yale maisha kwao yanasonga mbele kama vile hakuna kinachotokea, kiufupi wenzagu raha wanayo.

Sasa naomba mnipatie mbinu ya kuondoa uelewa wa kutafakari na kuchambua mambo, ili niwe kama zezeta fulani na mi nifurahie maisha.
Nimeona njia pekee ya kufurahia maisha apa Bongo ni kuwa na uelewa mdogo wa mambo.
jiunge na FISIEM🙄
 
Mbona wewe mwenyewe tayari umeingia kwenye siasa za magamba, nyumbu ndio hujifanya hawafuatilii siasa, utaepuka kuwafuatilia vipi wanasiasa wakati wao ndio wanakupangia wewe namna ya kuishi.
Umesema Kweli
 
Aongezaye maarifa huongeza masikitiko... imeandikwa kwenye bible mkuu hyo..so wewe ondoa tu maarifa kichwan jaza ujinga..
Ayo maarifa yanaondolewaje sasa?
 
Back
Top Bottom