Nifanyeje niwe na uelewa mdogo?

Nifanyeje niwe na uelewa mdogo?

Hatari Kwa afya
Nikweli,lakini angalau itakusaidia kupumbaza ufahamu.
Alternative nyingine ni;ishi(be) ktk huo uelewa wako mkubwa,japo unaweza usieleweke na jamii.Pili,usilazimishe watu wengine kuona unacho ona wewe,kwani watu wapo ktk level mbalimbali za ufahamu.
 
usipate shida mkuu wee jiunge uvccm au kua kada wa ccm tu, inshort wee kubali kutumiwa na maccm vivid example prof lipumba, prof Bana, Dr mihogo, polepole, mkinga, Dr mwakyembe, wee si unamuona Mh Nape sasa hivi ameanza kurecover tangu aache kutumiwa na maccm akili zake zinamrudia kwa kasi ya 4g
 
Nikweli,lakini angalau itakusaidia kupumbaza ufahamu.
Alternative nyingine ni;ishi(be) ktk huo uelewa wako mkubwa,japo unaweza usieleweke na jamii.Pili,usilazimishe watu wengine kuona unacho ona wewe,kwani watu wapo ktk level mbalimbali za ufahamu.
Umesomeka
 
1. Achana na JF
2. Acha kusikiliza na kuangalia taarifa za habari na kusoma magazeti
3. Acha kabisa kufuatilia current events zozote zile
4. Shinda Instagram na uwafuate wasanii wa bongo fleva na bongo movie
5. Tafuta team ya kujiunga nayo - kama team Wema, team Mondi, team Kiba, n.k.
6. Kuwa mmbea - fuatilia kwa ukaribu bifu za akina Mange, Linda, Recho, na KichwaP😀
7. Kuwa fan wa Le Mutuz
Hahahahs
 
Kuwa na uelewa mkubwa ni vizuri na itakusaidia sijaona sababu ya wewe kusema unahitaji kuwa na uelewa mdogo una kosea sana hata kwa muumba wako, tafadhali rekebisha kauli yako.
 
Kuwa na uelewa mkubwa ni vizuri na itakusaidia sijaona sababu ya wewe kusema unahitaji kuwa na uelewa mdogo una kosea sana hata kwa muumba wako, tafadhali rekebisha kauli yako.
Upo sahihi, ni namna tu ya kufikisha ujumbe fulani (fasihi)
 
Inaonekana una jali sana kuhusu jamii na nchi yako,
Nilikuwa nawaza kuhusu haya masuala ya wabunge kuleta maendeleo finyu na wannchi kuwachagua kila mara nikawa nawasikitia, ila sasa hata wakifa sijali, dunia ina matatizo na mimi sio mtu wa kuya solve
mimi nilikuwa hivyo zamani ila kwa sasa nilishajijenga vizuri, sijali sana kuhusu kinachotokea kwa watu wengine as long as nipo okay
Upo sawa kwa asilimia100.
 
Bangi ni msaada mzuri sana kwako, vuta kutwa Mara tatu na shushi viwili kutwa Mara sita..baada ya hapo leta mrejesho na ukikaa kimya tutajua tumefanikiwa tiba yetu...
Nimeleta mlejesho dawa haijafanya kazi
 
Yaani kuwa na uelewa wa mambo mbambali ni mateso makubwa hasa kwenye nchi ya Tanzania nimegundua watu wenye uelewa mdogo wa mambo (ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kisayansi) wana raha kubwa sana na wanafurahia maisha vizuri, yaani kwao bora liende hawajui chochote kinachoendelea.

Kuna mambo mengi makubwa yanatokea tena yakuogopesha kwa mtu mwenye kufikiri vizuri, lakini wenzagu wenye uelewa mdogo wala hawapati machungu yoyote yale maisha kwao yanasonga mbele kama vile hakuna kinachotokea, kiufupi wenzagu raha wanayo.

Sasa naomba mnipatie mbinu ya kuondoa uelewa wa kutafakari na kuchambua mambo, ili niwe kama zezeta fulani na mi nifurahie maisha.
Nimeona njia pekee ya kufurahia maisha apa Bongo ni kuwa na uelewa mdogo wa mambo.

KNOWLEDGE IS PAIN AND IGNORANCE IS A BLISS.
 
Back
Top Bottom