Nifanyeje niwe na uelewa mdogo?

Nifanyeje niwe na uelewa mdogo?

Tatizo ni uelewa mkubwa au muda wote kuwaza siasa tu,tatizo hili linasababishwa na imani ya kwamba wenye kufuatilia haya mambo ya siasa ndiyo wenye uelewa mkubwa tena hasa wale wenye kuiponda serikali muda wote.

Ndiyo maana nasemaga watu wamejiweka kwenye situation(kihisia) ambayo kiuhalisia hakuna hali hiyo,matokeo yake ndiyo hayo.
Tatizo umeangalia upande mmoja tu wa siasa wakati mambo ya kusikitisha yapo mengi sana ata nje ya siasa.
 
Mbona wewe mwenyewe tayari umeingia kwenye siasa za magamba, nyumbu ndio hujifanya hawafuatilii siasa, utaepuka kuwafuatilia vipi wanasiasa wakati wao ndio wanakupangia wewe namna ya kuishi.
Maelezo yako yanaonesha athari za kufuatilia sana siasa.
 
Yaani kuwa na uelewa wa mambo mbambali ni mateso makubwa hasa kwenye nchi ya Tanzania nimegundua watu wenye uelewa mdogo wa mambo (ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kisayansi) wana raha kubwa sana na wanafurahia maisha vizuri, yaani kwao bora liende hawajui chochote kinachoendelea.

Kuna mambo mengi makubwa yanatokea tena yakuogopesha kwa mtu mwenye kufikiri vizuri, lakini wenzagu wenye uelewa mdogo wala hawapati machungu yoyote yale maisha kwao yanasonga mbele kama vile hakuna kinachotokea, kiufupi wenzagu raha wanayo.

Sasa naomba mnipatie mbinu ya kuondoa uelewa wa kutafakari na kuchambua mambo, ili niwe kama zezeta fulani na mi nifurahie maisha.
Nimeona njia pekee ya kufurahia maisha apa Bongo ni kuwa na uelewa mdogo wa mambo.
..mwambie wife akulishe Limbwata,..
 
Wote wakiwa hivyo nani wa kuhoji mambo? Si tutapelekwa shimoni? Huenda tupo wengi kwani tangu uhuru mambo ni yaleyale. Omba kuongezewa uwezo wa kufikiri kukiko kupunguziwa
 
Wote wakiwa hivyo nani wa kuhoji mambo? Si tutapelekwa shimoni? Huenda tupo wengi kwani tangu uhuru mambo ni yaleyale. Omba kuongezewa uwezo wa kufikiri kukiko kupunguziwa
Kumbe ni tangu uhuru, sikujua kuhusu hilo
 
Huduma mbambali kwenye taasisi binafsi(elimu,afya etc uchakachuaji mwingi tu), wasomi wa vyuo vikuu tena maprofesa aibu tupu,,,
Kwahiyo hayo ndio mambo yanayokufanya wewe uone una uelewa mkubwa?
 
Kwahiyo hayo ndio mambo yanayokufanya wewe uone una uelewa mkubwa?
Kuna details zake apo nimeoutline tu,lakini kikubwa ni kwamba mambo mengi yanategemea siasa Kama ulivyosema na siasa si kitu kibaya kama inatumika siasa nzuri/bora.
Kwa upande mwingine si Kwamba najitapa ninauelewa mkubwa ila ni njia/namna ya kufukisha ujumbe ya Kwamba kama mtu una uelewa wa kawaida na kutumia ubongo vizuri kuna mambo yakusikitisha na kuumiza sana.
 
Aina ya siasa zetu ndiyo zinazokufanya ufikiri hivyo unavyofikiri,kuna mambo mengine ni changamoto tu zinatafsiriwa kisiasa siasa zetu ndipo tatizo linapokuja.
 
Aina ya siasa zetu ndiyo zinazokufanya ufikiri hivyo unavyofikiri,kuna mambo mengine ni changamoto tu zinatafsiriwa kisiasa siasa zetu ndipo tatizo linapokuja.
Sawa
 
FANYA HIVI

Ukingia Chooni ukimaliza usitokee mlango ulioingilia bomoa hats ukuta upite, mana ukiingia chooni akili yote kubwa unaiacha mlangoni unaingia na ile itakayokusaidia usijinyee, ndo mana ukileta mbwembwe tu unakunya pembeni, kwaio ukibadili njia utakua umeagana na akili kubwa bila taabu
Duh hatari
 
Back
Top Bottom