Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,264
jiunge na CCM automatically utakuwa na uelewa mdogo.
MawasilianoMuulize mkuu, nahisi ana dawa
Ajiunge na hawa polisi automatically atakuwa hana tena uelewa wowote ule rejea kamanda sirro sasa amekuwa kilaza wa hali ya juujiunge na CCM automatically utakuwa na uelewa mdogo.
nitarudi keshoMleta mada rudi milembe please
Na Tundu Lissu.Jiunge chadema, na umwamudu Mbowe!
Option ya 2 uwe mwana CCMsina vigezo vya kuwa polisi.
Na watu wanaojiita wana akili nyingi ndio followers wake wakubwa.Mange kimambi yupo insta daily na anajadili umbeya na siasa at same time.
auze smart phonMkuu kuanzia namba moja hadi tatu uko sahihi na utamsaidia kwa hii shida yake.
Namba nne na tano ataongeza maarifa ya upande wa pili, atabobea huko kwenye ma team na umbea ambayo nayo itamsumbua. Kwa ufupi yeye hataki apate shida na kitu anachokifaham. Akaishi porini kwa watindiga na wahadzabe!!