NITATOA USHUHUDA
JF-Expert Member
- Jul 6, 2017
- 757
- 730
Mfollow sanchoka
Onja ile sigara,nasikia kuna kiongozi mkubwa alijali sana nchi yake hadi akili ikataka kimruka. Alishauriwa apige hiyo, ili atulize overconsciousness.Yaani kuwa na uelewa wa mambo mbambali ni mateso makubwa hasa kwenye nchi ya Tanzania nimegundua watu wenye uelewa mdogo wa mambo (ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kisayansi) wana raha kubwa sana na wanafurahia maisha vizuri, yaani kwao bora liende hawajui chochote kinachoendelea.
Kuna mambo mengi makubwa yanatokea tena yakuogopesha kwa mtu mwenye kufikiri vizuri, lakini wenzagu wenye uelewa mdogo wala hawapati machungu yoyote yale maisha kwao yanasonga mbele kama vile hakuna kinachotokea, kiufupi wenzagu raha wanayo.
Sasa naomba mnipatie mbinu ya kuondoa uelewa wa kutafakari na kuchambua mambo, ili niwe kama zezeta fulani na mi nifurahie maisha.
Nimeona njia pekee ya kufurahia maisha apa Bongo ni kuwa na uelewa mdogo wa mambo.
Namba 1 mpaka 3 sawa ila huko kwingine ataongeza stress tu1. Achana na JF
2. Acha kusikiliza na kuangalia taarifa za habari na kusoma magazeti
3. Acha kabisa kufuatilia current events zozote zile
4. Shinda Instagram na uwafuate wasanii wa bongo fleva na bongo movie
5. Tafuta team ya kujiunga nayo - kama team Wema, team Mondi, team Kiba, n.k.
6. Kuwa mmbea - fuatilia kwa ukaribu bifu za akina Mange, Linda, Recho, na KichwaP😀
7. Kuwa fan wa Le Mutuz
56Unaumri gani
Nasikia sigara kubwa inaongeza uwezo wa kiakiriOnja ile sigara,nasikia kuna kiongozi mkubwa alijali sana nchi yake hadi akili ikataka kimruka. Alishauriwa apige hiyo, ili atulize overconsciousness.
Basi sawa, ila fanya ujitathmini kdg maan jua linazama hilo.
Sawa, monitoring and evaluation.Basi sawa, ila fanya ujitathmini kdg maan jua linazama hilo.
Haiongezi,inapunguza na ndo lengo la mleta threadNasikia sigara kubwa inaongeza uwezo wa kiakiri
8,penda ccm1. Achana na JF
2. Acha kusikiliza na kuangalia taarifa za habari na kusoma magazeti
3. Acha kabisa kufuatilia current events zozote zile
4. Shinda Instagram na uwafuate wasanii wa bongo fleva na bongo movie
5. Tafuta team ya kujiunga nayo - kama team Wema, team Mondi, team Kiba, n.k.
6. Kuwa mmbea - fuatilia kwa ukaribu bifu za akina Mange, Linda, Recho, na KichwaP😀
7. Kuwa fan wa Le Mutuz
WaziriCCM baba even mawazil si unawaona
Mkuu umemjibu vyema kabisa sina cha kuongezea.1. Achana na JF