Nifanyeje niwe na uelewa mdogo?

Nifanyeje niwe na uelewa mdogo?

Yaani kuwa na uelewa wa mambo mbambali ni mateso makubwa hasa kwenye nchi ya Tanzania nimegundua watu wenye uelewa mdogo wa mambo (ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kisayansi) wana raha kubwa sana na wanafurahia maisha vizuri, yaani kwao bora liende hawajui chochote kinachoendelea.

Kuna mambo mengi makubwa yanatokea tena yakuogopesha kwa mtu mwenye kufikiri vizuri, lakini wenzagu wenye uelewa mdogo wala hawapati machungu yoyote yale maisha kwao yanasonga mbele kama vile hakuna kinachotokea, kiufupi wenzagu raha wanayo.

Sasa naomba mnipatie mbinu ya kuondoa uelewa wa kutafakari na kuchambua mambo, ili niwe kama zezeta fulani na mi nifurahie maisha.
Nimeona njia pekee ya kufurahia maisha apa Bongo ni kuwa na uelewa mdogo wa mambo.
Huu uzi niliwahi usoma mwaka jana ukanifikirisha sana. Kimsingi wengi twateseka sana na kufikiri mambo mengi. Mimi naamini kw hali ya sasa hutaweza. Vinginevyo uwe zoba/layman. Yaani hata kichaa hutabika ndio maana hukumbuka nakusemea yale yote aliyoyatenda kipindi hicho. Kuna jamaa yangu ana simu ya tochi anakunywa tu ugimbi, yaani anaweza kukupigia kukuuliza issue za mwaka za nyuma huko. Hawazii maishamazuri wala nini. Ukimpa kazi akimaliza ni pombe tu, hata mademu hamind!!! Kwa mbali yanga na simu lkn si Man u.
 
"Smart people sound dumb to stupid people" msiomuelewa Raisi Magufuli hilo ndo tatizo lenu.. Magufuli till 2025
 
Kula chibuku wiki mbili mfululizo hautokua zezeta tu ila utakua pimbi kamili hautojali chochote hapa dunian kuanzia kuoga mpaka mambo ya jamuhuri
 
Kula chibuku wiki mbili mfululizo hautokua zezeta tu ila utakua pimbi kamili hautojali chochote hapa dunian kuanzia kuoga mpaka mambo ya jamuhuri yetu
 
Acha kuwa mzalendo, pia kaishi kijijini usisikilize radio wala kuangalia tv,
 
Kula chibuku wiki mbili mfululizo hautokua zezeta tu ila utakua pimbi kamili hautojali chochote hapa dunian kuanzia kuoga mpaka mambo ya jamuhuri yetu
Chibuku ni hatari Kwa afya.
 
Yaani kuwa na uelewa wa mambo mbambali ni mateso makubwa hasa kwenye nchi ya Tanzania nimegundua watu wenye uelewa mdogo wa mambo (ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kisayansi) wana raha kubwa sana na wanafurahia maisha vizuri, yaani kwao bora liende hawajui chochote kinachoendelea.

Kuna mambo mengi makubwa yanatokea tena yakuogopesha kwa mtu mwenye kufikiri vizuri, lakini wenzagu wenye uelewa mdogo wala hawapati machungu yoyote yale maisha kwao yanasonga mbele kama vile hakuna kinachotokea, kiufupi wenzagu raha wanayo.

Sasa naomba mnipatie mbinu ya kuondoa uelewa wa kutafakari na kuchambua mambo, ili niwe kama zezeta fulani na mi nifurahie maisha.
Nimeona njia pekee ya kufurahia maisha apa Bongo ni kuwa na uelewa mdogo wa mambo.
Kuwa mwanachama wa CCM . . !

Utashangaa jinsi utakavyokuwa KILAZA ghafla . . !
 
Back
Top Bottom