Nifanyeje niwe na uelewa mdogo?

Nifanyeje niwe na uelewa mdogo?

moesy

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2012
Posts
3,555
Reaction score
3,539
Yaani kuwa na uelewa wa mambo mbambali ni mateso makubwa hasa kwenye nchi ya Tanzania nimegundua watu wenye uelewa mdogo wa mambo (ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kisayansi) wana raha kubwa sana na wanafurahia maisha vizuri, yaani kwao bora liende hawajui chochote kinachoendelea.

Kuna mambo mengi makubwa yanatokea tena yakuogopesha kwa mtu mwenye kufikiri vizuri, lakini wenzagu wenye uelewa mdogo wala hawapati machungu yoyote yale maisha kwao yanasonga mbele kama vile hakuna kinachotokea, kiufupi wenzagu raha wanayo.

Sasa naomba mnipatie mbinu ya kuondoa uelewa wa kutafakari na kuchambua mambo, ili niwe kama zezeta fulani na mi nifurahie maisha.
Nimeona njia pekee ya kufurahia maisha apa Bongo ni kuwa na uelewa mdogo wa mambo.
 
1. Achana na JF
2. Acha kusikiliza na kuangalia taarifa za habari na kusoma magazeti
3. Acha kabisa kufuatilia current events zozote zile
4. Shinda Instagram na uwafuate wasanii wa bongo fleva na bongo movie
5. Tafuta team ya kujiunga nayo - kama team Wema, team Mondi, team Kiba, n.k.
6. Kuwa mmbea - fuatilia kwa ukaribu bifu za akina Mange, Linda, Recho, na KichwaP😀
7. Kuwa fan wa Le Mutuz
 
1. Achana na JF
2. Acha kusikiliza na kuangalia taarifa za habari na kusoma magazeti
3. Acha kabisa kufuatilia current events zozote zile
4. Shinda Instagram na uwafuate wasanii wa bongo fleva na bongo movie
5. Tafuta team ya kujiunga nayo - kama team Wema, team Mondi, team Kiba, n.k.

Mkuu kuanzia namba moja hadi tatu uko sahihi na utamsaidia kwa hii shida yake.
Namba nne na tano ataongeza maarifa ya upande wa pili, atabobea huko kwenye ma team na umbea ambayo nayo itamsumbua. Kwa ufupi yeye hataki apate shida na kitu anachokifaham. Akaishi porini kwa watindiga na wahadzabe!!
 
Yaani kuwa na uelewa wa mambo mbambali ni mateso makubwa hasa kwenye nchi ya Tanzania nimegundua watu wenye huelewa mdogo wa mambo (ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kisayansi) wana raha kubwa sana na wanafurahia maisha vizuri, yaani kwao bora liende hawajui chochote kinachoendelea.

Kuna mambo mengi makubwa yanatokea tena yakuogopesha kwa mtu mwenye kufikiri vizuri, lakini wenzagu wenye uelewa mdogo wala hawapati machungu yoyote yale maisha kwao yanasonga mbele kama vile hakuna kinachotokea, kiufupi wenzagu raha wanayo.

Sasa naomba mnipatie mbinu ya kuondoa uelewa wa kutafakari na kuchambua mambo, ili niwe kama zezeta fulani na mi nifurahie maisha.
Nimeona njia pekee ya kufurahia maisha apa Bongo ni kuwa na uelewa mdogo wa mambo.
Ungekua na uelewa mkubwa, ungejua cha kufanya.
 
Mkuu kuanzia namba moja hadi tatu uko sahihi na utamsaidia kwa hii shida yake.
Namba nne na tano ataongeza maarifa ya upande wa pili, atabobea huko kwenye ma team na umbea ambayo nayo itamsumbua. Kwa ufupi yeye hataki apate shida na kitu anachokifaham. Akaishi porini kwa watindiga na wadzabe!!

Yaan kwa kifupi tu aishi mwenyewe maana hata akiishi na watu atasikia tu mambo yaendeleayo, hata kama hatokuwa kwenye social media yoyote.

Yaani kuwa na uelewa wa mambo mbambali ni mateso makubwa hasa kwenye nchi ya Tanzania nimegundua watu wenye huelewa mdogo wa mambo (ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kisayansi) wana raha kubwa sana na wanafurahia maisha vizuri, yaani kwao bora liende hawajui chochote kinachoendelea.

Kuna mambo mengi makubwa yanatokea tena yakuogopesha kwa mtu mwenye kufikiri vizuri, lakini wenzagu wenye uelewa mdogo wala hawapati machungu yoyote yale maisha kwao yanasonga mbele kama vile hakuna kinachotokea, kiufupi wenzagu raha wanayo.

Sasa naomba mnipatie mbinu ya kuondoa uelewa wa kutafakari na kuchambua mambo, ili niwe kama zezeta fulani na mi nifurahie maisha.
Nimeona njia pekee ya kufurahia maisha apa Bongo ni kuwa na uelewa mdogo wa mambo.

Hao wengine sio kwamba wanauelewa mdogo bali wameamua kitojishughulisha na hayo mambo na kuyafuatilia
 
Yaani kuwa na uelewa wa mambo mbambali ni mateso makubwa hasa kwenye nchi ya Tanzania nimegundua watu wenye uelewa mdogo wa mambo (ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kisayansi) wana raha kubwa sana na wanafurahia maisha vizuri, yaani kwao bora liende hawajui chochote kinachoendelea.

Kuna mambo mengi makubwa yanatokea tena yakuogopesha kwa mtu mwenye kufikiri vizuri, lakini wenzagu wenye uelewa mdogo wala hawapati machungu yoyote yale maisha kwao yanasonga mbele kama vile hakuna kinachotokea, kiufupi wenzagu raha wanayo.

Sasa naomba mnipatie mbinu ya kuondoa uelewa wa kutafakari na kuchambua mambo, ili niwe kama zezeta fulani na mi nifurahie maisha.
Nimeona njia pekee ya kufurahia maisha apa Bongo ni kuwa na uelewa mdogo wa mambo.
Jaribu ku-bet,, ukishindwa anza pombe
 
Ni kweli kabisa kumekuwa na hii kauli "unajifanya unajua kila kitu" inaniuzi sana inaonekana mtu kuwa na uelewa wa mambo fulani ni kama kujidai/kujiona.
binafsi nakushauri endelea kuwa hivyohivyo hiyo ni kwa faida yako mkuu isikutishe keep going wewe ni wewe na wala sio wao waache wawe wao na wewe kuwa wewe kikubwa kujitambua
 
Back
Top Bottom