Nifanyeje niwe na uelewa mdogo?

Nifanyeje niwe na uelewa mdogo?

Kila siku Uwe una shinda lumumba Uelewa wako utakuwa mdogo tu

OVA
 
Chukua kadi ya CCM ndugu. Ukiwa mwana CCM unaishi maisha mazuri sana. Wala huumiz kichwa unadumisha tu fikra za mwenyekiti. Na uwezo wako wa kufikiri unapungua na mwishoni kufa kabisa.

Yaani kuwa na uelewa wa mambo mbambali ni mateso makubwa hasa kwenye nchi ya Tanzania nimegundua watu wenye uelewa mdogo wa mambo (ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kisayansi) wana raha kubwa sana na wanafurahia maisha vizuri, yaani kwao bora liende hawajui chochote kinachoendelea.

Kuna mambo mengi makubwa yanatokea tena yakuogopesha kwa mtu mwenye kufikiri vizuri, lakini wenzagu wenye uelewa mdogo wala hawapati machungu yoyote yale maisha kwao yanasonga mbele kama vile hakuna kinachotokea, kiufupi wenzagu raha wanayo.

Sasa naomba mnipatie mbinu ya kuondoa uelewa wa kutafakari na kuchambua mambo, ili niwe kama zezeta fulani na mi nifurahie maisha.
Nimeona njia pekee ya kufurahia maisha apa Bongo ni kuwa na uelewa mdogo wa mambo.
 
Unapoelekea utakuwa zezeta mzuri tu, ukifikiri mambo sana utajikuta unaangukia pabaya au kufanya mambo ya hovyo, so usijali soon utakuwa uzezetani...joki.....
 
Yaani kuwa na uelewa wa mambo mbambali ni mateso makubwa hasa kwenye nchi ya Tanzania nimegundua watu wenye uelewa mdogo wa mambo (ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kisayansi) wana raha kubwa sana na wanafurahia maisha vizuri, yaani kwao bora liende hawajui chochote kinachoendelea.

Kuna mambo mengi makubwa yanatokea tena yakuogopesha kwa mtu mwenye kufikiri vizuri, lakini wenzagu wenye uelewa mdogo wala hawapati machungu yoyote yale maisha kwao yanasonga mbele kama vile hakuna kinachotokea, kiufupi wenzagu raha wanayo.

Sasa naomba mnipatie mbinu ya kuondoa uelewa wa kutafakari na kuchambua mambo, ili niwe kama zezeta fulani na mi nifurahie maisha.
Nimeona njia pekee ya kufurahia maisha apa Bongo ni kuwa na uelewa mdogo wa mambo.
Kwanza jiulize watu wa aina hiyo wanapatikana wapi? Utagundua 97% wanapatikana ndani ya Ccm.
Basi usipate shida, jiunge mara moja huko na utakidhi matakwa ya moyo wako na furaha utaipata ya kutosha.
 
.

utafiti wa mwaka gani?
 
1. Achana na JF
2. Acha kusikiliza na kuangalia taarifa za habari na kusoma magazeti
3. Acha kabisa kufuatilia current events zozote zile
4. Shinda Instagram na uwafuate wasanii wa bongo fleva na bongo movie
5. Tafuta team ya kujiunga nayo - kama team Wema, team Mondi, team Kiba, n.k.
6. Kuwa mmbea - fuatilia kwa ukaribu bifu za akina Mange, Linda, Recho, na KichwaP😀
7. Kuwa fan wa Le Mutuz
Mange kimambi yupo insta daily na anajadili umbeya na siasa at same time.
 
.

utafiti wa mwaka gani?
Wa Jana tuu, utafiti sio lazima ufanyiwe waweza kufanya mwenyewe.
Jana nilijikita kusoma post 100 za siasa hapa jf na kuona watu 97 wapenzi wa Ccm wako happy hata ukiwaambia hospitalini hakuna dawa, wao wanasema hapakazituu.
 
Hivi katika dunia hii kweli ikosekane dawa ya kupunguza IQ?

Mi nafikiri uweke tu wazi ni nani unamzungumzia.
Maana swali na majibu vyote kwangu vipo kinyume. FUNGUKA MKUU MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUUUU.
 
Back
Top Bottom