- Thread starter
- #61
sipendi kutumia njia za kihalifuMkuu Tafuta hili kundi la "PANYA ROAD" uwaombe wakusjili halaf hayo matatizo yote yataisha !
sipendi kutumia njia za kihalifuMkuu Tafuta hili kundi la "PANYA ROAD" uwaombe wakusjili halaf hayo matatizo yote yataisha !
Ukizima data na ubongo unajizima?Zima data, soma udaku na sikiliza clauz radio, na tizama clauz tv, taarifa ya habari angalia TBC
Nenda ka BETYaani kuwa na uelewa wa mambo mbambali ni mateso makubwa hasa kwenye nchi ya Tanzania nimegundua watu wenye uelewa mdogo wa mambo (ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kisayansi) wana raha kubwa sana na wanafurahia maisha vizuri, yaani kwao bora liende hawajui chochote kinachoendelea.
Kuna mambo mengi makubwa yanatokea tena yakuogopesha kwa mtu mwenye kufikiri vizuri, lakini wenzagu wenye uelewa mdogo wala hawapati machungu yoyote yale maisha kwao yanasonga mbele kama vile hakuna kinachotokea, kiufupi wenzagu raha wanayo.
Sasa naomba mnipatie mbinu ya kuondoa uelewa wa kutafakari na kuchambua mambo, ili niwe kama zezeta fulani na mi nifurahie maisha.
Nimeona njia pekee ya kufurahia maisha apa Bongo ni kuwa na uelewa mdogo wa mambo.
Ataenda kuishi mwenyewe wapi?Yaan kwa kifupi tu aishi mwenyewe maana hata akiishi na watu atasikia tu mambo yaendeleayo, hata kama hatokuwa kwenye social media yoyote.
Hao wengine sio kwamba wanauelewa mdogo bali wameamua kitojishughulisha na hayo mambo na kuyafuatilia
Ataenda kuishi mwenyewe wapi?
Unafikiri ukifatilia udaku na stori za wanamziki utakuwa na mastress kama ya kuskiza Bunge???Ukizima data na ubongo unajizima?
Ni wapi uko?Popote ambapo hatapata muingiliano na watu
Ngoja nianze kumsoma shingongoUnafikiri ukifatilia udaku na stori za wanamziki utakuwa na mastress kama ya kuskiza Bunge???
Teh teh teh teh teh tehPopote ambapo hatapata muingiliano na watu
Yaani kuwa na uelewa wa mambo mbambali ni mateso makubwa hasa kwenye nchi ya Tanzania nimegundua watu wenye uelewa mdogo wa mambo (ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kisayansi) wana raha kubwa sana na wanafurahia maisha vizuri, yaani kwao bora liende hawajui chochote kinachoendelea.
Kuna mambo mengi makubwa yanatokea tena yakuogopesha kwa mtu mwenye kufikiri vizuri, lakini wenzagu wenye uelewa mdogo wala hawapati machungu yoyote yale maisha kwao yanasonga mbele kama vile hakuna kinachotokea, kiufupi wenzagu raha wanayo.
Sasa naomba mnipatie mbinu ya kuondoa uelewa wa kutafakari na kuchambua mambo, ili niwe kama zezeta fulani na mi nifurahie maisha.
Nimeona njia pekee ya kufurahia maisha apa Bongo ni kuwa na uelewa mdogo wa mambo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja nianze kumsoma shingongo
1. Achana na JF
2. Acha kusikiliza na kuangalia taarifa za habari na kusoma magazeti
3. Acha kabisa kufuatilia current events zozote zile
4. Shinda Instagram na uwafuate wasanii wa bongo fleva na bongo movie
5. Tafuta team ya kujiunga nayo - kama team Wema, team Mondi, team Kiba, n.k.
Pia timu Yanga1. Achana na JF
2. Acha kusikiliza na kuangalia taarifa za habari na kusoma magazeti
3. Acha kabisa kufuatilia current events zozote zile
4. Shinda Instagram na uwafuate wasanii wa bongo fleva na bongo movie
5. Tafuta team ya kujiunga nayo - kama team Wema, team Mondi, team Kiba, n.k.
Anza kuimba ule wimbo wa wataisoma nambaYaani kuwa na uelewa wa mambo mbambali ni mateso makubwa hasa kwenye nchi ya Tanzania nimegundua watu wenye uelewa mdogo wa mambo (ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kisayansi) wana raha kubwa sana na wanafurahia maisha vizuri, yaani kwao bora liende hawajui chochote kinachoendelea.
Kuna mambo mengi makubwa yanatokea tena yakuogopesha kwa mtu mwenye kufikiri vizuri, lakini wenzagu wenye uelewa mdogo wala hawapati machungu yoyote yale maisha kwao yanasonga mbele kama vile hakuna kinachotokea, kiufupi wenzagu raha wanayo.
Sasa naomba mnipatie mbinu ya kuondoa uelewa wa kutafakari na kuchambua mambo, ili niwe kama zezeta fulani na mi nifurahie maisha.
Nimeona njia pekee ya kufurahia maisha apa Bongo ni kuwa na uelewa mdogo wa mambo.
Arudi kwenye stone ageMkuu kuanzia namba moja hadi tatu uko sahihi na utamsaidia kwa hii shida yake.
Namba nne na tano ataongeza maarifa ya upande wa pili, atabobea huko kwenye ma team na umbea ambayo nayo itamsumbua. Kwa ufupi yeye hataki apate shida na kitu anachokifaham. Akaishi porini kwa watindiga na wadzabe!!