Nifanyeje niwe na uelewa mdogo?

Nifanyeje niwe na uelewa mdogo?

Kuwa shoga ukifumuliwa marinda siku ya kwanza tena bila kilainishi utasahau kila kitu kuhusu hii dunia.yaani utakuwa umejiflash alafu anza upya.
 
kuna kitu nimewaza tu ...labda umekua mtu wa siasa za upinzani sana kila kitu kwako ni upinzani tu even yaliyo mazuri kwako ni mabaya tu .
 
teteheee,wengine tunaweza kwa upward movement
Duh! Basi haya... au labda unajikompliketisha mwenyewe tu! Jana humu nimeona thread ya mwenzako mmoja ambae ni Third Year Harvard University! Basi nilivyoona jamaa ni 3rd year Harvard University na anaambia watu wamuulize swali lolote; mi nikasema YEEEES, ngoja leo nile nondo za big brain za Harvard! Nikasema hapa siulizi swali wala nini... naingia tu kwenye profile yake naanza kumeza madini ya thread zake za siku za nyuma... nikajua piga ua, lazima nitakutana na thread za kwanini dunia inazunguka lakini hatujikuti New York!

Kudadadeki, thread ya kwanza kukutana nayo nakuta inamuhusu Mesen Selekta... nikasema sawa! Ya pili, ni Country Boy... nikaona hewala! Nashusha chini kidogo nakutana na Baraka de Prince akifuatiwa na mwenetu mwenyewe Juma Kiroboto! Nikavumilia! Mara ehe, thread ya Stan Bakora hii hapa; wakati uvimilivu unaanza kuleta za kuleta, mara mvuuu, thred ya Gigy Money hii hapa!

Mwenzako hapo miakili yake ya ki-Harvard wala haimsumbui!!!!!!
 
Soma magazeti ya udaku,sikiliza bongoflava na singeli,fatilia bongomuvi kunywa viroba utakuwa na Raha duniani
 
1. Achana na JF
2. Acha kusikiliza na kuangalia taarifa za habari na kusoma magazeti
3. Acha kabisa kufuatilia current events zozote zile
4. Shinda Instagram na uwafuate wasanii wa bongo fleva na bongo movie
5. Tafuta team ya kujiunga nayo - kama team Wema, team Mondi, team Kiba, n.k.
Namba 4 na 5 ndio zenyewe kabisa ,ukizifuata kwa full attention utaishi kwa raha mustarehe[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
mbona hakuna uhusiano kupunguza uelewa na kubet
watu wanaobet ni watu wanaoishi kwenye ndoto ya kuwa wanaweza kuaga umasikini kwa kutumia betting ingawa kipindi kingine wanashinda pesa lakini kijumla wanapoteza pesa nyingi sana pia namshauri aanze kunywa viroba
 
Yaani kuwa na uelewa wa mambo mbambali ni mateso makubwa hasa kwenye nchi ya Tanzania nimegundua watu wenye uelewa mdogo wa mambo (ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kisayansi) wana raha kubwa sana na wanafurahia maisha vizuri, yaani kwao bora liende hawajui chochote kinachoendelea.

Kuna mambo mengi makubwa yanatokea tena yakuogopesha kwa mtu mwenye kufikiri vizuri, lakini wenzagu wenye uelewa mdogo wala hawapati machungu yoyote yale maisha kwao yanasonga mbele kama vile hakuna kinachotokea, kiufupi wenzagu raha wanayo.

Sasa naomba mnipatie mbinu ya kuondoa uelewa wa kutafakari na kuchambua mambo, ili niwe kama zezeta fulani na mi nifurahie maisha.
Nimeona njia pekee ya kufurahia maisha apa Bongo ni kuwa na uelewa mdogo wa mambo.
tembea na mke wa mganga wa kienyeji
 
Mkuu Tafuta hili kundi la "PANYA ROAD" uwaombe wakusjili halaf hayo matatizo yote yataisha !
 
watu wanaobet ni watu wanaoishi kwenye ndoto ya kuwa wanaweza kuaga umasikini kwa kutumia betting ingawa kipindi kingine wanashinda pesa lakini kijumla wanapoteza pesa nyingi sana pia namshauri aanze kunywa viroba
Kwani kupoteza pesa ndio kupunguza uwezo wa uelewa?hiyo ni ajali tu ya kimaisha tena inaweza kukusaidia kuongeza uwezo wa kufikiri
 
Duh! Basi haya... au labda unajikompliketisha mwenyewe tu! Jana humu nimeona thread ya mwenzako mmoja ambae ni Third Year Harvard University! Basi nilivyoona jamaa ni 3rd year Harvard University na anaambia watu wamuulize swali lolote; mi nikasema YEEEES, ngoja leo nile nondo za big brain za Harvard! Nikasema hapa siulizi swali wala nini... naingia tu kwenye profile yake naanza kumeza madini ya thread zake za siku za nyuma... nikajua piga ua, lazima nitakutana na thread za kwanini dunia inazunguka lakini hatujikuti New York!

Kudadadeki, thread ya kwanza kukutana nayo nakuta inamuhusu Mesen Selekta... nikasema sawa! Ya pili, ni Country Boy... nikaona hewala! Nashusha chini kidogo nakutana na Baraka de Prince akifuatiwa na mwenetu mwenyewe Juma Kiroboto! Nikavumilia! Mara ehe, thread ya Stan Bakora hii hapa; wakati uvimilivu unaanza kuleta za kuleta, mara mvuuu, thred ya Gigy Money hii hapa!

Mwenzako hapo miakili yake ya ki-Harvard wala haimsumbui!!!!!!
[emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Back
Top Bottom