ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,373
- 4,141
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.
Njoo kwangu nikigusa 2,yanapotea kwa uwezo wa roho mtakatifu.
Ivi ungepata mzigo km huu nadhani ungeenda TBC,ITV,STAR TV kuomba msaada kuna wanadamu wenzio wanavuta makontena ww yaache tu kwn kesi?
View attachment 128290
Aya jilinganishe na uyu pia km umewazidi hawa magoma moto wawili bac unahitaji msaada
View attachment 128293
Mmmmh!
Mpendwa ; hiyo kazi ndogo tafuta "Abaya" vazi la stara na hutojutia!!Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.
Mmhhhh!!!Njoo kwangu nikigusa 2,yanapotea kwa uwezo wa roho mtakatifu.
Dah afu na wewe upunguze bhana, unalitingishaga sana atii.u were born that way!!!nini shidaaa tingisha mama uwezavyo! u cant avoid the naturee!!!tingisha tingishika watingishie GILESI........!hata mimi ninalo nalitingishaga mpaka baaaasi afu naona kawaida tu
Asante Sana kwa ushauri,
nitaenda soon. ILA nimesikitishwa na baadhi ya wachangiaji, engine
wamediriki kuweka hadi picha za ngono. Very poor thinking
capacity
Hapo hauhitaji dawa wala mavazi ya kukubana ili huepukana na hiyo hali, jambo kubwa na la msingi kwako ni moja tu ambalo litakuwa msaada kwako.Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.
Ndo ugonjwa Wangu... hebu ni PM tusaidiane!