Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,623
Nimeanza kumchoka
Cc: miss neddy
Wiii unasema...?
Last edited by a moderator:
Nimeanza kumchoka
Cc: miss neddy
Si ndo hapo sasa
heeee!! we bujibuji umejaaliwa neema za allah!!Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.
Wiii unasema...?
Swty! Wifi zako wanasemaje?
Sasa Mungu ampe nini..au amuombe manyaunyau umpr jinidada una zigo kubwa nakusaidia kulibeba halafu unadai nakubaishia
Makoye sezae makoye
Neyo matale!
Hasband kumbe umeona eeh? Mwambie dada yako amtulize mumewe
Usitanue Hivyo dada Yangu!
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.
Na wifi naona unamchekea....anavurunda unamtetea....alipokua anatafta chimbo ambako wanahisi sitofika hukuona sezae? Na wewe unanitia mashaka