waswaili wanasema...ukitingisha mguu ishara ya kutembea,ukitindishika mwili ishara ya ugeni...JE UKITINGISHIKA ------ ISHARA YA NINI MI MGENINina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.
Woooow....poped out kibooty!...hakina ushirikiano na under pants!...that's exactly wat i adore...with all due respect..kapicha just cha ''poped out'' kibooty sio sura kangefaa sana!On a positive response: put on underpants that will hold the whole mzigo,inapunguza kutingishika,i am average size but got a lil popped out kibooty,most times my friends doubt kama nimevaa underpants sababu ya movement ya my kibooty inspite of putting underpants that hold it all. So try my advice and consult training experts on excerciss that will make it firm (squats may work for you) they put the booty in shape,smooth and makes it firm.Good luck Dada!!
Msinijie na manegativity yenu ya kuita watu wauzaji hapa,maana mmecramishwa kuita watu wauzaji.
Wats yo sex, if i may ask...i will be in a better position to advise!Asante Sana kwa ushauri, nitaenda soon. ILA nimesikitishwa na baadhi ya wachangiaji, engine wamediriki kuweka hadi picha za ngono. Very poor thinking capacity
tunataftana ubaya Wii...usione nimeinama
hahahahahahhaa unatunga sheria atiiii
Nimeanza kumchoka
Cc: miss neddy
hahahahahahahaha anataka kufanya mapinduzi ya umwagaji damu lol
Wee waache...they are pushing me sis