Arushaone
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 15,235
- 13,539
Kaah! Masikio yangu yamezibuka ghafla afu kwa kishindo kikubwa!!
OMG!!!
Last edited by a moderator:
Hahaha hata wewe mwee jamani Mimi ni kichuchuna jamani cha hajaaaa
Kamoyo kalikua kanaenda mbio hapa!! haya kichuchuna cha haja,
pm yako si ina space bado ?
hahahaaaaa mkia mbele babu Asprin ndio ukoje huo mkia
Na ID yangu ya gfsonwin nimeipumzisha sasa na-move na ingine ya masai dada ...gusa unase!!!
Wataka kuuuona kwa macho eeeeh
af inaelekea usiponitaja taja jamvi hulioni zuri enh!!!!
ngoja kwanza nikamilishe kiporo woter mtahamia mtaa wa tatu wallah!!
kun faya kun!!!!!!!!!!!!
af inaelekea usiponitaja taja jamvi hulioni zuri enh!!!!
ngoja kwanza nikamilishe kiporo woter mtahamia mtaa wa tatu wallah!!
kun faya kun!!!!!!!!!!!!
Hebu wewe Babu nituwe mwana wa mwenzio
Wataka kuuuona kwa macho eeeeh
neɗdy make sure you dont be late nitakuwa floor no.3 room 45 msosi na drinks mcheki davi reception
nadhani unakumbuka mimi na wewe bado hatujamalizana. jiandae kushindwa.
Hahahahahaha nitumie kwanza nauli unadhani nitapaa na ungo au
Hujambo mpenzi? Nimekumisi kwenye Volleyball.
Amba loi...!
nimempatia george gari aje akuchukue na escort ya ulinzi mahiri room ipo maintained maybe uje na handset yako tu vingine utavikuta anything you want kwa njia mwambie george anacheque ya 2000$ hope everything is owkey
hahahahha sitaki cheque onyesha cash bwana mwanaume gani unaficha hela bank jaza kwenye sanduku tu tuwe tunachota anytime no foleni lol