Nifanyeje mat'ako' yasitingishike nitembeapo?

Nifanyeje mat'ako' yasitingishike nitembeapo?

Status
Not open for further replies.
hahahahhahahahaha,jamani hata buibuji yumo?nilidhani kina pigamsuli tu
 
Last edited by a moderator:
Asante Sana kwa ushauri, nitaenda soon. ILA nimesikitishwa na baadhi ya wachangiaji, engine wamediriki kuweka hadi picha za ngono. Very poor thinking capacity
by the way, nani ameanzisha hii thread.. is it Bujibuji, au giles. Jinsi ya Bujibuji ni ke au me, nisaidieni.
 
by the way, nani ameanzisha hii thread.. is it Bujibuji, au giles. Jinsi ya Bujibuji ni ke au me, nisaidieni.

Si Bujibuji aje ajibu mwenyewe au ameingia gizani?

Tiba
 
by the way, nani ameanzisha hii thread.. is it Bujibuji, au giles. Jinsi ya Bujibuji ni ke au me, nisaidieni.
Mwanzoni nilijua ni me ila kwa sasa natambua kuwa bujibuji na wengi humu ni ke! au watu wa jinsia mbili na ndivyoo alivyo bujibuji.
 
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.
Weka video
 
Bujibuji wakati unajiunga jf ulikuwa unaitwa Mikela kwa aibu uliyopata futa id ya Bujibuji rudisha ya mikela.
 
Usivae kitu ndani ndo utayakomoa eeehh si dawa ya moto ni moto
 
may be somewhere, only your avatar reminds me of someone!
 
Usikutee ni dume kisha linawasanifu tu hapa jukwaani. Kama ---- lako linatingishika sana bado upo karibu kuolewa maana wanaume wanapenda sana watu kama wew

Mkuu ulijuaje kama sio KE? Ona ID yake after merging!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom