Nifanyeje Kupunguza Gharama za Milango?

Nifanyeje Kupunguza Gharama za Milango?

Kwenda huko kenge weee. Wee ujenzi utaulia wapi story zako kila leo ngono tuu. Tua he sie ma engineer wazee wa concrete, slap, footing. Gypsum, plumbing vyote vipo kicheani yaani ata .umeo akitaka jenga ghorofa niite nisimamie alafu nikui amishe ndani ya boma nikulambishe kibamiaz 😜
😹😹😹 Kwendraaa engineer utakuwa wewe??
 
Katika Maeneo yananipasua Kichwa eneo la Finishing ya nyumba ni Milango.

Yani kuna wakati natamani kuweka hata mabati, ilimradi Mlango

Naomba Wazoefu eneo hili mnisaidie Huwa mnafanyaje mkifika eneo la KUWEKA milango nyumba.

Gharama za mlango Mmoja Wa Mbao ya Mkongo inafika hadi 1m na zaidi.

Nyumba yenye Milango 6 maana yake inatoka sio chini ya 6m.

Hapo Hujaenda GETINI kuandaa GETI...

Upande Wa GETI huwa sipati shida kwani najiandaaga kwa Kununua MABATI,Square Pipe,vinatulia kusubiri Muda napata hela kisha naita Fundi Geti linapatikana.

Kwenye MILANGO naombeni mnisaidie mawazo mliyotumia

Binafsi nawaza kukusanya mbao kama mbao kisha baadae nije tengeneza Mlango, Hii imekaaje kuhusu Ubora na Gharama ndugu zangu,kuna kitu ntaokoa au ni yale yale?

Kuna milango ya Chuma Naombeni msiiiweke katika OPTIONS naombeni mnisaidie kuokoa gharama kwenye Milango ya Mbao tu.

Kama Kuna Fundi Pia au Muuza Mbao naomba ajitokeze, Msaada wenu tafadhali.

View attachment 3330414
Milango ya vyimbani tumia flush doors mmoja hauzidi 70k, kwa vyooni tumia aluminium doors.

Vv
 
😹😹😹 Kwendraaa engineer utakuwa wewe??
Acha kukariri maisha mshangazi mwenye tako na titi lake.
Mie ni mbususu engineer...i engineer women's sexual satisfaction. Plz do not hesitate to contact me for sexual pleasure engineered to perfection😜
 
Pandeni miti ya mbao Mashambani mwenu kuzunguka shamba au kiwanja mti mmoja tu unaweza kutoa milango yote hata 6 na mti wa pili kutoa fenicha zote kwa watoto wako shida za muafrica ni zakujitakia wazazi wetu walishindwa kutumia akili na sisi pia hivyo hivyo kila mtoto unaye m zaa panda miti ya mbao 4 wakija kukua na kufikisha miaka 16 hadi 20 watakuwa awana shida ya furniture
 
Kiongozi, kuna jamaa mwenye kiwanda cha milango ya chuma morogoro mjini. Ni imara na muonekano wake huwezi kutofautisha na mbao. Inafinishing ya kimataifa nafikiri bei yake inakuwa rafiki kidogo.
Nitakupatia namba yake uwasiliane naye au unaweza kumtembelea kwenye showroom yake moro mjini
 
Kwahyo ukinunua kiwanja leo unapanda miti baada ya mwezi unavuna? rudisha akili sehemu yake.
 
Pandeni miti ya mbao Mashambani mwenu kuzunguka shamba au kiwanja mti mmoja tu unaweza kutoa milango yote hata 6 na mti wa pili kutoa fenicha zote kwa watoto wako shida za muafrica ni zakujitakia wazazi wetu walishindwa kutumia akili na sisi pia hivyo hivyo kila mtoto unaye m zaa panda miti ya mbao 4 wakija kukua na kufikisha miaka 16 hadi 20 watakuwa awana shida ya furniture
solution yako ni kwa ajili ya watoto wetu

hapa nilipo mimi nilitakiwa nivune miti waliyopanda wazazi wangu

hawakupanda mti wowote ndio mana nipo hapa kuomba msaada

wazo lako ni zuri tutalifanyia kazi "nikiwemo" kwani lina mantiki..

Maana mti mpaka uuvune mbao sio chini ya miaka 15+ kweli hii ni kuwafanyia watoto tu.
 
Kiongozi, kuna jamaa mwenye kiwanda cha milango ya chuma morogoro mjini. Ni imara na muonekano wake huwezi kutofautisha na mbao. Inafinishing ya kimataifa nafikiri bei yake inakuwa rafiki kidogo.
Nitakupatia namba yake uwasiliane naye au unaweza kumtembelea kwenye showroom yake moro mjini
milango ya chuma au Bati Mkuu? hivi unajua hii milango ya bati

sio rafiki na haidumu kama mbao? Muhimu mkuu ni uimara pia.
 
Milango ya vyimbani tumia flush doors mmoja hauzidi 70k, kwa vyooni tumia aluminium doors.

Vv
flush doors ndo zipoje tena, Chooni Aluminum ni sawa kama hii project

ingekua project ya nyumba za kupangisha,Nyumba yako ya kuishi milele sidhani kama

utaweza weka aluminium doors.Siku hizi watu wanapuuzia sana vitu na kuona kama

Choo sio sehemu ya Nyumba haitaki ulinzi wowote,Nakumbuka Huko nyuma nikiwa mdogo

Mwizi alifanikiwa ingia nyumbani kwetu bahati mbaya akiwa ndani ya nyumba mtu akawa amerudi

Mwizi ndani akakimbilia chooni kujificha,Akiwa chooni akahangaika mpk mtu akajua kuna mtu chooni

kuambiwa atoke Hataki,Kufungua Mlango hataki,Raia wakajaaa nnje Mlango hauvunjiki Mwizi kagoma

akawa anasema Atatoka POLISI wakija,Basi kweli mpaka polisi wakaja ndio jamaaa akafungua mlango akatoka

Nimeikumbuka hilo tukio nikasema WHAT IF INGEKUA NDIO SASA NA MILANGO YETU YA ALUMINIUM? kuna namna

nyumba za kisasa sasa hivi hazizingatiii USALAMA kabisaaa,Kuanzia madirisha,milango,dari,nk Nadhani usasa ukizidi

mambo hayanogi tena..Siku hizi madirisha watu wanatumia SQUARE PIPE ukiigusa kdg imejikunja,Zamani ni NONDO NONDO...

kuna LOOPHOLES nyingi sana kwenye ujenzi na hii ni kutokana na watu kukwepa GHARAMA au kusema wanaokoa PESA.
 
solution yako ni kwa ajili ya watoto wetu

hapa nilipo mimi nilitakiwa nivune miti waliyopanda wazazi wangu

hawakupanda mti wowote ndio mana nipo hapa kuomba msaada

wazo lako ni zuri tutalifanyia kazi "nikiwemo" kwani lina mantiki..

Maana mti mpaka uuvune mbao sio chini ya miaka 15+ kweli hii ni kuwafanyia watoto tu.
Najua sana ulicho ongea ...na mimi nilikuwa naongea hivyo ni kosa la wazazi kudharau mambo kama hayo huku wanalia umasikini miti mi4 tu inatosha kutengeneza furniture za familia yote kuanzia vitanda ya kisasa makabati makochi nk kila mtoto akawa na kitanda chake cha king standard 7 kwa 7
 
Acha kukariri maisha mshangazi mwenye tako na titi lake.
Mie ni mbususu engineer...i engineer women's sexual satisfaction. Plz do not hesitate to contact me for sexual pleasure engineered to perfection😜
Hapo kwenye mbususu engineer labda, ila huko kwingine kwendraaaa..!! 😹
 
Option ya Pili ni nzuri shida ni pakupata hiyo milango ya zamani ya mninga
Nenda sinza mori ile njia ya kwenda mabatini.. moja kwa moja mbele kulia kuna vitu used kibao mbao milango madirisha makubwa ya maofisini yamejaaa kibao.. mbao za kila aina mninga, mvule n.k bei chei
 
kama una jamaa kati ya tabora, goweko na mpanda jaribu kumcheki maana kwa maeneo hayo milango ya mninga/mkongo/mkurungu inapatikana kwa bei rahisi sana na taratibu za usafiri unatumia trc ambao bei yao ni ndogo sana.
achukue huu ushauri
 
milango ya chuma au Bati Mkuu? hivi unajua hii milango ya bati

sio rafiki na haidumu kama mbao? Muhimu mkuu ni uimara pia.

Wewe unaongelea milango ya mabati, mimi nimekuambia milango ya chuma.
Siongelei haya mabati (mapipa) wanayo tengenezea mageti mtaani
Naongelea Chuma kama ile Milango IMARA inayowekwa kwenye safe rooms...
 
Back
Top Bottom