Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,121
- 31,382
Ndiyo maana yake kuliko kumwekea pesa mtoto kwenye viakaunti vya banki uchwara je miti ya mbao kama mninga nk si bora kuliko akiba ya bank ....unakuta mtu kaweka akiba ya mtoto mmoja tu mili 2 kwa miaka chungumzima ..wakati angenunua shamba mbali huko na kupanda miti 100 tu ni bora mara elfu moja kuliko hiyo akaunti... maana fenicha zote kwa familia na familia za watoto wake zingepatikana bure maana mbao ungeuza na fedha yake ungechongea fenicha zote za familiasolution yako ni kwa ajili ya watoto wetu
hapa nilipo mimi nilitakiwa nivune miti waliyopanda wazazi wangu
hawakupanda mti wowote ndio mana nipo hapa kuomba msaada
wazo lako ni zuri tutalifanyia kazi "nikiwemo" kwani lina mantiki..
Maana mti mpaka uuvune mbao sio chini ya miaka 15+ kweli hii ni kuwafanyia watoto tu.
Kuna maeneo heka ya shamba unapata hata kwa sh laki 5 tu ukinunua heka mbili tu na kupanda miti ya mbao kwa familia ni zaidi ya akiba ya fedha benk maana unakuwa na ardhi na kitega uchuni chenye kujivalue chenyewe miaka inavyo kwenda miti inakuwa na kuongezeka thamani...