connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,806
- 3,860
Kupanga nyumba ni cheap kuliko kujenga
Unaidharau mihumula!Ukileta ubahili kwenye mlango utatengenezewa mihumula utafurahia show yake😂
Chukua huu ushauri mzuri sana hayo maeneo mlango mzuri mbao mbao nzuri unapata kwa 180 kuhusu usafiri wanajua wao wanajua wachiekama una jamaa kati ya tabora, goweko na mpanda jaribu kumcheki maana kwa maeneo hayo milango ya mninga/mkongo/mkurungu inapatikana kwa bei rahisi sana na taratibu za usafiri unatumia trc ambao bei yao ni ndogo sana.
Kabisa bongo kila mtu anataka kujengaWahindi mbona hawawazi haya mambo ya milango. Na wanaenjoy maisha kwenye nyumba za msajili
NakaziaWahindi mbona hawawazi haya mambo ya milango. Na wanaenjoy maisha kwenye nyumba za msajili
Asante sanaNakazia
Godoro Chini Mnalala Raha Tupu
Mihumula ukipata iliyokomaa ni mizuri sana chiefUkileta ubahili kwenye mlango utatengenezewa mihumula utafurahia show yake😂
Kama huna fedha za kununulia lango kama Hilo milioni Moja na nusu na mingine ya ndani milioni milioni basi wahi chap chap kwenye used doors toka majumba ya MasakiKatika Maeneo yananipasua Kichwa eneo la Finishing ya nyumba ni Milango.
Yani kuna wakati natamani kuweka hata mabati, ilimradi Mlango
Naomba Wazoefu eneo hili mnisaidie Huwa mnafanyaje mkifika eneo la KUWEKA milango nyumba.
Gharama za mlango Mmoja Wa Mbao ya Mkongo inafika hadi 1m na zaidi.
Nyumba yenye Milango 6 maana yake inatoka sio chini ya 6m.
Hapo Hujaenda GETINI kuandaa GETI...
Upande Wa GETI huwa sipati shida kwani najiandaaga kwa Kununua MABATI,Square Pipe,vinatulia kusubiri Muda napata hela kisha naita Fundi Geti linapatikana.
Kwenye MILANGO naombeni mnisaidie mawazo mliyotumia
Binafsi nawaza kukusanya mbao kama mbao kisha baadae nije tengeneza Mlango, Hii imekaaje kuhusu Ubora na Gharama ndugu zangu,kuna kitu ntaokoa au ni yale yale?
Kuna milango ya Chuma Naombeni msiiiweke katika OPTIONS naombeni mnisaidie kuokoa gharama kwenye Milango ya Mbao tu.
Kama Kuna Fundi Pia au Muuza Mbao naomba ajitokeze, Msaada wenu tafadhali.
View attachment 3330414
Choo kikiwa kidogo ndio mlango wa Mbao haufai ila kwa vyoo ambavyo vina SPACE vikubwa mithili ya chumba Mlango ni MBAO tu.Mbao za kawaida mmh ila Kwa choon ungewek milango ya aluminium naona ni mizur sana Kwa milango ya kawaida ukiweka bafun ama choon Kwa mda flan inapuputika sehem za chin zilizopita maji mda mrefu na kuoza
NakujaaaaaaaaKama huna fedha za kununulia lango kama Hilo milioni Moja na nusu na mingine ya ndani milioni milioni basi wahi chap chap kwenye used doors toka majumba ya Masaki
Inbox nikuambie wapi (commission lazima)
Nyumba ni milango, kazana.Katika Maeneo yananipasua Kichwa eneo la Finishing ya nyumba ni Milango.
Yani kuna wakati natamani kuweka hata mabati, ilimradi Mlango
Naomba Wazoefu eneo hili mnisaidie Huwa mnafanyaje mkifika eneo la KUWEKA milango nyumba.
Gharama za mlango Mmoja Wa Mbao ya Mkongo inafika hadi 1m na zaidi.
Nyumba yenye Milango 6 maana yake inatoka sio chini ya 6m.
Hapo Hujaenda GETINI kuandaa GETI...
Upande Wa GETI huwa sipati shida kwani najiandaaga kwa Kununua MABATI,Square Pipe,vinatulia kusubiri Muda napata hela kisha naita Fundi Geti linapatikana.
Kwenye MILANGO naombeni mnisaidie mawazo mliyotumia
Binafsi nawaza kukusanya mbao kama mbao kisha baadae nije tengeneza Mlango, Hii imekaaje kuhusu Ubora na Gharama ndugu zangu,kuna kitu ntaokoa au ni yale yale?
Kuna milango ya Chuma Naombeni msiiiweke katika OPTIONS naombeni mnisaidie kuokoa gharama kwenye Milango ya Mbao tu.
Kama Kuna Fundi Pia au Muuza Mbao naomba ajitokeze, Msaada wenu tafadhali.
View attachment 3330414
Hauhitajiki,Ukiweka hiyo security door hautakiwi kabisa kuongezea mlango wa mbao?