Nifanye nini ili niwe tajiri number 1 duniani?

Anayejua pakuanzia wadau natamani sana siku namimi niandikwe forbers kama tajiri number moja duniani naomba ushauri nadhani mimi ni mtanzania wapili baada ya ule kijana mwingine wa madale tunaomba ushauri kufanikisha ndoto zetu japo sijui pakuanzia
fanya kazi kwa maarifa na bidii na bila kukata tamaa :NoGodNo:
 
Ingia maabara fasta utafute dawa ya kansa, Hiv, na Bp kisukari utakuwa umetatua matatizo ya watu wengi sana duniani automatically utakuwa Tajiri kupita hata Elon
 
Pattern niliyoiona ni hii;

1. Zaliwa kwenye familia yenye uwezo.

2. Soma kozi ya sayansi kwenye moja kati ya vyuo vikubwa duniani.

3. Acha chuo baada ya kutengeneza biashara fulani.

AU

4. Fanya kazi kwenye taaluma flani, jifunze mambo kiundani, anzisha biashara.
 
Anayejua pakuanzia wadau natamani sana siku namimi niandikwe forbers kama tajiri number moja duniani naomba ushauri nadhani mimi ni mtanzania wapili baada ya ule kijana mwingine wa madale tunaomba ushauri kufanikisha ndoto zetu japo sijui pakuanzia
Ondoka Africa kwanza...

Nchi nzima uchumi wa USD 95Bil... huwezi kufika utajiri wa USD 250Bil
 
Anayejua pakuanzia wadau natamani sana siku namimi niandikwe forbers kama tajiri number moja duniani naomba ushauri nadhani mimi ni mtanzania wapili baada ya ule kijana mwingine wa madale tunaomba ushauri kufanikisha ndoto zetu japo sijui pakuanzia
Anza na kuuza karanga mkuu
Wengi wa matajiri story zao zilianzia hapo
 
Supply and demand, nn kinahitajika sokoni? mfano sahv Iran wanahitaji sana drones kua winga wa kuuza drones mwezi tu uko Forbes kama unavotaka.
 
Anayejua pakuanzia wadau natamani sana siku namimi niandikwe forbers kama tajiri number moja duniani naomba ushauri nadhani mimi ni mtanzania wapili baada ya ule kijana mwingine wa madale tunaomba ushauri kufanikisha ndoto zetu japo sijui pakuanzia
Hakuna hata tajiri mmoja kati ya matajiri wakubwa duniani ukianzia na akina Elon Musk, Jeff Bezos, Larry Ellison, hadi akina Dangote na Dewji aliyepanga kuwa tajiri mkubwa duniani. Kwa hiyo tayari ulishakosea.
 
Anayejua pakuanzia wadau natamani sana siku namimi niandikwe forbers kama tajiri number moja duniani naomba ushauri nadhani mimi ni mtanzania wapili baada ya ule kijana mwingine wa madale tunaomba ushauri kufanikisha ndoto zetu japo sijui pakuanzia
Mafanikio sio jitihada, mafanikio ni siri na kuishi ndani ya siri za kutisha.
 
Anayejua pakuanzia wadau natamani sana siku namimi niandikwe forbers kama tajiri number moja duniani naomba ushauri nadhani mimi ni mtanzania wapili baada ya ule kijana mwingine wa madale tunaomba ushauri kufanikisha ndoto zetu japo sijui pakuanzia
Anayejua pakuanzia wadau natamani sana siku namimi niandikwe forbers kama tajiri number moja duniani naomba ushauri nadhani mimi ni mtanzania wapili baada ya ule kijana mwingine wa madale tunaomba ushauri kufanikisha ndoto zetu japo sijui pakuanzia
Pesa ni zawadi anayopata mtu baada ya kutatua matatizo ya watu. Kwa tafsiri hiyo kama hutatui changamoto za watu basi na pesa inakuwa ngumu kuipata.
Ukitatua changamoto za watu wa mtaa wako utapata hela za watu wa mtaa wako.
Ukitatua changamoto za kitaifa utapata hela kila eneo la nchi yako vivyo hivyo ukitatua matatizo ya Dunia utapata hela kila Kona ya Dunia na utakuwa na kiwango kikubwa Cha utajiri.
Akili zetu zilivyoumbwa Zina uwezo wa kufikiri zaidi ya tunavyofikiri. Utapata unachostahili kupata na si kile unachotamani kupata kwasababu kupata unachokitamani ni mchakato na si màtamanio tu.
 
Back
Top Bottom